china

  1. Msela Wa Kitaa

    "Magharibi Wamechoka: Uingereza Hoi, Marekani Analia, China Anacheka – Mchezo wa Dunia Unabadilika"

    Wakati Gaza inageuzwa kifusi na Ukraine akiombewa dua tu, dunia inatambua ukweli mmoja mchungu: Myahudi si mtu wa kuchezewa – ni gaidi wa kisheria na mafia wa kisiasa. Lakini yote haya hayawezi kueleweka vizuri bila kumuangalia mlinzi wake mkuu – Marekani. 1. Kwa Nini Marekani Anamlinda...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗖𝗵𝗶𝗻𝗮 𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘂𝗻𝗱𝗮 𝗵𝗼𝘀𝗽𝗶𝘁𝗮𝗹 𝘆𝗮 𝗠𝗮𝗿𝗼𝗯𝗼𝘁𝗶 𝗗𝘂𝗻𝗶𝗮𝗻𝗶

    𝘾𝙝𝙞𝙣𝙖 𝙞𝙣𝙖𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙮𝙖𝙨𝙞𝙮𝙤𝙬𝙚𝙯𝙚𝙠𝙖𝙣𝙖 𝙮𝙖𝙤𝙣𝙚𝙠𝙖𝙣𝙚 𝙮𝙖𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙚𝙠𝙖𝙣𝙖, Hakika china imefanya Sayansi kuwa kweli. 𝗖𝗵𝗶𝗻𝗮 imefanikiwa kufungua hospital ya kwanza yenye Kutumia 𝗠𝗮𝗿𝗼𝗯𝗼𝘁𝗶 na 𝗧𝗲𝗸𝗻𝗼𝗹𝗼𝗷𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗔𝗜 (akili Mnemba) ikiwa na wafanyakazi 14 Maroboti wanao tibu zaidi ya wagonjwa 3,000 kila siku. Hakika...
  3. Narumu newz

    China ni mshirika wa Tanzania na CCM ni taifa linaloendelea kwa kasi sana

    China ni taifa linalokuwa kwa kasi kiuchumi, na ni mshirika mkuu wa serikali ya Tanzania, wakati China wakikua kiteknolojia Tanzania tumejifunza na kujiuvunia nini kutoka kwa marafiki wetu wa muda mrefu, au kazi yetu kubwa ni kuteka na kuwaumiza viongozi wa dini wanaohubiri haki na amani...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    China Vyoo vya umma vinakupa taarifa kuhusu Afya yako wakati unajisaidia

    🚀 Hakika teknolojia inakwenda Kasi sana si unakumbuka ilikua unaenda hospital na dokta anakuagiza umletee sampuli ya mkojo kwa ajili ya uchunguzi kujua kinachokusumbua ni nini !!! ⚙️ Lakini nchini china mwaka 2024 waliweza kuleta mfumo wa kushangaza kwenye Vyoo ambavyo ni vya jumuia watu...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    China imejenga kituo cha reli kwa saa 9 kwa kutumia wafanyakazi 1500

    China imeweka rekodi ya Dunia kwa kuweza kufanikiwa kutengeneza Kituo cha reli kikubwa ndani ya masaa Tisa. Waliweza kukusanya zaidi ya Wafanya kazi 1,500 zikiwa na Mashine nzito na kufanikiwa kukamilisha kituo icho kizima cha Reli kwa wakati uliorekodiwa. Wazungu wanasema when speed meets...
  6. Mshana Jr

    China kitamaduni zaidi

    Likizo ya Siku ya Mei Mosi nchini China inageuka kuwa ya kitamaduni isiyo ya kawaida! Kuanzia maonyesho ya kuvutia hadi bidhaa za kitamaduni zinazovuma, majumba ya makumbusho sasa ni chaguo bora kwa wasafiri wa ndani na wa kimataifa. Majumba ya makumbusho huko Beijing, Hunan, Jiangsu, Shaanxi...
  7. Echolima1

    China yahofiwa kujiingiza kwenye Mgogoro huko Lebanon

    Tukio lisilo la kawaida limetokea leo huko Beirut, Lebanon, wakati ndege ya usafirishaji ya jeshi la China - Xi'an Y-20A mali ya Jeshi la Anga la People's Liberation Army (PLAAF) - ilitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Rafic Hariri. Ndege hiyo ilikuwa imewasili kutoka Abu Dhabi, ambako...
  8. Yoda

    Hakuna nchi iliyotolewa kiuchumi na China, mfano ni Korea Kaskazini Vs Korea Kusini

    Wakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana na US lingine likaenda njia ya Ukomunisti na kushirikiana na China. Miaka 72 leo baada ya uamuzi huo...
  9. Kitimoto

    China Yazindua Mtandao wa Kwanza wa 10G Duniani

    China ilizindua mtandao wake wa kwanza wa 10G katika Kaunti ya Sunan, Mkoa wa Hebei, Jumapili (Aprili 20), na hivyo kuashiria maendeleo makubwa katika miundombinu ya intaneti. Uzinduzi huu ni kazi shirikishi ya Huawei na China Unicom, na unalenga kuwasilisha kasi ya upakuaji hadi 9,834 Mbps...
  10. and 998 others

    Tumirogwa? Tumeshindwa hata kutengeneza Midoli nchini mpaka tuagize China?

    Tumeshindwa hata kutengeneza Midoli nchini mpaka tuagize China? Tumirogwa? - Miaka 61 ya Muungano!
  11. Webabu

    Uwezo wa Houth kuzipiga droni za MQ-R yatajwa ndio sababu ya kutoshindwa kwao.Makamanda waonya matumizi ya silaha zinazohitaji kupigana na China

    Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo. Hizo ni aina ya droni zilizotengenezwa kwa bei kubwa kila moja ikigharimu dola milioni 30.Lakini...
  12. winnerian

    Ukiangalia kwa umakini na kiundani Tanzania inahitaji serikalini inayojali hata iwe ya kibabe na kidikteta kama China

    Lakini iwe tu inajali maslahi ya wengi na "sio ya wachache kama ambavyo imekuwa toka kupata uhuru"
  13. A

    Viongozi wa China ni ma injinia au tuseme Wana sayansi

    Kuendelea Kwa china kiviwanda, Kilimo na uzalishaji kuna tokana na kuwa na uongozi wa Wana sayansi. Ambao wanajua maana kamili ya uzalishaji na sio maneno maneno.
  14. T

    Trump keeps claiming he’s working on a deal with China. Beijing says that it is all in his mind

    President Donald Trump touted that the United States and China were at the negotiating table to reach a resolution to the trade war — but Beijing says that’s not true. Washington was “actively” having discussions with Beijing this week, and Trump said he planned to be “very nice” to reach a...
  15. X

    HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

    AI au akili mnemba ili iweze kufanya kazi inahitaji chip, na sio tu kila chip inaweza kufanya hivyo. Kuna chips maalumu na za hali ya juu kwa ajili ya AI. Na kampuni ya NVIDIA imekuwa supplier mkubwa wa hizo chips zinazoitwa H20 na H100. Na moja ya soko lake kubwa lilikuwa ni China. Wiki...
  16. Yoda

    Vijembe vya China katika vita vya Tarrifs dhidi ya Marekani ya Trump

  17. L

    Ziara ya Rais wa Kenya nchini China yaonesha nia ya Nchi za Kusini ya kuimarisha ushirikiano

    Jumanne wiki hii, Rais William Ruto wa Kenya aliwasili Beijing na kuanza ziara ya siku tano nchini China. Ziara hii inafanyika baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuanza “vita vya ushuru” dhidi ya dunia nzima, na Bw. Ruto ni rais wa kwanza wa nchi ya Afrika kutembelea China katika kipindi...
  18. Yoda

    Vatican ni mfupa mgumu, wamekataa kusalimu amri kwa Wakomunisti wa China kwa miaka zaidi ya 70 sasa

    Mpaka leo hii China bara hakuna uwakilishi wa rasmi wa Kanisa Katoliki la Roma, shughuli zao zinafanywa na "underground church" ambalo ni kanisa la mafichoni na lisilotambuliwa na serikali ya China. Kanisa Katoliki la Taiwan ndili linalotambulika rasmi kama kanisa la China japo serikali ya...
  19. X

    China na Marekani zinatumia mifumo tofauti ya kufanya hesabu za GDP. Kuna uwezekano mkubwa GDP ya China ni kubwa kuliko ya Marekani.

    Standard ya kupima GDP kati ya China na Marekami ni tofauti GDP ya China inatumia mfumo wa production au productive sectors. China wanaangalia hasa total output ya kila economic dept kama industrial production, mining, construction n.k minus imports. Na GDP ya China huwa haihesabu...
  20. Yoda

    Trump alalamika namna China inavyochafua bahari kwa taka zake za viwandani.

Back
Top Bottom