china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya Umoja wa Afrika na ushirikiano kati yake na China

    Ni miaka 20 sasa imetimia tangu Umoja wa Afrika uanzishwe, lengo kuu likiwa ni kuhimiza mafungamano ya kisiasa, kiuchumi, kiusalama, kiutamaduni na hata kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Katika kipindi hicho, kuna mambo mengi yameonesha kupatikana kwa mafanikio makubwa, lakini pia kuna baadhi...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania China yawawekea vikwazo Maafisa 7 wa Taiwan

    China imewawekea vikwazo maafisa hao ikiwemo marufuku ya kuingia China na maeneo ya Hong Kong na Macau, na kuzuiwa kufanya kazi na maafisa wa China, kwa madai ya kuunga mkono uhuru wa kisiwa hicho kinachojitawala. Maafisa saba wanaolengwa na vikwazo hivyo ni pamoja na Bi-khim Hsiao, mwakilishi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Mabadiliko katika Mto Manjano na Mto Yangtze ya China katika muongo mmoja uliopita kwa mtazamo wa setilai

    INTRO: Mto Manjano na Mto Yangtze ndio mito mama ya taifa la China. Ulinzi wa Mto Mama siku zote limefuatiliwa na mkuu wa China, Xi Jinping. Katika miaka kumi iliyopita, Mto Manjano umekuwa ukifanya kazi ya "ziada" katika masuala ya kuleta mazingira ya kijani, kurejesha ikolojia na kurudi kwenye...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la China lafanya mazoezi zaidi karibu na Taiwan

    Jeshi la China lilisema lilifanya mazoezi zaidi karibu na Taiwan siku ya Jumatatu wakati kundi la wabunge wa Marekani lilipotembelea kisiwa hicho kinachodaiwa ni himaya ya China na kukutana na Rais Tsai Ing-wen, katika kile Beijing ilisema ni ukiukaji wa uhuru wake. Wabunge hao watano wa...
  5. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Geo-engineering or Weather modification through Chemtrail operations by the NWO or “cloud seeding” by China to form is real

    The world’s largest communist dictatorship, China, has invested some $168 million into efforts to control the weather, according to the World Economic Forum (WEF). The globalist “Great Reset” organization run by Klaus Schwab put together a video – watch below – that reveals China’s plans to...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wawafanyia upimaji wa afya wazee kwenye maeneo ya makazi mjini Hefei, China

    Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea na madaktari waliwatembelea wazee wenye umri mkubwa na kuwapima afya nyumbani kwao.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga lageuzwa uwanja wa sanaa na kuwavutia watu kupiga picha mjini Chongqing, China

    Chumba cha sanaa cha "Stone House" kilichobadilishwa kutoka handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga huko mjini Chongqing, China kimewavutia watu wengi kupiga picha. Handaki hilo lenye urefu wa mita 68 na upana wa mita 3.2, ni sanaa iliyoundwa na picha, uchoraji, taa, nk. Hali...
  8. Diversity

    JamiiForums Tanzania China yahitimisha zoezi la kushambulia bahari, wanajeshi kurudi makambini

    China carried out its largest-ever military exercises around Taiwan following a controversial visit to Taipei by US House Speaker Nancy Pelosi. Pelosi was the most senior US official to visit Taiwan in 25 years, angering China, which sees Taiwan as part of its territory. What did China say...
  9. L

    JamiiForums Tanzania China inasaidia vipi wahitimu wa vyuo kupata ajira na kujiajiri?

    Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana wenye umri wa miaka 16 hadi 24 ambacho kimekuwa kikiongezeka sana duniani kinaleta changamoto kubwa kwa hivi sasa. Kwa mujibu wa ripoti ya Kamisheni ya Ulaya, mwaka 2021 kiwango cha vijana wasiokuwa na ajira barani Ulaya kilipanda hadi asilimia 16.6...
  10. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuzibeba nchi za Afrika na nyingine kwenye sekta ya kilimo

    Serikali ya China imetangaza hivi karibuni kuwa kuanzia mwezi Septemba mwaka huu itaondoa kabisa ushuru kwenye asilimia 98 ya bidhaa za kilimo kutoka nchi 16 zenye mapato ya chini, tisa ya nchi hizo zikiwa ni nchi za Afrika. Hatua hii ni mwendelezo wa hatua kama hiyo iliyochukuliwa kwenye...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania China yahimitisha zoezi la kushambulia bahari, wanajeshi kurudi makambini

    Mikwara imeisha, wamesubiriwa wafanye kweli ila ndio kama hivyo USA alishaingia mkataba kuigusa Taiwan umeigusa USA. Sasa Wachina wanageuza baada kupiga bahari mabomu...... China carried out its largest-ever military exercises around Taiwan following a controversial visit to Taipei by US House...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake washiriki katika mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba na kuanza maisha ya furaha mjini Meishan, China

    Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou. Kuanzia mwaka 2022, serikali ya wilaya ya Renshou ilitegemea vituo vya mafunzo ya ustadi wa utunzaji nyumba na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amwambia Antony Blinken kuwa Afrika haitaki kulazimishwa na Marekani kuzichukia Urusi na China

    Waziri wa mambo ya nje wa South Afrika kamchana Blinken kuwa South Afrika na Afrika kwa ujumla hawataki siasa za kipumb2vu za Marekani za kulazimisha kuchaguliana maadui au marafiki. Maneno hayo yamejiri baada ya Biden wa Marekani kumtuma waziri wake wa mambo ya nje Bwana Blinken aende South...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Watoto mjini Nantong mkoani Jiangsu China wapata mafunzo yenye furaha shambani wakati wa mapumziko ya majira ya joto

    Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo ya majira ya joto, shamba hilo lilifunguliwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Taiwan watunishia China misuli, meli zao za kivita zatazamana na za China

    Ni mwendo wa kutishiana misuli na mikwara, Mchina amepiga piga mabomu kwenye bahari, ila sasa amesogezewa meli za Taiwan ole wake aguse moja, leo ndio siku ya mwisho Mchina anageuza.... ================ TAIPEI (Reuters) -Chinese and Taiwanese warships played high-seas "cat and mouse" on Sunday...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania China tayari wamefyeka kichwa cha Mtaiwani

    A top official involved in Taiwan's missile production died of heart problems on Saturday, the army-owned institute where he worked said, as China conducts massive military drills around the self-ruled island NB: Mchina usoni ni mpole sana Ila linapokuja suala LA masilahi ya Taifa muogope sana
  17. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Mkono wa vita ya China na US unanukia

    Marekani imeanza mazoez ya kijeshi mpakani kwa China kwenye boda inayopitia India ,hii ni baada ya China kuanza kupeleka vifaa na zana za kijeshi mpakan mwa Taiwan.MUNGU ATUNUSURU SISI HUKU MAANA HUU MKONO UKIPIGWA DUNIA ITASIMAMA KWA MDA CNN)The United States is to take part in a joint military...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania China yatishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira ya dunia

    China inayofahamika kuongoza kwenye uchafuzi wa mazingira duniani, imetishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira, maana kwamba itaendelea kuchafua kabisa wa kujifia ajifie, hii ni mojawapo wa mbinu za kulipiza kisasi dhidi ya Marekani baada ya Pelosi kutua Taiwan licha ya mikwara...
  19. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Naionya China, isijaribu

    Hamjambo wakuu. Ndugu wana Jamii Forum baada ya kufuatilia kile kinachoendelea kutokea kule katika mpaka wa kisiwa cha Taiwan, kuhusu mzozo wa China na Taiwan. Kama ningekuwa na uwezo wa kuwasiliana na uongozi wa China, basi ushauri wangu mkubwa kwao ingekuwa ni kuwaambia wasithubutu kukivamia...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo

    SERIKALI imeanza mchakato wa kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya mazungumzo na mwekezaji wa awali kutokufikiwa mwafaka na hatimaye kujitoa. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, alisema...
Back
Top Bottom