china

  1. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kufuata Bidhaa hapo China kusikufanye ukajiona umeyapatia maisha ukadharau watu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kama kuna watanzania ambao wanajiona wameyapatia maisha kuliko watanzania wote,basi ni hao wanaofuata bidhaa hapo China!. Aisee,asikwambie mtu jamaa wanajiona wako matawi kinoma!. Bidhaa zenyewe mnaleta feki na kama ni nguo basi ni midosho ya kufa...
  2. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania U.S-CHINA Tech War: China kuzuia uuzwaji wa madini adimu ya vifaa vya kielekitroniki kwenda marekani

    Huku mbiringe mbiringe zikiendelea baina ya Wamarekani na Wachina katika kugombania utawala wa kiteknolojia katika miaka na karne zijazo kaa nami karibu katika kukuletea taarifa mbalimbali kuhusu mtifuano baina ya Marekani na China kiteknolojia. Je, ni taifa lipi litaibuka mshindi na mtawala wa...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nataka kuitembelea China

    Ni shauku yangu kufanya hivyo! Ikimpendeza Mungu, nitaenda huko mwakani. Lengo la safari ni utalii wa kuangalia fursa za kibiashara, hasa bidhaa zinazopatikana kwa wingi huko zinazohitajika sana Tanzania. Na, kama wasemavyo, "mwenda bure si sawa na mkaa bure", huenda katika hiyo ziara...
  4. L

    JamiiForums Tanzania China yaisaidia Afrika kupunguza nakisi yake ya kibiashara na China

    Baraza la serikali la China hivi karibuni limetangaza kuwa, China itasamehe ushuru wa asilimia 98 wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi sita za Afrika, zikiwemo Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Madagascar, Mali, na Mauritania, kuanzia Desemba mwaka huu. Hii ni moja ya hatua...
  5. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania U.S.A VS China Tech War

    Illustration: Stephanie Davidson Business A New Front Is Opening Up in the US-China Conflict Over Chips The emerging field of advanced packaging is being hailed as an inflection point for the semiconductor industry. China is moving in on the same arena. By Jane Lanhee Lee, Ian King, Mackenzie...
  6. F

    JamiiForums Tanzania CHINA wana viwanda vya kumwaga, wanatengeneza kila kitu ila bado Graduates hawapati ajira. Elimu ya chuo kikuu ni SCAM, degree hazina dili

    habari wadau. nimeona BBC article kuhusu soko la ajira la china. nimejifunza zama hizi kumsomesha mtoto chuo kikuu tena digrii zisizo za skills based, kama ufundi ni kuchezea hela. kuna siku mwanao atakulaumu kwa mnaojua kiingereza ama kizungu. mjisomee na nyinyi With Graduate Jobs Scarce...
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon

    Source: Bloomberg Subscribe China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon The government is increasingly relying on Huawei — the company Washington tried to destroy — to lead the country’s efforts to build an independent semiconductor ecosystem. By Bloomberg News...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tufani la Alaqsa kuziangusha Marekani na Israel na kuzipindua nchi zote za kiarabu. Palestina kuwa taifa kubwa mbele ya Urusi na China

    Mipango ya mezani ya Israel wanayoiita baada ya vita inawafurahisha mno wafuasi wa Israel na mayahudi kote duniani.Mipango hiyo kwa upande wa pili kama inawatia huzuni wapenda haki kote duniani. Israel ikiendelea na mashauriano na mwenzake,Marekani wameweka mezani mikakati kadhaa ambayo...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania China life tight sana

    https://youtu.be/veuB84axpCc?si=ZnVWZA9ORNMe8NjB
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Iran kwa mara ya kwanza imefanya jambo kwa US ambalo China na Russia hawajawahi kuonyesha uwezo wa kufanya

    Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani. https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20 Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China yaungana na Afrika katika mapambano dhidi ya UKIMWI kwa kutoa mafunzo kwa wataalamu wa Afrika

    Ikiwa tarehe Mosi Disemba ni siku ya Ukimwi duniani, mbali na kwamba dunia inakumbwa na majanga ya magonjwa mengine lakini janga la Ukimwi bado halijasahauliwa. Nchi mbalimbali zimekuwa na mipango ya kuhakikisha zinatokomeza kabisa ugonjwa huu. Wanasayansi wa sehemu mbalimbali wamekuwa wakikuna...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya Benki za Exim za China na Afrika kutoa msukumo kwenye ushirikiano wa kibiashara kati ya China na nchi za Afrika

    Benki ya Exim ya Afrika (African Export-Import Bank) na Benki ya Exim ya China (China Export-Import Bank) wamesaini makubaliano yanayoifanya Benki ya Exim ya China kutoa mkopo wa dola milioni 600 kwa Benki ya Exim ya Afrika, kwa ajili ya kufadhili mikopo na miamala ya fedha za biashara. Hatua ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani ina hofu na diplomasia ya China katika eneo la mashariki ya kati?

    Kwa mara nyingine hali tete imetokea tena katika eneo la mashariki ya kati. Mbali na mgogoro wa Yemen, na mvutano kati ya Marekani na Iran, mgogoro kati ya Israel na kundi la Hamas umekuwa kuigonga vichwa vya habari, upande mmoja ukilaani vikali mashambulizi yaliyofanywa na kundi la Hamas na...
  14. 5

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

    Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
  15. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Alphonce Simbu na Jackline Sakilu Wang’ra Shanghai Marathon huko China.

    Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ashika nafasi ya Pili kwa muda wa Saa mbili na Dakika tano na sekunde Thelathini na Tisa (2:05:39) na kuwa muda wake mzuri (PB) yaani (Personal Best). Huku Mwanariadha Jackline Sakilu akishika nafasi ya Nane kwa muda wa saa mbili na...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Faida nilizopata baada ya kujitolea kuwapa wajasiriamali wenzangu namba za machimbo ninayonunulia vitu nchini China

    Jikumbushe kwanza huu uzi; https://www.jamiiforums.com/threads/ninajitolea-kutoa-namba-za-machimbo-ya-china-kwa-wapambanaji-wenzangu.2137915/ Nia yangu ilikuwa kusaidiana bila kujali kupata chochote baada ya hapo ila katika hali ya kushangaza baadhi ya wachina ambao tumeshakuwa marafiki sana...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kadhaa wameripotiwa kuwa na matatizo ya upumuaji China

    NIMEONA BBC Waziristan wa China amesema wananchi wajipange kuna watu kadhaa wameripotiwa kuwa na matatizo ya upumuaji Haha hivyoo hawajaelewaaa aina ya kijidudu inayowasumbua kwa sasaaa..mmh wasije na cvd 23 tu Mungu tusaidie
  18. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China waendelea kuwa sehemu muhimu ya mkakati wa Afya wa Tanzania

    Mwezi Oktoba mwaka huu timu ya madaktari bingwa 11 kutoka China iliwasili mkoani Kigoma, ambako ilitoa huduma za matibabu kwa wenyeji wa huko kwa muda wa siku tano, ikiwa ni pamoja na huduma za ushauri wa kimatibabu na upasuaji. Balozi wa China nchini Tanzania Bibi Chen Mingjian aliyehudhuria...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yatambua kuwa bila mawasiliano na China ni vigumu kufanikisha utatuzi wa changamoto zinazoikabili dunia

    Muda mfupi baada ya mkutano kati ya Rais Xi Jinping na Rais Joe Biden wa China kukutana na kufanya mazungumzo mjini San Francisco nchini Marekani wachambuzi na wadau mbalimbali wa mambo ya siasa na uchumi wamekuwa wakitafsiri umuhimu wa mkutano kati ya viongozi hao wawili, na matokeo yake kwa...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania The sinicization of religion (vita ya China dhidi ya dini)

    The Sinicization Of Religions In China Huu ni utaratibu maalumu unaofanywa na nchi ya China kuzifanya dini zote za ng'ambo ziendane na utamaduni na mfumo mzima wa maisha wa jamii ya kichina. Utaratibu huu umeanza karne na karne na umekuwa ukipitia maboresho kadhaa mpaka sasa chini ya China ya...
Back
Top Bottom