chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hongereni CHAUMMA kwa mwanzo ulio bora kabisa, chama hujengwa, na hatimaye husimama!

    Chama kama taasisi yoyote ile huitaji wajenzi, wenye bidii iliyo kubwa kabisa na mbinu mbali mbali hatimaye kukisimamisha chama kikaonekana miongoni mwa watanzania na mwishowe kupendwa, kuhusudiwa, kutamaniwa na wote,o Nimpe hongera bw. Mbowe kwa jinsi alivyo simama na chadema mpaka kuifikisha...
  2. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA watupa jiwe gizani, wasema mkutano wao umejaza watu wengi kama mchanga hivyo watu waache kuwabeza

    Waliokuwa wanaibeza CHAUMMA kuna ujumbe wenu hapa. Unaambiwa watu wamejaa uwanja wa Furahisha kama mchanga. Hakika CHAUMMA sasa ipo tayari kuikabili CCM kiulalo ulalo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bora chaumma ifanye mikutano ya ndani badala ya hadhara

    Maana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyomi la CHAUMMA jijini Mwanza kwenye uzinduzi wa C4C laishtua CCM. Hakika ni chama Mbadala kwa siasa za upinzani

    Hakika sasa Tanzania imepata chama mbadala cha Upinzani. Watanzania kiungeni mkono chama chenu, kipo tayari kuwaletea ukombozi wa kweli na hapa kipo uwanja wa furahisha kuzindua kampeni ya CHAUMMA for Change (C4C). CHAUMMA oyeeee!
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA yatumia akaunti ya YouTube ya CHADEMA kutangaza na kurusha mikutano yao

    Amani iwe kwenu waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa! Katika Hali ya kustaajabisha nimekutana na Account ya Chadema ikirusha matangazo mubashara ya mkutano wa hadhara wa chama Cha CHAUMMA. Ndugu zangu wa CHAUMMA mnapinga vipi wizi wa rasilimali za nchi wakati nyie mmeiba YouTube account ya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

    https://www.youtube.com/live/e-gAjW47RNY
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe, kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure

    Wakuu Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe hakuna watu, yaani kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure. Maandalizi yakiendelea katika uwanja wa Furahisha kikundi Mwanza. Uzinduzi wa kampeni hiyo utafanyika baadae leo na kisha itapelekwa katika mikoa mbalimbali kwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania John Mrema, tunaomba updates za uzinduzi wa CHAUMMA for Change (C4C)

    Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine. Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Ndinga la CHAUMMA linatarajiwa kutumika ziara za mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini

    Wakuu Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini. Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani mgombea urais wa CHAUMMA zaidi ya Askofu Gwajima?

    John Mrema aliyetimukia CHAUMMA akitikoea CHADEMA na kufanywa Mkurugenzi wa habari wa chama hicho alivyokuwa katika mahojiano hivi karibuni na Cza wa Clouds alisema mkakati mmojawapo wa CHAUMMA kushinda uchaguzi ni kumuweka mgombea urais mwenye ushawashi anayekubalika. Ni nani huyo mwenye...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini ghafla tu CHADEMA wanakiogopa sana na kukichukia chama cha ukombozi wa umma (Chaumma)?

    Kuelekea uchaguzi Mkuu wa kihistoria Tanzania mnamo October mwaka huu 2025, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetokea kukiogopa na kukichukia sana Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kwenye medani ya siasa. Unadhani hali hiyo imechochewa na nini?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima karibu Chaumma kiti chako kipo empty kinakungoja!

    Karibu utie nguvu hapa na Ile kweli yako ya moyoni mwako uje uiweke wazi hapa! MaCCM wametukatili sana walitunyima vibali vya kurusha chopper letu, lakini tunasema inshaallah, watatubana sana, watatufanyia roho mbaya sana, Hawa CCM ndiyo wanaoteka watu wasio na hatia, Hawa ndiyo wamemuweka...
  13. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sinema ya CHAUMMA na G55 ndio inaisha au tusubiri nyingine?

    Walianza kwa mbwembwe nyingi sana za kupokea “mafuriko ya wanachama” kutoka CHADEMA, wakatangaza oparesheni C4C TUSONGE MBELE itakayofanyka kwa kutumia chopa mikoa 16 kwa kuanzia huko Kanda ya Ziwa mnamo Mei 30. Operesheni hiyo inayotafsiri ‘Chaumma for Change’, itazinduliwa mkoani Mwanza Mei...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, kutopewa kibali cha helicopter na uwanja kwa CHAUMA ni mwanzo wa figisu kwa chama hicho baada ya kuonekana kimeanza kupata baadhi ya mafanikio?

    Je, kutopewa kibali cha helicopter na uwanja kwa CHAUMA kule mwanza ni mwanzo wa figisu kwa chama hicho baada ya kuonekana kinaanza kutrend kuelekea uchaguzi ? Je, unafikiri CCM watakubali chama hicho kitrend zaidi na kufanya mikutano yake bila figisu ? Kama kutakuwa na figisu vipi na wale...
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Historia kuandikwa Mbunge wa Kwanza Chauma atatoka Kizimkazi zanzibari Salumu Mwalimu

    Sijui naota au ni kweli? Nmeyapata kijiweni kwetu pale kizimkaZi Wana wanasema yupo mjomba angu atagombea na historia itaandikwa TU YAKUWA mbunge wa kwanza kutoka chama Cha Ubwabwa Tanzania atatokea kizimkazi. SALUMU MWALIMU ataje hata MJUMBE Mmoja wa nyumba kumi kutoka chama Cha democrasia na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Eugen Kabendera: Wamekuja CHAUMMA wapate Ubunge wa kupewa

    Eugen Kabendera aliyekuwa Katibu Mkuu CHAUMMA amefichua mazito ndani ya Chama hicho kwa sasa kwa kusema mtazamo na dira ya Chama imebadilika kwani waliokuja kwa sasa wanahubiri tu kuhusu Ubunge. Pia, Soma Mmoja ya waasisi wa CHAUMMA, Eugene Kabendera aachana na ubwabwa wa Rungwe, asema Chama...
  17. mtetezi wa MAGU

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA kimekuwa kimbilio cha wenye uchu wa madaraka

    katika siku za karibuni tUmeona wanasiasa wenye UCHU wa mamlaka, CHAUMA kimekua kimbilio kwao, hii ni baada ya chama chao kutaka mabadiliko yakimfumo na kugomea kushiriki uchaguzi mkuu wa october 2025,Wengine wamejiengua mapema na kutimkia Chauma hasa kwa lengo la KUSAKA madaraka na kutimiza...
  18. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Nipashe wamechapisha taarifa kuwa 'Halima Mdee kuwaongoza wabunge 19 wa CHADEMA kuhamia CHAUMMA'

  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA: Kabendera alijitenga na shughuli za Chama tangu 2024 kabla ya kujitoa rasmi

    Chama kimetoa ufafanuzi rasmi baada ya kusambaa kwa barua ya kujitoa uanachama ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Ndugu Kabendera. Taarifa hiyo imeeleza kuwa Kabendera ni miongoni mwa waasisi wa Chama na alihudumu hadi Septemba 29, 2024, alipofanyiwa mabadiliko ya kiutendaji. Baada ya...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe akienda CHAUMMA wengi tutakuwa mwanachama wa CHAUDEMA

    Wengi ni wakereketwa wa CHADEMA, chama makini, lakini pia wengi wanamkubali Freeman Mbowe kama mwanasiasa mahiri. Kama Mbowe atakwenda CHAUMMA wengi wetu itatubidi tuwe wanachama wa CHAUDEMA ili tufaidi vyote.
Back
Top Bottom