https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY
===
Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.
Pamoja na...
"Nashukuru kwa heshima ya kuteuliwa kuwa mtaalamu CHAUMMA. Ingawa nathamini sana imani yenu, majukumu yangu ya sasa yananilazimu kuchukua "Back Seat" kisiasa kwa wakati huu. Nawatakia Sekretarieti mpya na Chaumma utendaji uliotukuka!"
Awali John Mrema alitangaza kuteuliwa kwake
"Kurugenzi ya Viongozi wawakilishi kwa maana ya Wabunge, wajumbe wa Baraza la Uwakilishi na madiwani na Kamati kuu imemteua Bwana Kayumbo Kabutali ambaye yeye ni Msomi wa Chuo Kikuu na ni Daktari wa mifugo Mbobevu, mwanasiasa wa muda mrefu, amefanya siasa kwenye kabla ya Chaumma akiwa kwenye...
Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imefanya uteuzi wa wakurugenzi wa idara mbalimbali ya chama hicho akiwemo John Mrema kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma.
Mrema atasaidiwa na Ipyana Samsom ambaye awali alikuwa akiiongoza Idara hiyo.
Aidha, Catherine Ruge...
Habari wanajukwaa hili pendwa kabisa la Jamii forums/Jamii Afrika.
Siku zote taifa imara linajengwa na vijana imara na sio vijana wa ovyo ovyo! Mara kadhaa tumeshuhudia mifumo yetu ya kuandaa vijana imara kulitumikia taifa ikifeki kwa kuchezewa na watu wachache kwa masikahi Yao binafsi.
Hebu...
Habari wanaukumbi!
kujiondoa kwa CHADEMA uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 ni dhahiri shahiri ni pigo kwa taifa, hivyo basi lazima kupatikane jukwaa mbadala la kuandaa viongozi wa taifa hili kwa siku za mbeleni, mtu sahihi wa kufanya hivyo ni FAM, Sisi sote ni mashahidi katika uongozi wake...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa kutoka Mkoa wa Mwanza Salma Kasanzu awataka wananchi mkoani Mwanza kuwazomea viongozi wakuu wa CHAUMMA ambao wametoka CHADEMA akidai kuwa viongozi hao wapo kwa ajili ya kupambania matumbo yao na sio wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
GT
Wale wataalamu wa siasa chafu na propaganda hii project ya Chaumma itatoboa kweli?
Binafsi nimeona imefail kabla hata ya utekelezaji wake kuanza. Huenda mi siyo mtaalamu sana wajuzi mtuambie.
Nimewasikiliza wanachama 3 wailotapeliwa na kudanganywa kujiunga na CHADEMA kutoka Wilaya ya Kwimba warudisheni Chadema na waendelee na vyeo vyao kwa kufuata katiba.
Kwa kweli nimewahurumia sana na kwa msingi huo na declare kuwa Chaumma ni chama cha kihuni hakitafika mbali.
Chadema...
Katika kile kinachoonekana kuwa ni jaribio la kutangaza ushindi wa kisiasa, baadhi ya wanachama wa CCM wametamba kwamba wamefanikiwa kuibomoa CHADEMA. Hata hivyo, takwimu halisi za mwelekeo wa uondokaji wa viongozi na wajumbe ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani zinaonyesha picha tofauti...
Wakuu, hapa nimewasogezea video ambayo wananchi wanatoa ya moyoni Sakata zima la waliokuwa viongozi CHADEMA kuhamaia CHAUMMA, ambapo wamewalaumu viongozi hao kukosa msimamo thabiti wa kupigania maslahi ya wananchi bali matumbo yao binafsi
Baada ya Taarifa za Kada wa CHADEMA kuhusishwa na kuhamia CHAUMMA kwasabu ya kuwa mfuasi wa Mbowe, mwenye afunguka.
"Sio kweli kwasababu unaniona hapa, sio kweli aliyehama ni mtu wa Mbowe. Mimi naamini mambo hayo yalishakwisha, Uchaguzi ulishakwisha, sasa hivi hakuna mtu wa Mbowe wala hakuna...
Katika miezi na siku za karibuni, uwanja wa kisiasa nchini Tanzania umeendelea kubadilika kwa kasi, huku vyama vya upinzani vikionyesha mabadiliko ya kimkakati ambayo yanaweza kubeba athari kubwa kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Mojawapo ya mwenendo unaoibua maswali mengi ni Uhamaji wa Kasi...
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Chadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu.
Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao...
Rungwe amefanyiwa mahojiano na Maktaba media na alipoulizwa kuhusu tetesi za huenda kundi alilolipokea kutoka CHADEMA linaweza kumpora chama cha CHAUMMA amejibu;
"Inawezekana kama lengo lao ndiyo hilo. Na mimi nipo tayari, .... mbona tunatetemeka, tunatetemeka nini? kupoteza, kupoteza nini? ni...
Kama ni kweli Mh Freeman A Mbowe amenunua Chaumma basi hatakuwa mtu wa kwanza kununua chama cha Siasa
John Shibuda mbunge wa Chadema mstaafu alishawahi kununua chama cha Siasa kisha akakiuza
Mlale unono 😁
Kwako Retired
Majibu ya John Shibuda ~ John Shibuda ajibu madai ya kuwa alinunua chama...
Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani Tanzania kaongea tena. Ni mwaka wa bilionea Hashim Rungwe, atamba na kusema yuko tayari kumuachia Mbowe uenyekiti wa chama. Piga picha mabilionea wawili wakae mahala pamoja! Watu waliooukwaa ubilionea tangu senti hamsini iko kwenye mzunguko wa fedha Tanzania...
Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!.
Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee akionyesha alama zinazotumiwa na vyama vya vya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) alipokuwa ndani ya ukumbi alipohuduria kikao cha 30 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo Mei 22, 2025. Kulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.