Hakuna mwenye akili timamu wakuungana na hao wasaka tongeMaana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
Halafu watu walikuwa wanasema eti Mbowe atahamia CHAUMMA. Mbowe ana mapungufu yake lakini hajafikia stage ya ujinga kama huu.Labda wafanyie mkutano Bar ziwepo na nyama choma.
Umewakatia tamaa wenzako mapema namna hii?Maana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
Slogan si ni C4C, yaani CHAUMMA for change? Au?Katika kuzunguka kwako mkuu ulishawahi kutana na mtu yyte anayezungumzia CHAUMMA???
Hao watu wa kujaza hata ukumbi w bar unawapata wapi hapo???
Viongozi hata kutunga slogan wameshindwa ?
Pombe siyo chai
Wanachange nn na wapi?Slogan si ni C4C, yaani CHAUMMA for change? Au?
Nimeona wamefanya mkutano wa ndani na kila anayeongea anaitaja Chadema badala ya kuinanga Ccm ambaye ndiyo adui.wamekuea kama ActMaana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
Maana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo
Ushauri mzuri sana. Watengeneze kwanza safu za viongozi kuanzia Taifa Hadi chini. Hapo Mwanza walipoenda sidhani kama viongozi wa chama hicho hapoMaana mwitikio wa watu ni mdogo sana, hii inaweza wanachama wa chama hicho waliohama chadema kuvunjika moyo