china

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania China yatishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira ya dunia

    China inayofahamika kuongoza kwenye uchafuzi wa mazingira duniani, imetishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira, maana kwamba itaendelea kuchafua kabisa wa kujifia ajifie, hii ni mojawapo wa mbinu za kulipiza kisasi dhidi ya Marekani baada ya Pelosi kutua Taiwan licha ya mikwara...
  2. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Naionya China, isijaribu

    Hamjambo wakuu. Ndugu wana Jamii Forum baada ya kufuatilia kile kinachoendelea kutokea kule katika mpaka wa kisiwa cha Taiwan, kuhusu mzozo wa China na Taiwan. Kama ningekuwa na uwezo wa kuwasiliana na uongozi wa China, basi ushauri wangu mkubwa kwao ingekuwa ni kuwaambia wasithubutu kukivamia...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo

    SERIKALI imeanza mchakato wa kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya mazungumzo na mwekezaji wa awali kutokufikiwa mwafaka na hatimaye kujitoa. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, alisema...
  4. L

    JamiiForums Tanzania China yafanikiwa kurusha satelaiti ya usimamizi wa kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani

    China imefanikiwa kurusha satelaiti ya usimamizi wa kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani saa tano na dakika nane jana asubuhi kwa saa za Beijing. Satelaiti hiyo itatumika kusimamia kiwango cha kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani, kusimamia na kutathimini miradi ya taifa ya ikolojia, na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kipigo kimenyong'onyea: Zelensky aililia China isaidie kumaliza vita yake na Urusi

    Zile tambo za Zelensky kwamba hataki mazungumzo na Putin kwa kuwa atamshinda kwenye uwanja wa vita naona zimeishiwa pumzi. Kipigo anachokipata kila siku si cha kitoto. Bahasha ya makombora anayopewa ndani ya saa 24 hayapungui makombora 6,500!! Kwa sasa Zelensky anaibembeleza China isaidie...
  6. L

    JamiiForums Tanzania "Bustani isiyo na mbu" yafunguliwa Chengdu, China

    “Bustani isiyo na mbu”, ambayo ni ya kwanza mjini Chengdu ilifunguliwa. Bustani hiyo inatumia mitego ya mbu, kuanzia usimamizi wa maji na mimea, ili kuangamiza mbu kwenye nyasi na madimbwi.
  7. Willima

    JamiiForums Tanzania China yaanza mazoezi ya kijeshi karibu na Taiwan

    China imeanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya baharini na angani kuzunguka kisiwa kinachojitawala cha Taiwan, saa chache baada ya Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi kuondoka Taipei. Vyombo vya habari vya serikali viliripoti mazoezi ya kuzima moto katika maeneo sita karibu na Taiwan yalianza...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la China lachangia amani na usalama barani Afrika

    Tarehe 1 Agosti ni Siku ya Kuanzishwa kwa Jeshi la Ukombozi la Watu wa China. Katika miaka mingi iliyopita, jeshi hilo limeshiriki katika masuala ya usalama ya Afrika kwa hatua madhubuti, na kuchangia amani na usalama barani humo. China ni nchi ya pili duniani kwa mchango wa fedha kwa ajili ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Afrika inaweza kujifunza nini kutokana na uzoefu wa China?

    Na Umaru Napoleon Koroma, Katibu mkuu wa Chama cha Umma cha Sierra Leone Kwenye hotuba iliyotolewa na Makhtar Diop, Naibu Mkuu wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, alisema mwaka 1978 China ilikuwa miongoni mwa nchi maskini zaidi duniani. Kuanzia mwaka huo, mapato halisi ya kila mtu wa China...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Duka la paka lafurahishwa na watu nchini China

    Katika mji wa Yangzhou, Jiangsu, China, duka la kwanza la paka limefunguliwa rasmi. Duka hilo lina zaidi ya paka 70 wa aina mbalimbali.Wapenzi wa paka na watoto wanaweza kununua na kucheza na paka katika duka hilo.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa kabila la Wadong washerehekea Sikukuu ya Xinmi nchini China

    Julai 31 watu wa kabila la Wadong katika wilaya inayojiendesha ya makabila ya Wamiao na Wadong mkoani Guizhou China, waliandaa shughuli mbalimbali ili kusherehekea Sikukuu ya Xinmi.
  12. Jesus Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Nacy Pelosi na Kampuni yake ya NVIDIA na mgogoro ndani ya USA ni upenyo kwa China

    Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists. China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani. Vilevile kwa namna...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania China kuanza zoezi la kulipua mabomu baharini, huku Pelosi ametua Taiwan bila shida

    Baada ya mikwara kila siku kwamba Nancy Pelosi akithubutu kuingia Taiwan, basi China itafanya jambo la kweli, wameishia kuandaa maandalizi ya kufyatua makombora kwenye bahari, wanasubiriwa wafanye kweli maana kwenye Taiwan, Marekani ana mkataba kabisa wa kulinda, hivyo atahusika moja kwa moja...
  14. bahati93

    JamiiForums Tanzania New World Order on horizon: Je, Tanzania tutapatia this time around?

    Mbiiu la mgambo lishaliaa. Tarumbeta la parapanda lishalia.. Je watanzania tupo kuingia chaka kwa mara nyingine tena? Hapa naongelea tuwe wapambe wa masuperpower wapi wale wa west au wale wa east? Lakini kabla hatujachagua tukumbuke mkenge tulioingia Kwa kumfwata mrusi, aka msovieti kwa...
  15. system hacker

    JamiiForums Tanzania China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

    Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma. Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake...
  16. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ndege inayomsafirisha Nancy Peloce yaonekana ikikaribia kisiwa cha Taiwan. China yakaa tayari kwa lolote!

  17. M

    JamiiForums Tanzania Taiwan iko kwenye hatari ya kuingizwa mkenge ikawa kama mikono na damu itakayotumiwa na Marekani kujaribu kuidhoofisha China Kijeshi na kiuchumi!!

    Marekani iko katika vita ya kiuchumi na kijeshi na China lakini haiko tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani, kama ilivyokuwa kwenye vita ya kiuchumi na kijeshi na Urusi lakini haikuwa tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani. Kama ambavyo Ukraine iliingizwa mkenge ikajikuta katika...
  18. bahati93

    JamiiForums Tanzania China achafua hali ya hewa

    Hicho ndicho anachosema sema NASA. Hii ni baada ya rocket buster yake LONG MARCH 5B kushuka pasipo mpangilio maalumu, na pasipo taarifa. Hii ni hatari manaa inaweza kuharibu mali za watu, au kuhatarisha maisha ya wanadamu. Kwa kawaida, kwa wabobezi wa anga za juu hicho kiuno, ama tumbo, ambalo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Buddha Lucana aonekana tena baada ya ukarabati nchini China

    Buddha Lucana ameonekana tena kwenye Mapango ya Longmen baada ya ukarabati mkubwa nchini China.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China yafanya safari ya majaribio ili kupata hati

    Julai 31 ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China ilifanya safari ya majaribio kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing kwenda mji wa Guilin, ili kupata hati itakayotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya China.
Back
Top Bottom