china

  1. Gama

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri, nikienda China nile nini?

    Nimeona katika mitandao 20 Chinese Food and Ingredients You Should Avoid, nikaona karibu vyakula vyote pendwa vimepigwa ,madongo ya kutosha, sasa najiuliza, nini watu wanakula huko? TAZAMA HII HAPA CHINI 20 Chinese Food and Ingredients You Should Avoid Written by Amy & Yanin Featured Posts You...
  2. mjasiriamali mdogo

    JamiiForums Tanzania Yupi forward/shipping agent china mpaka Tanzania mwenye gharama nafuu?

    Wadau nataka kusafirisha mzigo kutoka China mpaka Dar es salaaa, Shipping agent niliyempata gharama zake ni Dola 400 kwa ujazo CBM 1. Kama kuna mwenye gharama nafuu zaidi naomba mawasiliano yao.
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wajackoyah: Nikishinda Urais Kenya nitaanzisha biashara ya korodani za fisi kwenda China

    Mgombea Uraisi Nchini Kenya, George Wajackoyah amesema kuwa akiingia madarakani atafanya mchakato wa kuuza korodani za fisi pamoja na nyama nyingine za mnyama huyo Nchini China ili kukuza kipato cha taifa hilo. Wajackoyah amesema mlo wa Wanyama hao utasaidia kukuza uchumi wa Kenya na kuimarisha...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hong Kong yaandaa mapambo maalumu ya mji kukaribisha miaka 25 tangu irudi China

    Hivi karibuni mitaa na majengo mengi maarufu huko Hong Kong yamepambwa na bendera ya taifa la China na bendera ya mkoa huo huku shughuli mbalimbali za kusherehekea miaka 25 tangu Hong Kong irudi China, ikiwemo maonyesho ya taa za LED.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la 22 la chakula la China lafunguliwa Harbin

    Tarehe 29 mwezi Juni, tamasha la 22 la chakula la China ambalo pia ni maonyesho ya 5 ya mnyororo wa ugavi wa sekta ya upishi yameanza rasmi katika Kituo cha Maonyesho cha Kimataifa cha Harbin.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hong Kong yaendelea kuwa tulivu, imara na yenye neema miaka 25 baada ya kurudi China

    Ni miaka 25 sasa imepita tangu China irudishe mamlaka yake kwenye mkoa wa Hong Kong baada ya kuwa chini ya utawala wa Uingereza wa miaka 100. Ilikuwa ni Julai Mosi mwaka 1997, wakati wakosoaji walikuwa wakijenga picha mbaya kuhusu mustakbali wa Hong Kong, na kuitaja hatua hiyo kuwa ni mwanzo wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania China yawakejeli G7, yasema G7 ni muungano wa watu wachache ukilinganisha na BRICS

    G7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo. China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa)...
  8. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania China commences a Communist Revolution inside America

    The government of China has commenced applying the same regime change inciting tactics inside the USA that the USA has used in countries around the world. Their Chinese American Friendship centers are leading the incitement. Read the window signs from the remake of the movie "Red Dawn" in 2010...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mandhari ya Barabara ya Yuqie katika mkoa wa Xinjiang wa China yavutia

    Mandhari ya Barabara ya Yuqie jangwani katika mkoa wa Xinjiang inavutia katika upigaji picha wa kutoka angani baada ya mvua. Barabara hiyo inayounganisha wilaya ya Yuli na wilaya ya Qiemo inatarajiwa kufunguliwa rasmi hivi karibuni.
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China yafanikiwa kutengeneza kompyuta yenye akili ya binadamu

    Wanasayansi wa China wamejisifu ktengeneza super computer ambayo ina akili bandia na uwezo sana na akili ya mwanadamu. Komputer hiyo ina storage na memory ya kutosha. Na wengine mmezoea quad cores hii ina 37 milion CPU Cores. = Today in "Skynet does Asia" news, Chinese scientists are boasting...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa Linyi, Shandong China watengeneza tambi za rangi mbalimbali

    Tarehe 21 Juni ni siku ya Xia Zhi ya China, yaani kuanza kwa joto kali. Watu wa Linyi, mkoani Shandong wanaonyesha tambi za rangi mbalimbali.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa BRICS unafanyika China huku dunia ikipewa fursa mbalimbali za kujikuza kiuchumi

    Pili Mwinyi Mkutano wa 14 wa wakuu wa nchi za BRICS zikiwemo Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini unatazamiwa kuanza tarehe 22 Juni hadi 24 Juni hapa Beijing, na safari hii utafanyika kwa njia ya mtandao wa internet. Mwaka huu, mkutano huu utazingatia jinsi ya kutekeleza ajenda ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China yajitokeza kuhimiza amani na usalama katika pembe ya Afrika

    Fadhili Mpunji Tarehe 20 na 21 Juni Ethiopia ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa amani wa Pembe ya Afrika uliofadhiliwa na China. Huu ni mkutano wa kwanza wa namna hii kuzikutanisha Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Kenya, Somalia, Sudan na Sudan Kusini, kufanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la utamaduni na sanaa la Kuqa, China lawavutia watalii wengi

    Kuanzia tarehe 15 hadi 17 mwezi Juni, tamasha la 18 la utamaduni na utalii wa Qici ambalo pia ni tamasha la kwanza la utamaduni na sanaa za Qiuci mjini Kuqa, China lilifunguliwa. Shughuli mbalimbali za kitamaduni kama vile maonyesho ya fataki, maonyesho ya urithi wa utamaduni usio wa mali...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waafrika twendeni tukazoe mafuta ya chee Urusi kama wanavyofanya China na India

    Uchumi wa China na India inazidi kupaa wakati dunia ikiyasusia mafuta ya Urusi kibwege Afrika tumerogwa kwelikweli, hatununui mafuta ya Urusi eti tunaunga mkono shida za watu wanaotudai madeni makubwa sana wakati China na India na wajanja wengine wanaitumia fursa ya vikwazo vya mafuta kupata...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China yafunguliwa jana, ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani duniani

    Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani ilianza kutumika rasmi jana.. Reli hiyo iko kwenye ukingo wa kusini wa Jangwa la Taklimakan, ambalo ni jangwa la pili kwa ukubwa duniani linalotembea, ikianzia mji wa Hotan upande wa magharibi hadi wilaya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China yapata maendeleo katika kuzuia ueneaji wa jangwa

    Leo Juni 17 inatimia miaka 28 ya Kupambana na Kuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Kauli mbiu ya kimataifa ya siku hii ni “Kushirikiana Kupambana na Ukame na Kupata Maendeleo ya Pamoja”, na kauli mbiu ya siku hii nchini China ni “Kushirikiana Kupambana na Kuenea kwa Jangwa na Kujenga Jumuiya ya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hatua kali za udhibiti wa maambukizi bado ni njia bora zaidi ya kukabiliana na COVID-19 nchini China

    Hivi karibuni, mlipuko wa wimbi jipya la COVID-19 katika miji kadhaa nchini China ikiwemo Shanghai na Beijing umefuatiliwa na vyombo vya habari na jamii ya kimataifa. Watu wengi wanashangaa kwamba, wakati kirusi kipya cha Omicron, ambacho kinaambukiza kwa kasi zaidi na bila ya sumu kali...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa China atoa ahadi kuendelea kuiunga mkono Urusi katika 'Uhuru na Usalama'

    Rais wa China, Xi Jinping ameahidi kuendelea kumuunga mkono Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika masuala ya msingi hasa Uhuru na Usalama. Kauli hiyo imetolewa baada ya viongozi hao kuzungumza kwa njia ya simu, ikiwa ni mara ya pili kufanya hivyo tangu kuanza kwa vita ya Urusi dhidi ya Ukraine...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mabaki ya kale 13,000 yafukuliwa Sanxingdui nchini China

    Mabaki ya kale 13,000 ya kitamaduni yamegunduliwa kutoka katika mashimo sita kwenye eneo jipya la kazi ya ufukuaji katika eneo la mabaki ya kale la Sanxingdui nchini China. Taasisi ya Utafiti wa Mabaki ya Kale na Akiolojia ya Mkoa wa Sichuan ilitangaza hayo katika mkutano wake na wanahabari...
Back
Top Bottom