cheti

  1. Jinsi ya mzazi kumchukulia cheti cha sekondari mtoto wake aliye nje ya nchi

    Jamani naomba kupata maelekezo kuna uwezekano kwa mzazi kumchukulia mtoto wako cheti chake cha form four au six kama yeye mwenyewe hayupo nchini na nina documents zote zinazoonyesha hayupo. Cheti original kinahitajika chuoni alipo. Je, kuna uwezekano wa mzazi kukichukuwa? Na je, utaratibu...
  2. BRELA wanachukua muda gani kutoa cheti?

    Wanajamvi shikamon wote kwa moyo mkunjufu. Naomba kwenda kwenye swali langu kama ambavyo kwenye heading linajieleza, naomba kuuliza anaejuwa taratibu za BRELA baada mtu kumaliza kazi yote ya usajili wa kampuni na kulipia Je! Huwa watumia mda gani kutoa cheti kwa mhusika?
  3. Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kutoka RITA Tanzania

    Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa: RITA Tanzania Kwa mujibu wa sheria unaweza kupata cheti katika Wilaya uliyozaliwa au katika ofisi za Msajili Mkuu, Makao Makuu ya RITA katika jengo jipya la wakala la Rita Tower lililopo Mtaa wa Makunganya maeneo ya posta mpya mkabala na Club Bilcanas, Dar...
  4. Ni taratibu zipi natakiwa kuzijua kwenye uombaji wa cheti mbadala kutoka NACTE

    Msaada wa pendwa cheti changu cha Diploma kimungua kwa ajari ya moto, nimekwama baada ya kushindwa kupata muongozo kutoka kwenye website ya NACTE. Ni kiasi gani cha fedha na muda wa kupata hicho cheti mbadala ni upi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…