china

  1. JamiiForums Tanzania Deng Xiaoping: Mrithi wa Mao aliyeibadilisha China kuwa ya kisasa

    Na Masudi Rugombana Huyu ndiye Baba wa uchumi wa China, ndiye aliyeasisi, aliyejenga na kusimamia ipasavyo misingi ya mfumo wa uchumi wa soko huria, na kufanya mageuzi mengi yanayoifanya leo hii China kuwa dola kuu la pili kiuchumi baada ya Marekani na hata kutishia kuipiku Marekani. Waswahili...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

    Kati ya majirani zetu ambao wanapaswa wawe soko letu kubwa la bidhaa za kilimo na biashara nyingine ni Wakenya. Ila Kati ya watu ambao tumekuwa tukiishi nao Kama maadui kwa miaka sita Sasa ni Kenya. Nchi inayotaka kuinua wakulima na wafanyabiashara uwekeza kwenye diplomasia ya eneo lilipo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya Marekani vyaiondoa Huawei kwenye nafasi ya kwanza hadi ya nne China

    Miaka 3 iliyopita serikali ya Marekani iliiwekea vikwazo vya kiuchumi kampuni ya vifaa vya mawasiliano ya China, Huawei kwa sababu za kiusalama. Vikwazo vilianza kung'ata mwaka jana Huawei ikaamua kuuza kampuni yake tanzu ya Honor ili na yenyewe isije kufa kwa vikwazo vya Marekani. Sasa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania ATCL kuanza safari za China tarehe 20/03/2021, wasafiri kupimwa Corona mara mbili ndani ya saa 48 kabla ya safari

    Hii ni habari njema kabisa kwa shirika letu la ndege. Mkurugenzi mkuu wa ATCL amesema shirika lake litaanza safari za China tarehe 20 mwezi huu. Bwana Matindi amesema wasafiri watalazimika kupima Corona mara mbili katika muda wa saa 48 kabla ya kuanza safari. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  5. JamiiForums Tanzania Watengeneza chanjo bandia ya Covid-19 walivyonaswa Afrika Kusini, China

    Polisi nchini China na Afrika Kusini wamekamata maelfu ya dozi bandia za chanjo ya Covid-19 na kuwakamata wahusika, Polisi wa kimataifa, Interpol wameeleza. Polisi wamewakamata watu 80 kwenye kiwanda nchini China kwa madai ya kutengeneza chanjo bandia , ambapo dozi 3,000 zilibainika tayari...
  6. JamiiForums Tanzania Kipimo cha Covid-19 cha haja kubwa: Japani yaitaka China kuacha kukitumia kwa raia wake

    Baada ya wataalamu wa China kugundua kipimo kipya cha maambukizi ya virusi vya korona kinachopima kwa njia ya haja kubwa, miji mingi nchini humo imeidhinisha kipimo hicho. Viwanja vya ndege pia hukitumia kwa wasafiri WANAOINGIA CHINA! jambo lililoifanya Japan kuitaka china kuacha kutumia kipimo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania China kuongeza kima cha chini cha mshahara na kuwasaidia watu wenye matatizo ya kiuchumi

    Hivi karibuni, mikoa mingi ya China imetangaza kupandisha kima cha chini cha mshahara kwa mwaka 2021. Kwa mujibu wa kiwango cha sasa, Shanghai inaongoza kwa Yuan 2,480 kwa mwezi, sawa na dola za kimarekani 384. Kadri kima cha chini cha mshahara kinavyopanda, kipato cha wafanyakazi wenye kipato...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hoja kuhusu China kuweka mtego wa madeni barani Afrika ni habari za uwongo zinazotungwa na nchi za magharibi

    Katika karne ya 21, kutokana na mahitaji ya fedha kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi, kiwango cha madeni cha nchi za Afrika kimeongezeka sana, na shida ya madeni ya Afrika inafuatiliwa sana na jamii ya kimataifa na nchi za Afrika. Pamoja na kwamba kiwango cha ushirikiano kati ya...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi TV series attracts 250 million viewers in China

    Blue Sky Films crew on location in Kenya BLUE SKY FILMS A Chinese TV series shot in Nairobi has given Kenya international recognition with more Chinese film-producing firms considering using Kenya in their future projects after the series attracted sizeable eyeballs in China. The action-based...
  10. JamiiForums Tanzania Will a weakened America emerge victorious against communist China?

    I recently watched a Symposium hosted by Central European University, and the speaker was none other than the eminent and legendary Joseph Nye from Harvard Kennedy School of Governance. The topic was about a new cloud in the horizon, a potential storm, The Rising China and the fate of the...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Report ya Mapigano ya mpaka wa India na China ya 2020

    Chanzo: www.trt.net.tr Wanajeshi 4 wa China wadaiwa kufariki kwenye mapigano ya mpaka wa India mwaka 2020 Wanajeshi 4 wa China wameripotiwa kufariki mwaka jana kwenye mzozo wa mpaka wa India katika Bonde la Galvan. Kulingana na ripoti ya Jeshi la Ukombozi wa Umma (PLA) ya gazeti la siku...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa Wachina nyumbani na nje. Ni alama muhimu ya kujumuika kwa familia

    Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa wachina nyumbani na nje ya nchi. Ni alama muhimu kabisa ya kujumuika kwa familia na marafiki. Tamasha hili huleta kumbukumbu nyingi kwa wachina wote, nyumbani na nje ya nchi. Likiwa na maonyesho kama ngonjera, mchoro mfupi...
  13. JamiiForums Tanzania Corona Ilianzia China, mbona hawapapatikii Chanjo za US na Ulaya? Tujifunze jambo

    Tunajadili kwa jazba na wengine kuchochea na kutaka waletewe chanjo. Hii ni hisia mbaya za kuamini dunia ina matatizo hata kama sisi hali siyo mbaya kiasi hicho. Swali langu kuu ambalo linanipa taabu, ni kwa nini China ambako tunaambiwa ndo chanzo cha Corona hatujaisikia ikikimbilia chanjo kama...
  14. JamiiForums Tanzania China: Watu 80 mbaroni kwa kutengeneza chanjo feki ya COVID -19

    Watu 80 wanashikiliwa na polisi nchini China kwa kutengeneza dawa inayofanana na chanjo ya COVID19 ambayo ni maji yenye chumvichumvi tu. Hadi sasa katika jimbo la Jiangsu na Shandong chanjo feki zaidi ya 3,000 zimekatwa. Polisi hawajaweza kusema ni chanjo kiasi gani zimeuzwa. Sinopharm ni...
  15. JamiiForums Tanzania China na Russia kamwe hawawezi kutumia hiyo chanjo ya mRNA ya kampuni ya Pfizer (Billgate) na BioNTech (Mjerumani): Kwa nini Afrika tulazimishwe?

    Hiyo tunayoiita chanjo inayotengenezwa na kampuni ya Pfizer ikishirikiana na kampuni ya BioNTech ya ujerumani si sawa na chanjo zinazojulikana ambazo hutumia virusi vya ugonjwa huo huo vilivyopunguzwa makali (attenuated live viruses). Hawa wanatumia genetically engineered manufactured synthetics...
  16. JamiiForums Tanzania WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

    Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers...
  17. JamiiForums Tanzania China: Kipimo cha corona kupitia haja kubwa kina ufanisi zaidi

    China imeanza kutumia aina mpya ya kuchukua sampuli za kipimo Cha Corona kupitia sehemu ya haja kubwa. Mamlaka zinasema aina hii ya kipimo ni ya kuaminika zaidi na haraka. Kipimo hiki kinahusisha kuingizwa kwa kifaa maalumu chenye pamba kama sentimita 1 ama 2 katika njia ya haja kubwa kisha...
  18. JamiiForums Tanzania China yawawekea vikwazo viongozi 28 wa Trump ndani yake yupo Mike Pompeo

    Wanabodi, Siku moja tu baada ya kuachia nafasi yake serikalini, Waziri wa mambo ya nje (secretary of state) wa Marekani aliyemaliza muda wake, Mr Mike Pompeo, pamoja na jamaa wangine waliokuwa kwenye serikali ya Trump, wamewekewa zuio la kuingia nchini China. Pompeo ambaye siku ya mwisho ya...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China yatia pembeni deni la Kenya hadi baadaye, mlisubiri sana kuona tukidondoka

    Wamekubali kusubiri kwanza tudundulize hela za kutosha Kenyan President Uhuru Kenyatta (Left) and Chinese President Xi Jinping prior to a bilateral meeting in Beijing, China in 2018. PSCU China has revealed that it is ready to suspend Kenya's debt nearly a week after the country received the...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyefika China anisaidie kujibu hili swali

    Hivi katika miji ya China na viunga vyake, Je! Kuna barabara, chuo, au kitu chochote chenye umaarufu kilichopewa jina la kiongozi yoyote au Mtanzania kama ishara au kumbukumbu ya urafiki wetu? Nawasilisha tafadhari. Enzi na enzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…