china

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi zitakazonufaika na fursa hii ya soko wazi la China

    china wameamua kuweka soko lao wazi kwa nchi za kiafrika kuingiza bidhaa zao bila ya ushuru (zero tariffs) kuanzia sasa. Pamoja na kuwa bidhaa nyingi kutoka afrika ni mali ghafi. ikiwa ni pamoja na mazao ya kilimo, madini na bidhaa nyinginezo; badala ya kuwa mazao yaliyoongezwa thamani, hatua...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya China ya Ushuru Sifuri ni fursa kubwa kwa nchi za Afrika

    Kuanzia Mei 1, sera ya China ya ushuru sifuri kwa nchi za Afrika itajumuisha bidhaa nyingi kutoka nchi za Afrika, ikionyesha mabadiliko makubwa katika mienendo ya biashara ya kimataifa. Sera hii inakuja katika wakati muhimu kwa uchumi wa Afrika, ambao unakabiliana na mashinikizo ya nje...
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yafungua fursa kwa sekta ya kahawa ya nchini Kenya

    Kuanzia Mei Mosi, 2026, China itaanza kutekeleza sera ya ushuru sifuri kwa bidhaa zinazotoka nchi 53 za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China. Sera hii inachukuliwa kama fursa muhimu kwa nchi za Afrika kuingia katika soko kubwa la China kwa kuleta bidhaa zao za kipekee na za ubora wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya China ya ushuru sifuri kwa bidhaa za Afrika kuneemesha nchi za Afrika

    China kwa sasa inageuza soko lake kuwa chachu ya ushirikiano, hali ambayo inaonekana ni tofauti kabisa na nchi za magharibi ambazo zinatoa mapendekezo yanayoambatana na masharti kemkem. Nchi za Afrika zimekuwa zikijiuliza kwa muda mrefu, ya kwamba ni nani hasa anayefungua soko lao, kwa masharti...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Siku tukibahatika kupata uongozi makini tutaweza kubadilisha miji yetu ndani ya muda mfupi kama China

    Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
  6. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kuwa China peke yake ina akiba kubwa ya mafuta kuliko Marekani, Japan na Ulaya kwa pamoja?

    Shirika la Marekani la U.S Energy Information Administrative (EIA) linakadiria kwamba: China ina mapipa karibu bilioni 1.4 ya mafuta ghafi. Mkakati kabambe wa China kuhifadhi mafuta ghafi ulianza hasa mwaka 2003 na huku Marekani na nchi za Ulaya tangu miaka ya 1970, mind the gap! Marekani...
  7. X

    JamiiForums Tanzania China kwa sasa ni reference point ya EV industry duniani, imebadilisha rules za mchezo.

    Makampuni mengi ya kutengeneza magari yameingia kwenye production ya EVs, magari ya umeme. Changamoto wanayokutana nayo ni kwamba tayari China's EV industry imesha-set standards. Inachofanya sasa China ni kama Japan's auto industry miaka ya 1980 hadi 2000 mwanzoni ilivyoweka legacy kwenye...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania China yatoa onyo la mwisho kwa Marekani

    Wanaukumbi. "China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani. Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo mengi duniani. Lakini kushambulia, kushikilia, au kusumbua meli zinazosafiri kutoka China, au...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Marekani inaipenda Facebook kwasababu ni yao China wanaipenda TikTok lakini Tz hawaipendi sana JamiiForums

    ilibidi wa Tz waithamini zaidi Jf
  10. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Habari Wakuu, Kamakawaida mtafutaji hachoki, Leo bana nimekuja na kipengele hicho hapo juu kama heading inavyojieeza, naimani uzi huu utakuwa solution kwa wengi sana. Mimi ni mpambanaji najitafuta nimekuwa nikihusle sana kulipia bidhaa zangu China kwa Suppliers hususani katika njia ambazo ni...
  11. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Trump apigwa tobo na China mbele ya kizuizi chake

    Niaje waungwana Meli zilizowekewa vikwazo na Marekani zimeonekana kupita katika mlango wa bahari wa Hormuz licha ya kizuizi kilichowekwa na Washington, jambo linaloibua maswali kuhusu ufanisi wa hatua hiyo. Kwa mujibu wa takwimu za ufuatiliaji meli, meli ya China iitwayo Rich Starry ilivuka...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hispania na China zazidi kuimarisha uhusiano wao

    Spain taifa kongwe liliogundua America zamani sana sasa ni wazi limeamua kuhamia kwa China. Jana Waziri Mkuu wake ametembelea China na kusaini mikataba ya ushirikiano kibiashara na ki diplomasia. Bricks inazidi kupata washirika ni wazi Spain itanufaika itapokea watalii wengi toka Uchina.
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Vita ya IRAN basically lengo kumuumiza CHINA

    Katika vita zote marekani hua anaingia na lengo tafauti na jinsi anavotaka ulimwengu waamini, kwa mfano MADURO alitolewa madarakanikwa sababu anauza mafuta kwa china, IRAN ndo muuzaji mkubwa wa mafuta kwa CHINA Ukiangalia vita zingine kwa mfano IRAQ kisingizio ni "WEAPONS OF MASS DESTRUCTION"...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mvinyo cha Afrika Kusini kinalenga fursa za ukuaji chini ya sera ya China ya ushuru sifuri

    Chini ya mwanga hafifu wa mwanzoni mwa majira ya mpukutiko katika Kizio cha Kusini, mistari ya chupa inasikika kwa utulivu katika Kiwanda cha Mvinyo cha Diemersdal huko Cape Town Afrika Kusini. Msimu wa mavuno ndio kwanza umemalizika, na kuacha safu za mizabibu zikiwa zimechumwa zabibu zake...
  15. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China yaitangulia Marekani kwa kiwango cha kukubaliwa kwa uwezo wa uongozi wa kimataifa

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na Gallup, ambalo ni shirika maarufu la kimataifa la uchunguzi wa maoni, unaonesha kwamba mwaka jana, kiwango cha kukubaliwa kwa uongozi wa kimataifa wa China ni asilimia 36, na kuizidi Marekani kwa asilimia 5. Uchunguzi wa Gallup umeshirikisha zaidi...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI Yavunja Mtandao wa Al-Shabaab Eastleigh, Yachunguza Kampuni Zinazohusishwa na Shehena Kutoka China

    Maafisa wa usalama nchini wameongeza juhudi za kukabiliana na ugaidi baada ya Directorate of Criminal Investigations (DCI) kugundua mtandao unaodaiwa kuhusishwa na kundi la Al-Shabaab katika eneo la Eastleigh, Nairobi. Kwa mujibu wa wachunguzi, operesheni hiyo ilisababisha kukamatwa kwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Haiwezi kutokea hata kidogo urusi ,china , na korea kuingiza raia wao katika vita vya nuclia kisa iran

    Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania “Jibu la China” kwa Kenya: sio mfumo, bali ni mbinu

    Mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 70 ya kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya China na Afrika. Katibu Mkuu wa Chama tawala cha UDA nchini Kenya Hassan Omar Hassan hivi majuzi alitembelea China kwa mwaka wa pili mfululizo. Ziara zake mara kwa mara zinaibua swali: je, nchi hiyo inatafuta...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kununua/kuimport pikipiki used kutoka China?

    Magari used China hayajawa soko zuri Tanzania kwasababu mengi ni LHD, ivyo ni wabishi tu wataweza kuendesha kwenye nchi yenye RHD. Sasa China wako vizuri kwenye pikipiki, tena kwa bei nafuu. Zama za kukomaa na Japan zimepita. Bei kubwa Pikipiki ya 2010. Nimekua nikifuatilia hawa jamaa na...
  20. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China na Kenya zafikia makubaliano ya biashara na uwekezaji

    China na Kenya hivi karibuni zimefikia makubaliano kuhusu ushirikiano wa biashara na miundombinu. Kutokana na makubaliano hayo, kuanzia mwezi Mei, bidhaa muhimu za Kenya ikiwemo chai, kahawa, na parachichi zitaingia katika soko la China bila ya ushuru. Wakati huo huo, China itawekeza mabilioni...
Back
Top Bottom