china

  1. JamiiForums Tanzania Playing games on China won't save Trumps' presidency, he is gone, finished!

    You can repeat a lie over and over again but it doesn't make what you say true, and US President Trump has been lying through his teeth his entire career as a real estate mogul, reality TV star, presidential candidate, and President of the USA. His lies are so prolific it's hard to catalog them...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Marekani inafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye malipo yoyote yanayohusu Dollar ya Marekani

    Utawala wa Bwana Donald Trump unafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye manunuzi ya aina yoyote au wanaita dollar decoupling. Dollar ya kimarekani ndio sarafu maarufu inayotumika kufanya malipo Duniani, zaidi ya 60% ya malipo Duniani yanafanyika kwa njia ya Dollar. Dollar ndio...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Marekani anafikiria kuwawekea vikwazo vya kusafiri viongozi wakuu wa Chama cha Kikomunisti cha China

    Marekani inafikiria kuiwekea vikwazo vya kusafiri kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China au CCP ama wanachama wake waandamizi. Huu ni muendelezo wa vikwazo vya Marekani dhidi ya China. Chombo cha habari cha China kimedai kua kuwekea wanachama au viongozi wakuu wa chama cha ukomunisti...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Is China challenging God?

    China has continued to shake the world with their back to back technological breakthroughs. Before now, it used to be the United States and Japan that occupy the top position in great inventions. The case, however, became different for over two decades now as China has proved to be the...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kinara wa kukopa toka China

    Click and read
  6. M

    JamiiForums Tanzania The World Panics as Humans infection of a Deadlier Virus confirmed in China

    Since Covid-19 introduced itself to us, in middle November last year, The world tried it very best to suffocate the virus as quickly as possible, But despite these effort, the virus still went on to claim the life of over 544,000 people, 11,8 million others are currently infected. Yes! this is...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani yatarajia kuzuia mitandao ya kijamii ya China ikiwemo TikTok

    Mike Pompeo amesema Marekani inaangalia kuzuia matumizi ya Apps za wachina. Alisema wanachukulia swala hilo kwa uzito sana Wataalamu wa kidiplomasia wa nchi Marekani wamesema, watu wajue kuwa wanapopakua apps hizo wajue kuwa taarifa zao binafsi zitaenda kwa serikali za China Msemaji wa TikTok...
  8. JamiiForums Tanzania Raia wa China mbaroni kwa rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza, imemkamata raia wa China Bwana SHENG BING LIN (40) kwa kosa la kushawishi na kutoa rushwa kiasi cha shilingi laki moja (100,000/=) ambapo ni kinyume na Kif cha 15 (1) (b) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa namba 11 ya...
  9. JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona viwe somo kwa aina mpya ya virusi vya homa ya mafua ya nguruwe viliyogunduliwa China

    Tangu mwanzoni mwa mwaka huu watu wengi wamekuwa wakiongelea janga la virusi vya corona ambalo limetikisa dunia nzima. Watu wote wameguswa na ugonjwa huu wa COVID-19 kwa namna moja ama nyingine, mana kama si ndugu yako kuugua ugonjwa huu basi ni rafiki au jirani yako. Lakini nchi na mtu mmoja...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Trumps Declares that he is very angry with China as US COVID-19 Death toll exceeds 128000

    Donald Trump have reinstated his anger toward china and this anger may not end anytime soon unless Coronavirus is over. The United States president have just Tweeted that as the global pandemic continues to spread and kill people, he is becoming more and more angry with China. Trump is...
  11. JamiiForums Tanzania Virusi vipya ambavyo vinaweza kusababisha mlipuko duniani vyagunduliwa China

    Aina mpya ya mafua ambayo inaweza kuwa janga kubwa la kiafya imegunduliwa na Wanasayansi nchini humo. Mafua hayo ni aina mpya ya virusi na kutokana na hilo, inawezekana binadamu wana kinga mwili ndogo ya kupambana nayo au hawana kabisa. Imeelezwa kuwa mafua hayo yapo kwa nguruwe lakini binadamu...
  12. JamiiForums Tanzania China: Takriban watu 400,000 walio karibu na Beijing wawekwa ‘lockdown’

    China imeweka agizo la kutotoka ndani kwa wananchi takriban 400,000 katika Kaunti ya Anxin iliyopo Hebei, karibu na Mji Mkuu wa Beijing Watumishi wa sekta muhimu pekee ndio wanaruhusiwa kutoka nje huku mtu mmoja katika familia akiruhusiwa kutoka nyumbani mara moja kwa siku kununua mahitaji...
  13. JamiiForums Tanzania Despite the Pandemic: China Export Share Has Expanded

    My Take: Nothing is set to slow down the speed of economic growth of the "Factory of the world". Most of the big economies are of the world are ailing. But not to the SINO, the emerging world economic power. Its graph is still reading upwards. Some critics are querying them selves if this is a...
  14. JamiiForums Tanzania VLOG: Jinsi vipimo vya nucleic acid vya virusi vya Corona vinavyochukuliwa China

    Takwimu rasmi zilizotolewa hivi karibuni zinaonesha kuwa watu milioni 90.41 nchini China wamefanyiwa vipimo vya nucleic acid vya virusi vya Corona, jambo ambalo limefuatiliwa na jamii ya kimataifa. Je, China inafanya vipi vipimo hivyo? Kwa mfano wa mji mkuu Beijing, tunaangalia kwa undani...
  15. JamiiForums Tanzania China: Rais Xi Jinping asisitiza kuendelea na msimamo mkali dhidi ya dawa za kulevya

    Rais Xi Jinping wa China leo ametoa mwito wa kuendelea kwa juhudi za kupambana na dawa za kulevya. Kwenye ujumbe aliotoa mapema kabla ya maadhimisho ya siku ya kupambana na dawa za kulevya (26 June), Rais Xi amesema msimamo mkali dhidi ya dawa za kulevya ni lazima uendelee, ili kupata maendeleo...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Marekani imedhamiria kuitoa Huawei sokoni, imeituhumu kuwa ni tawi la jeshi la China

    Huawei ilikua inakuja vizuri sana kwa miaka 3 iliyopita. Ghafla bin vuu mwaka jana ikawekwa kwenye black list ya serikali ya Marekani ikaanza kupambana na vikwazo. Sasa Huawei imeanza kupoteza hata ile miradi na mikataba iliyokua imepata ya kufunga mitambo ya 5G. Uingereza iliipa Huawei ila...
  17. JamiiForums Tanzania Miradi ya maendeleo China -Uganda inagusa wananchi moja kwa moja

    Wakati serikali ya CCM inatuamisha kuwa China ni rafiki zetu na kuwa tuna historia ya miaka mingi na nchi hiyo. Miradi ya maendeleo ya serikali ya watu wa China nchini Uganda inagusa maisha ya watu moja kwa moja. Mfano wa miradi hiyo ni Naguru Hospital yenye uwezo wa kuhudumia wagonjwa wa nje...
  18. JamiiForums Tanzania Manunuzi ya mtandao yamekuwa msukumo mpya wa ukuaji wa Uchumi wa China

    Baada ya kudhibitiwa kwa kuenea kwa virusi vya Corona, uchumi wa China umeaanza kufufuka kwa kasi. Na manunuzi mtandaoni yamekuwa msukumo mpya wa ukuaji wa uchumi. Mjini Shanghai, takwimu zinaonyesha kuwa katika mwezi Mei, thamani ya manunuzi kupitia mtandao wa internet imefikia takriban Yuan...
  19. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uongozaji Safari wa BeiDou wa China utaathiri kivipi maisha ya Muafrika?

    China Jumanne ilirusha satilaiti ya mwisho ya Mfumo wa kuongozea wa BeiDou(BDS), ambapo inaonesha kukamilika kwa uendelezaji wa mfumo huo nchini, miaka 26 baada ya ujenzi wa BeiDou-1 kuanza rasmi mwaka 1994, na kuwa mmoja kati ya mifumo minne ya mtandao wa uongozaji duniani, ikiwa sambamba na...
  20. JamiiForums Tanzania Siri ya China ya kufanikiwa haraka kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona

    Baada ya kesi mpya za Corona kuripotiwa tena mjini Beijing, Tianjin, mji uliopo umbali wa kilomita 100 nje ya Beijing pia ilishuhudia kesi moja mpya. Cha kushangaza ni kuwa majibu ya vipimo vya nucleic acid kwa watu na vitu vyote alivyovigusa mgonjwa huyu vilikuwa ni hasi. Je, aliambukizwa vipi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…