chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Lembruce Mchome aibukia mkutano wa CHAUMMA Ubungo Plaza

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ni miongoni mwa walionaswa na kamera za Jambo TV japa Ubungo Plaza kwenye Grand Reception ya Chama cha Ukombozi wa Umma
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA wapokea wanachama wapya 3,000 pamoja na kuzindua kampeni mpya ya C4C

    https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja amesema kila Mtu...
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Waliohama CHADEMA wanakwenda kukifufua CHAUMMA au kudidimia nacho?

    Kuna wimbi la wanasiasa na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kukihama chama hicho kikuu cha upinzani na kuhamia chama kingine cha upinzani cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Mei 19, 2025, Mwenyekiti wa Chaumma, Hashim Rungwe aliwapokea baadhi ya vigogo hao; akiwemo Salum...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Miezi sita ijayo CHAUMMA itarudi kwenye uhalisia wake

    Project ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo. Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge. Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko. Siku zote muda ni mwalimu mzuri
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Shamrashamra Ubungo Plaza, CHAUMMA pameanza kuchangamka

    Shamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu zaidi kwa CHAUMMA kupata mafanikio ya Kisiasa Tanzania tena ni rahisi zaidi kwa TLP ya Mzee Mrema kukamata dola 2025

    .CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachama wa CHADEMA, Husna: Napigiwa Simu nyingi niende CHAUMMA kiukweli siwezi mimi ni CHADEMA damu

    Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini. "Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema...
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa ikisema 'Sugu kujiunga rasmi CHAUMMA

  9. A

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

    Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA. Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA. Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA. Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau...
  10. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Haya yatatokea kati ya Juni na Disemba 2025

    JUNI 2025 Matukio yanayotarajiwa: Kutakuwa na majadiliano ya kina kuhusu katiba au mageuzi ya sheria fulani, hasa upande wa haki za kiraia na uhuru wa vyombo vya habari. Kutaibuka mjadala mkubwa kuhusu maadili ya vijana na matumizi ya mitandao ya kijamii. Sekta ya kilimo itaathirika na...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wanademokrasia nendeni mkaifanye kazi nzuri ndani ya CHADEMA

    Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Katibu Mkuu CHAUMMA.

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ndio habari mpya kuwa Salum mwalimu ateuliwa na halmashauri kuu ya CHAUMMA kuwa katibu Mkuu. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Benson Kigaila apewa nafasi ya Makamu Mwenyekiti CHAUMMA

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho. Kigaila ambaye alikuwa akiunda kundi la G55 lililoanzisha harakati na kwenda kinyume na uongozi wa sasa wa Chadema, ametangazwa leo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya...
  14. E

    JamiiForums Tanzania G55 walamba vyeo Chaumma

    Kufuatia makubaliano yanayoendelea kati ya Chaumma na makada waliotoka Chadema, Hashim Rungwe anaendelea kuwa mwenyekiti wa chama hicho na makamu wake (Bara) anakuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Devotha Minja. Nafasi ya Katibu Mkuu amepewa Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA yapokea rasmi baadhi ya G55 walioondoka CHADEMA

    Wakuu, CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55 https://www.youtube.com/live/F2vujXgaQ8I?si=JXMwKc7Puisgjq6K Catherine Ruge, Mrema na wengine baada ya kupewa kadi ya uanachama wa CHAUMMA na kuwa wanachama rasmi wa chama hicho, waandishi wa habari wametoka nje kuwapisha CHAUMMA...
  16. E

    JamiiForums Tanzania G55 kupokelewa rasmi Chaumma Mei 19

    Wakati Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kikitqrajia kuanza vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kuanzia kesho Jumatatu Mei 19, 2025 jijini Dar es Salaam, baadhi ya makada na viongozi waliojitoa Chadema wanatarajiwa kupokelewa rasmi. Soma pia: Vikao hivyo vinafanyika baada ya...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kumbe Devotha Minja alishalamba dili la kutengeneza vitenge vya CHAUMMA

    Huyu mama kumbe sujui alilewa akasahau akatuma sample ya vitenge vya CHAUMMA kwenye group la Kamati kuu ya Chadema. Alituma usiku labda aliuwa ameshabwia. Maana yeye na kina Mrema huwa wanatoaga sana maboko majira ya saa nne za usiku mpaka saa nane usiku. Hii mida kwa wale wazee wa vyombo huwa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maria Sarungi adai kuna mpango wa siri wa kuipa CHAUMMA asilimia 7 ya kura za Urais na viti maalum 20 ili wapate ruzuku

    Inadaiwa kuwa kuna mpango wa siri unaohusisha baadhi ya taasisi muhimu za kisiasa nchini, zikiwemo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dawati la Siasa Ikulu na baadhi ya wanasiasa maarufu G-55, unaolenga kukipa chama cha CHAUMMA upendeleo maalum kuelekea uchaguzi mkuu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA inatakiwa kuonewa Huruma, matapeli wa Siasa huwa hawana huruma

    Wahenga walisema, ogopa sana mwanamke aliyeamua kumwacha mumewe, halafu kila siku anamsema huyo aliyekuwa mumewe. Na tena walisema, ogopa sana, na ukimbie kabisa, kama una mahusiano na mke wa mtu, halafu ukamsikia huyo mwanamke akisema kuwa anakule da sana wewe, na kwamba yupo tayari kumwua...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe: Nitagombea Urais hata mara 100

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amethibitisha kuwa atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Rungwe amesema hayo leo Mei 15, 2025, katika mahojiano na TBC1, ambapo alizungumza kuhusu mustakabali wa chama hicho kuelekea uchaguzi huo. "Kwa kuwa...
Back
Top Bottom