Hispania na China zazidi kuimarisha uhusiano wao

Hispania na China zazidi kuimarisha uhusiano wao

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,002
Reaction score
61,245
Spain taifa kongwe liliogundua America zamani sana sasa ni wazi limeamua kuhamia kwa China.

Jana Waziri Mkuu wake ametembelea China na kusaini mikataba ya ushirikiano kibiashara na ki diplomasia. Bricks inazidi kupata washirika ni wazi Spain itanufaika itapokea watalii wengi toka Uchina.
 
Sera za Kimataifa za Trump zimefanya mataifa rafiki zitafute washirika wapya wa kiuchumi.
Taratibu Marekani inaanza kutengwa na Dunia.
 
Back
Top Bottom