Maafisa 30 wa kilimo na wataalam wa kiufundi kutoka Nigeria, Ethiopia, Kenya, Misri, Gambia, na Cameroon hivi karibuni wamekamilisha "Semina ya Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu kwa Nchi za Afrika mwaka 2025 ". Semina hiyo iliyoendelea kwa siku tano ambayo inahusu mafunzo ya teknolojia ya mpunga wa...
Katika ustaarabu wa China, ndoa haikuwahi kuwa tu muungano wa wapendanao wawili; bali ni muungano wa koo, uzalishaji wa urithi, na uendelevu wa heshima ya familia. Kila hatua ya harusi ilikuwa ibada; kila zawadi ilikuwa ishara; na kila makubaliano yalijengwa juu ya heshima, sio haraka ya hisia...
Kumekuwa na utitiri wa wafanya biashara wanao agiza bidhaa China kupitia Mitandao ya kijamii au kwa kuwa na ofisi hapa mjini Dar es salaam Hasa Mwasiti na Biashara zake.
Watu wengi wamekuwa wakidhurumiwa na wasijue wapi pa kuanzia maana unakuta magroup yao wamedunga hakuna vomment hivyo huwezi...
Bila shaka kuna vitu Trump kajifunza kuhusu Xi katika hivi vita vya biashara na ushuru mpaka tulipo fikia hapa inawezekana alikuwa ana mchukulia kawaida Rais wa China Xi kama anavyo vichukulia virais vya nchi masikini kama Tanzania.
Donald J. Trump Truth Social 06.04.25 02:17 AM EST
I like...
Marekani ni nchi yenye uchumi mkubwa kushinda China ila ndio nchi ambazo zipo kwenye ushindani mkubwa sana wa kiuchumi
Leo nataka niongelee suala la miji
China ina miji mikubwa kushinda Marekani, ina watu wengi kuliko ya Marekani, ina miundombinu ya kisasa, kushinda miji ya Marekani na bado...
China imetambulisha bunduki mpya aina ya electronic magnetic coil Gun yenye uwezo wa kurusha risasi 3,000 kwa dakika bila kutumia mfumo wa baruti (gunpowder) au mifumo ya kawaida.
Imeundwa na chuo kikuu cha uhandisi cha Jeshi la PLA, silaha hi8 inategemea betri la lithiamu ioni na koili 20 za...
Jana na juzi mitandao imepiga kelele ikiongozwa na Serikali ya China baada ya DONALD TRUMP kuagiza balozi zote kusitisha visa appointment zote na kutopanga new appoitnments mpaka maelezo mengine yatakapotolewa
CHAKUSHANGAZA
China imetoka kimbelembele na kusema ni kinyume na haki na "China...
Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China, hususan wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa taifa.
Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China,hususan wale wanaohusishwa...
Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo.
Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump.
Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! 🤯
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7G😀
Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu...
UTANGULIZI: UTAWALA WA MAARIFA KATIKA KARNE YA 21
Katika karne hii ya 21, nguvu siyo tu silaha, siyo tu fedha – bali maarifa. Taifa linalomiliki maarifa ya kisasa na kuyaendeleza lina nafasi kubwa ya kutawala mustakabali wa dunia. Hivi karibuni, China imeandika sura mpya ya mafanikio ya...
afrika
china
maendeleo ya kisayansi
mafunzo kwa tanzania
mapinduzi
mapinduzi ya nishati
marekani
mionzi salama
molten salt reactor
nguvu
nishati mbadala
nyuklia
Mbunge Musukuma ameelezea kisa cha kumfurahisha kilichomtokea alipokuwa China ambapo dereva taxi aliwashusha kwenye gari yeye na mkalimani wake baada ya kuanza kumjadili rais wa China.
Hilo jambo lilimfurahisha sana Musukuma hadi leo akichangia bungeni akapendekeza na kusisitiza na sisi...
Mustakabali wa intaneti unapokuwa chini ya mamlaka yenye uwezo wa kuzuia mitandao ya kijamii na kuwaruhusu wananchi kuona au kusikiliza kile tu wanachotaka—kama ilivyo kwa China na Korea Kaskazini—huenda ukawa na sifa zifuatazo:
1. Intaneti ya Kitaifa, Siyo ya Dunia
Kutengwa na Dunia...
Kuna orodha nimepata hapa ikionesha dunia nzima maraisi na mishahara yao.Samahani hizi sio benk statemnt za CRDB ni zadunia.
raisi wa china mshahara wa mwezi ni USD 20000 na wa raisi wa tz ni usd 47300. Na hapo kumbuka ni mwakajana ukisikiwa watumishi na walimu mumeongezewa mshahara mkaanza...
Dear Customers
We are excited to introduce our reliable and efficient air cargo service from China to Tanzania, designed to meet your shipping needs at an affordable rate of $11.5 per kilogram.
Why Choose Our Service?
Speed: Timely delivery of your goods using efficient air transport routes...
WATALII CHINA NA INDIA WAMEONGEZEKA
Kupitia mikakati mahsusi ya kutangaza utalii kwa kushirikiana na balozi za China na India, Serikali imefanikiwa kuvutia masoko mapya ya utalii.
Filamu ya Amazing Tanzania iliyomshirikisha Rais Samia na nyota wa China Jin Dong imechangia ongezeko la watalii...
KUNA WATU WANAUMIA WAKONA MAENDELEO YA TANZANIA
Serikali ya Tanzaniaimeendelea kushirikiana na wadau mbalimbaliikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Chinakatika kuboresha huduma za uchukuzi katikaBahari. Mkakati huo umeendelea kutekelezwa naKampuni ya Meli ya China na Tanzania(SINOTASHIP)...
Ushuru uliowekwa na Marekani unaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi zinazoibuka kiuchumi kama China nan chi za Afrika, lakini wakati huohuo, hatua hiyo ya Marekani itawezesha ushirikiano wa nguvu zaidi kati ya China na Afrika katika biashara na uwekezaji kwenye seta muhimu za uzalishaji, nishati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.