Inawezekana kupata ajira bila cheti cha form four?

gwamipascal

Member
Mar 28, 2020
15
23
Namaanisha hivi...

Mim sikufanikiwa kuhitim form four niliishia form three kutokana na ishu za uchumi. Lakini kutokana na uwezo wangu ulikua mzuri kiakili yaani sikua kilaza. Baada ya kupata kibarua kiwandan nilifanikiwa kujilipia technical college pale techno brain(Dar es salaam) ambako wao hawako chin ya nacte hivyo wana utaratibu wao wa kutoa training hata kama ni la saba kma unajimudu unasoma unafanya mitihan ukifaul unapata gamba husika.

Mim nilisoma pale level ya diploma(kwa mtaala wao sio nacte) ina IT. then nika endelea na professional coz za CCNA, CCNP na ITIL. Sasa naomba wazoefu wanishaur uwezekano wa kupata ajira kwenye makampuni upo kwa level yang. Mana ajira nying au zote wanataka uwe na chet cha form four.

NB ukiachana na ishu ya chet cha O level ambacho sina ila nina uwezo mzur sana wa kufanya kazi za IT( networking and security, database)

Ahsanten. Nawasilisha
 
Ngoja waje, ila naonaga matangazo mengi form4

Ila piga QT ata ukipata four 33, tayari cheti,

Kwa tz hii ya saiv dah unaweza kupata au usipate
 
Kwanini usifanye hio mitihani ya form Kama private upate hiko cheti ni sh 50000 Ada ya mtihani

Tatizo liko wapi why uhangaike hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa ushaur ila kwasasa ndo najipanga kufanya hio natakiwa mwaka huu november nifanye qt then mwakan nifanye pc. So wakat nasubir hy miaka 2 ndo nakomaa pia kutafuta ajira
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom