china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya changamoto za biashara duniani, biashara kati ya China na Afrika yaimarika na kuchochea maendeleo ya Afrika

    Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
  2. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Mpunga chotara wa China wasaidia nchi za Afrika kuhakikisha usalama wa chakula

    Bw. Moussa Dabo kutoka Gambia alikuwa mwanafunzi wa Yuan Longping ambaye ni Mwanasayansi maarufu wa mpunga chotara nchini China, hivi karibuni alifika kwenye kaburi la Yuan kutoa heshima zake. Alipiga magoti na kuweka mfuko wa mpunga chotara kutoka nyumbani kwake mbele ya kaburi na kusema...
  3. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Afrika wastawi

    Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika 11 ya kimataifa, na zaidi ya kampuni 4,700 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Kwa nini China haijaisaidia Iran kwenye vita vyake na Israel?

    Wengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran. Ila tatizo liko kwa Iran yenyewe Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral security and defence partnership. China ikiwa bado haina nguvu kubwa za kijeshi kama sasa imewahi...
  5. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Inasadikika China Yapeleka Makombora na Silaha Hatari Iran

    Siku moja baada ya Israel kushambulia Iran siku ya Ijumaa, ndege ya mizigo ilipaa kutoka China. Siku iliyofuata, ndege ya pili iliondoka kutoka mji wa pwani, Kisha Jumatatu, nyingine ikaondoka, wakati huu kutoka Shanghai - safari tatu za ndege kwa siku tatu. Takwimu zilionyesha kuwa katika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania China yapiga marufuku 'Chip' za NVIDIA kutoka Marekani, sasa kujitegemea kabisa katika teknolojia

    China imechukua hatua kwa kupiga marufuku rasmi matumizi ya chips (vipuri vya kielektroniki) kutoka kampuni ya Marekani, NVIDIA. Hatua hii inaonesha wazi kuwa China haiko tena tayari kutegemea teknolojia kutoka Marekani. Badala yake, China imeamua kujiamini na kuanza kujenga teknolojia zake...
  7. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Ni Korea kaskazini pekee inaweza lindwa na china nchi zingine ni marafiki msaada utategemeana na hali ya vita

    Kama ulikuwa hufahamu sio kosa kwa China kuonekana mbele mbele kwa vita zisizo muhusu hasizo na ushirika nazo. Tusubiri siku North Korea ikivamiwa kama 1950-1953. China currently has a defense treaty with North Korea. This treaty, officially titled the "Treaty on Friendship, Cooperation and...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania China Yazindua Uzalishaji wa Chipu za AI Zinazotumia Mantiki Isiyo ya Kawaida (Non-Binary AI Chips)

    China imeanza uzalishaji kwa wingi wa chipu za kisasa za akili bandia (AI) zinazotumia mfumo usio wa jadi wa “non-binary” — yaani hazifanyi kazi kwa mfumo wa kawaida wa tarakimu mbili (binary) wa 1 na 0 pekee. Badala yake, chipu hizi zinaweza kuchakata taarifa kwa kutumia hali ya uwezekano...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Marekani aweka wazi kwamba, alikwenda Afrika kuilenga China!

    Katika mkutano wa ulinzi wa Afrika uliofanyika hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya, Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Michael Langley, aliweka wazi kwamba kwa kufuata amri ya waziri wa ulinzi wa Marekani, mkutano huo uliandaliwa na Marekani na lengo kuu ni...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kitaalamu: Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Kupitia Alibaba

    WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima. Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Iran Urusi na China wameipata teknolojia ya f 35 stealth kiuwepesi kabisa

    Mara baada ya f 35 stealth kudunguliwa sasa Urusi na UChina wataenda kuchukua teknology ya f35 Iran Hii ni Faida kubwa sana kwa Iran,Urusi na UChina Mmarekani hataki kumuuzia yeyote hio f35 zaidi ya Muisraeli huyo Uturuki kanyimwa kuogopa teknolojia itaibwa.
  12. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mkomunisti aliyechukia umasikini na kuupenda utajiri aliifufua China toka kuzimu [ Dikteta bora wa Kiasia mzaliwa wa China Deng Xiaoping ]

    Si mwingine bali ni mtu mfupi wa kimo bali mrefu wa maarifa na kuona mbali kuhusu kesho ya taifa lake Deng Xiaoping Mkomunisti na dikteta bora wa kichina aliye iokoa chini yake kutumbukia shimoni mwa umasikini uliotopea na mvurugano mkubwa wa kisiasa. Deng Xiaoping alinusurika kuuwawa na...
  13. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania China yalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    China inalaani "ukiukaji wa Israel wa mamlaka, usalama na uadilifu wa ardhi ya Iran", mjumbe wa Umoja wa Mataifa Fu Cong alisema katika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa saa chache zilizopita. Beijing "ina wasiwasi mkubwa" juu ya athari mbaya ya hali ya sasa katika...
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania Tech and AI battle kati ya USA na China, Makampuni Mengi ya USA yanaongozwa na wachina (Battle ni China vs Chinense diaspora) - USA vita hawezishinda

    Watu wengi hufikiri vita ya teknolojia ni kati ya USA na China… Lakini ukichunguza kwa undani, kuna vita isiyo rasmi kati ya China ndani ya china na diaspora yake Wachina walioko Marekani wanaoongoza makampuni makubwa ya AI ya Marekani. 1. Vita ya Teknolojia: USA vs China (Kiwango cha Serikali)...
  15. Pearce

    JamiiForums Tanzania Russia na China kuingia mzigoni baada yaashambulizi ya Muyahudi

    Baada ya Israel kufanya mashambulizi kwenye mji mkuu wa Tehran na watawasilisha siraha za maangamizi kuisadia kutokana na mapatano waliyofanya awali. AMbapo IRAN alipeleka teknolojia ya drone za Shaheed, na makombora kumsaidia Urusi vita ya Ukraine. Alienipa taarifa za ndani kabisa, ni...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania China Yazindua Samaki wa Roboti wa Kibioniki kwa Uhifadhi wa Mito na Mazingira

    China imetengeneza samaki wa roboti wa kibioniki kusaidia katika uhifadhi wa mito na ufuatiliaji wa mazingira. Samaki huyu wa kisasa umetengenezwa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Wuhan na unatumia akili bandia (AI) kuiga mienendo ya samaki halisi huku ukikusanya taarifa kuhusu ubora wa maji...
  17. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Afrika wanapenda zaidi kusoma nchini China badala ya Marekani

    Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho. Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na China kuongeza nguvu katika diplomasia ya uchumi

    TANZANIA NA CHINA KUONGEZA NGUVU KATIKA DIPLOMASIA YA UCHUMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi pembezoni mwa Mkutano wa Jukwaa la...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Ziarani Nchini China

    Waziri Kombo Ziarani Nchini China🇨 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Beijing, China tarehe 9 Juni, 2025 kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Kiongozi wa Ngazi ya Juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri wa Watu wa China...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mpunga chotara wa China waimarisha usalama wa chakula nchini Madagascar

    China na nchi za Afrika zimekuwa na uhusiano uliodumu kwa miongo kadhaa, na uhusiano huu unagusa maeneo mbalimbali ikiwemo elimu, biashara na uchumi, sayansi na teknolojia, ujenzi wa miundombinu, kilimo, na maeneo mengine mengi. Kupitia ushirikiano kati ya pande hizo mbili, nchi nyingi za Afrika...
Back
Top Bottom