Tanzania na China kushirikiana kuboresha Shirika la reli Tanzania

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Profesa Godius Kahyrara, amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana Serikali ya China, zinatarajia kuliboresha Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), ili kuliwezesha kuongeza ufanisi hususani katika usafirishaji wa mizigo.

Profesa Kahyrara ameyasema hayo jijini Dodoma wakati aliposaini mkataba wa utendaji kazi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kusisitiza kuwa tija ya maboresho hayo ni pamoja na kukuza pato pato la taifa na urahisi kwenye usafirishaji wa mzigo kutoka eneo moja kwenda jingine.
 
Back
Top Bottom