china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Afrika Yaibuka Kama Kituo Cha Utalii Kwa Vijana Wa China

    Kwa Li Qiaoyang, kijana shabiki wa kutalii kutoka mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, ndoto ya likizo si kutembelea majumba ya makumbusho katika nchi za Ulaya ama fukwe za Asia Kusini Mashariki. Badala yake, anaota ndoto ya kwenda kutembelea uwanda mpana wa mbuga za Afrika. Li, aliyezaliwa...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Kwa China kila goti litapigwa. Do nothing win

    Kadiri miaka inavyoenda ndivyo umuhimu wa China unazidi kuonekana duniani, Mchina ana soft power moja inayokua kwa kasi sana. China haihitaji kuanzisha unnecessary wars and conflicts duniani kama Marekani to prove how powerful it is. Chinese strategy; do nothing and win game theory. Tangu...
  3. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania KIDUKU, CHINA, URUSI, WAKIJA ETI WATAKULINDA DHIDI YA MAREKANI WAFUKUZE, HAWAFAI

    KWA Maduro Venezuela tukasema MMH hakuwa na makubaliano ya kumlinda, tukafunika kombe, Mmmh HATUJA KAA SAWA mara KHAMENEI hatunae, TENA HUYU walimhakikishia kabisa wakajifanya KUSIMAMA kidete, Kiko WAPI, HAWA JAMAA Nina mashaka na UWEZO WAO KWA KWELI Yani hakuna jaribio walio zuia, ni...
  4. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa shabaha za Iran kwenye vita hii, macho ya China na Urusi yanahusika. Hasara za Marekani furaha ya China!

    Zamani, makombora mengi ya Iran yalitegemea GPS ya Marekani, ambapo Marekani aliweza kuizima au kuivuruga (jamming) wakati wa vita. Iran sasa imehamishia mifumo yake ya kijeshi kwenye mfumo wa BeiDou-3 wa CChina Mfumo huu unawapa Iran uwezo wa kulenga kitu kwa usahihi wa hadi sentimita chache...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Russia na China walivyomfanya Iran katika picha

    Wavaa kobazi mtihani sana
  6. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa upasuaji wa China waokoa mkono uliovunjika wa kondakta wa Tanzania, na kurejesha matumaini kwa familia

    Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho. Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
  7. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Iran ni Ushahidi kuwa Urusi na China siyo wa kuaminika kama marafiki

    Maduro; waliekuwa wanampa matumaini kuwa watamlinda na kumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi alichukuliwa kwa mabavu bila wao kufanya lolote kumlinda. Khamenei: waliyekuwa wanampa maumaini kuwa watamalinda nakumpelekea silaha za kujilinda ambazo hazikufanya kazi ameuwawa...
  8. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania China yaipa onyo USA na Israel isitishe Vita Mara moja

    Serikali ya Beijing imetoa karipio kali na kuitaka USA na Israel kusitisha kushambulia Iran la sivyo itachukua hatua Kali kwa muda sahihi Source : msemaji wa serkali ya Beijing
  9. O

    JamiiForums Tanzania China: Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo.

    Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo. China linapokuja suala la operesheni za kijeshi ni mchumba tu. Wairani walimuomba Trump awasaidie, naye akawaitikia. Xi na China yake yeye siku zote msimamo wake si kwa wananchi wa nchi husika, bali anasimama na...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maendeleo: China haitegemei magari ya zimamoto tena

    China imefikiria upya usalama wa moto hasa katika majumba makubwa na kwa kupitia AI imepata muarobaini wa jambo hilo. Katika jaribio lililodhibitiwa, watafiti waliwasha moto ndani ya jengo kubwa. Ndani ya sekunde chache, mfumo huo unaoendeshwa na AI ulihisi joto joto hilo la moto kwa mbali na...
  11. Isanga family

    JamiiForums Tanzania Magari ya kutoka China yashika soko SA

    Kampuni za magari kutoka China zinafanya vizuri kwenye soko la magari SA na imepelekea kampuni ya Cherry kununua kiwanda cha Nissan kilichopo Pretoria kuanzia mwakani kitakua kinazalisha magari ya kutoka China na si Nissan tena. Pamoja na kuwekewa kodi kubwa kwa gari zinazotoka China ila...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kuna harufu ya rushwa Idara ya Uhamiaji kutumika kuhuisha vibali kwa raia wa China waliomaliza muda wa kuwepo nchini

    Kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwepo mijadala kuhusu kasi ya ongezeko la raia wa kigeni kutoka China. Kasi hiyo imeibua mijadala mseto katika jamii, hususan kupitia mitandao ya kijamii. Kuna kundi linaloona kuwa kasi hiyo inaweza kuchochea mabadiliko ya kiuchumi, hasa katika sekta ya...
  13. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Uzoefu ambao sitakuja kuusahau wa kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China pamoja na Wachina

    “Chun jie kuai le” ni maneno ambayo kwa sasa yanasikika sana masikioni mwa Wachina na wageni waliopo hapa China hasa kwa kuwa sasa tupo katika msimu wa mwaka mpya wa jadi wa China. Maneno haya yanamaanisha “Heri ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China”. Mimi nikiwa mgeni ambaye ninaishi China kwa karibu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Tanzania Waendelea kwa Kipaji cha Mafunzo kwa Wafanyakazi wa Reli

    Kwa miaka mitatu na nusu, Amina Ally Sauko amesaidia kuratibu operesheni za treni za Shirika la Reli la Tanzania (TRC) kutoka kwenye Kituo chake cha Usimamizi wa Operesheni kilichoko jijini Dar es Salaam, ambako uhakika na kufanya kazi pamoja kama timu ni muhimu. Amina, ofisa usafiri wa TRC...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mfumo wetu wa utawala wa sasa hatuhitaji kupoteza pesa kulipa wabunge, tuige NPC China

    Bunge kama la Tanzania huwa na maana pale nchi inapokuwa ni ya kidemokrasia na mihimili mitatu ya utawala iko huru. Unapokuwa na mfumo wa utawala ambao serikali inaloamua ndilo linakuwa huku bunge likiwepo kugonga muhuri tu bila kuwa na uwezo wa kuiwajibisha serikali kunakuwa hakuna sababu ya...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Inapokuja kwenye operesheni za kijeshi, China ni "Paper Tiger" (Mbwa asiye na meno)

    Mara ya mwisho kwa PRC kupigana vita ilikuwa mwaka 1979, na ulikuwa ni mgogoro mdogo sana kule Vietnam. China imekuwa ikijificha nyuma ya kivuli cha soft power na propaganda, lakini inapokuja kwenye operesheni za kisasa za kijeshi, kwa bahati mbaya ni "Paper Tiger" (mbwa asiye na meno). Licha ya...
  17. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Watalii wa kimataifa wajiunga na sherehe ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina nchini China

    Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina inakaribia. Siku hizi katika mitaa na vichochoro nchini China, kuna wageni wengi ambao wamekuja China kujionea na kupata uzoefu wa sikukuu hiyo muhimu sana kwa Wachina. Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina imekuwa kivutio kipya cha China kwa watalii...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada kutoka China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Dar es Salaam – Serikali imeiomba China kuunga mkono maendeleo ya miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki. Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China warejesha tabasamu na matumaini kwa kijana wa Zanzibar kupitia upasuaji uliobadilisha maisha yake

    Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Ndani ya chumba hicho, madaktari wa timu ya 35 wa China huko Zanzibar walifanya kazi kwa...
Back
Top Bottom