Maonyesho ya kibiashara china na Turkey

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,679
12,364
Kwa wadau wnaaotaka kusafiri china na turkey Kuna maonyesho mbali mbali Katika kipindi mbalimbali katika mwaka kama ilivyo kwetu Kuna 7/7.

Nina dondoo kidogo...naomba tukutane hapa kupeana huu mchongo kwani nimekuja kugundua yaani Kwa sisi ambao hatukuwa kusafiri china au uturuki....kuenda kipindi Cha maonyesho kina punguza garama nyingi sana.
Mosi wazalishaji na wasambazaji wooote wanakutana hapo...Kwa hiyo ni rahis wewe kukutana nao na ukapata direction zote.

Itakupunguzia siku ambazo ulitakiwa kuenda masokoni na pia kumlipa mtu WA kikuzungusha...hence itakuepusha na matapeli pia.

La mwisho....utatengeneza chanel ambayo ni genuine kwani watu WA viwandani watakuepo hapo...so utateat Hadi bidhaa zao....ukirudi bongo ni mwendo WA kuagiza tu.

China
Kwa china kuna hii inayoendea October hii ambayo imegawanyika kulingana na vipengele vya aina za biashara.

Canton fair
Pia Kwa mwaka mzima Kuna mawiki ya biashara mbalimbali ...unaweza ukakuta maonyesho ya vipuri vya magari Shanghai...Kwa wiki mbili...etc.

So inahitaji sana kuzijua haya maonyesho Yao.

Ndo lengo la Uzi huu.

Mwenye hizi dondoo naomba uje
Kuhusu usafiri WA kwenda china....vitu vingi vimerahisishwa Sasa hivi ila kuenda strategically ndo swala kubwa ili kubalance mtaji na kuto kuzagaa zagaaa. Hovyo..

Mimi nitaenda may na October...(inshallah Mwenyezi Mungu akijaalia).

May Kuna maonyesho ya vifaa vya bakery... Na October ndo general ila nitaenda specific Kwa ajili ya tarehe ya bidhaa zangu ..maana bidhaa zimegawanywa kimawiki...weeks
 
Kuna taasisi inaitwa TABWA [Tanzania Business Woman Association].Hii taasisi inazo ziara nyingi sana kila mwaka katika nchi mbalimbali. Ni organization ya wamama ila pia wamaruhusu hata wababa pia kwenda nao.
Kuna umuhimu wa kupata exposure kwenye field mbalimbali
 
Kuna taasisi inaitwa TABWA [Tanzania Business Woman Association].Hii taasisi inazo ziara nyingi sana kila mwaka katika nchi mbalimbali. Ni organization ya wamama ila pia wamaruhusu hata wababa pia kwenda nao.
Kuna umuhimu wa kupata exposure kwenye field mbalimbali
Sure sure..
Ngoja niwatafute insta/Twitter
Je Huwa wanakwenda china tu au sehem mbalimbali za kibiashara...
Una experience nao?
 
Sure sure..
Ngoja niwatafute insta/Twitter
Je Huwa wanakwenda china tu au sehem mbalimbali za kibiashara...
Una experience nao?
Huwa wanakwenda sehemu mbalimbali, China, Dubai, turkey, Egypt, Israel ziara nyingi ni za mafunzo, connections, business engagement wapo vizuri sana. Mimi sijawahi kwenda safari zao, ingawa kila mwaka huwa wananipa mwaliko.
Mungu akipenda next year nitajipa exposure nikajionee mwenyewe.
 
Back
Top Bottom