chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 mkutano wa CHAUMMA: Tulimpambania Lema akawa mbunge miaka 10, leo anasema CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge

    Wakuu Bado maumivu ya hawa G55 ni makali na yanawachoma sana, baada ya kuambiwa CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge kwa watu binafsi bali ndoto za wananchi. Hawa majamaa wanajali matumbo yao wanasahau chama kama CHADEMA kinatakiwa kupambania maslahi ya wananchi. Watu wa aina hii ni...
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Video: CHAUMMA waimba wimbo wa CHADEMA mkutanoni Ubungo Plaza 'CHADEMA nitakulinda mpaka kufa'

    Wakuu Hawa G55 ni kama bado wapo CHADEMA tu, kwenye mkutano wa CHAUMMA wanaimba wimbo wa CHADEMA 'Naapa naahidi CHADEMA nitakulinda mpaka kufa' wamebadilisha jina la chama tu.
  3. Small letter

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA hata ikipata viti viwili maalum vya Ubunge vitakuwa vya Mke wa Mwalimu na Kigaila akina mama wengine pambaneni Kwa tahadhari

    Yale ya COVID 19 kule CHADEMA ni ngumu kutokujirudia huko CHAUMMA, Wanawake mnakwenda CHAUMMA Kwa malengo ya viti maalum fanyeni hivyo Kwa tahadhari Sehemu sahihi ni CCM tu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Uvumi, tetesi , fununu zilibashiri kuwa leo Mbowe ataonekana rasmi kwenye mkutano wa Chaumma, hali ikoje?

    Nyerere alisema DHANA HAIPATANI NA UKWELI. Tujiepushe na kubashiri mambo bila concrete reasoning and valuations
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA leo walikuwa na Uchaguzi? Katiba yao inasemaje kuhusu Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti, Katibu na manaibu wake? Kwako msajili

    Hili lilofanyika Leo ni HALALI Kwa Mujibu Katiba ya Chaumma? Je, MTU anaweza hamia Leo Leo, Bila Mkutano Mkuu, Wala Baraza Kuu na akapewa Cheo?. Msajili anasemaje katika hili?
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayala: Waliohamia CHAUMMA, hakuna aliyewahi kuwa na jimbo, pia pasipokuwa na mabadiliko kuelekea uchaguzi CHADEMA kwisha habari yao

    Akifanya mahojiano na Bongo FM Pascal Mayalla nimekusikia ukisema waliohamia CHAUMMA, hakuna aliyewahi kuwa na jimbo, bila malegend waliowahi kuwa wabunge chama hicho hakitoboi. Pia nimekusikia ukisema pasipokuwa na mabadiliko kuelekea uchaguzi CHADEMA kwisha habari yao, kwamba itakuwa ndiyo...
  7. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rungwe asisitiza Sera ya Ubwabwa akikaribisha wanachama wapya Chaumma

    DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesisitiza Sera ya chama hicho ya Lishe maarufu Ubwabwa akisema Taifa lisilo na lishe haliwezi kujiletea maendeleo. Ameyasema hayo leo alipokuwa akifungua mkutano maalum ya kukaribisha wanachama wapya wakiwamo wa kundi la...
  8. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mbowe apokelewa na kuteuliwa kugombea Urais kupitia Chaumma

    TAARIFA KWA UMMA UTAMBULISHO WA MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA HAKI NA MAENDELEO (CHAUMMA) Dar es Salaam, 21 Mei 2025 Chama cha Haki na Maendeleo (CHAUMMA) kinapenda kuwataarifu wanachama wake, wapenzi wa chama, na umma kwa ujumla kuwa, katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichofanyika tarehe 10...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Devota Minja mkutanoni CHAUMMA, asema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi labda kuwe na vita

    Wakuu Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Lembruce Mchome aibukia mkutano wa CHAUMMA Ubungo Plaza

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ni miongoni mwa walionaswa na kamera za Jambo TV japa Ubungo Plaza kwenye Grand Reception ya Chama cha Ukombozi wa Umma
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA wapokea wanachama wapya 3,000 pamoja na kuzindua kampeni mpya ya C4C

    https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja amesema kila Mtu...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Waliohama CHADEMA wanakwenda kukifufua CHAUMMA au kudidimia nacho?

    Kuna wimbi la wanasiasa na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kukihama chama hicho kikuu cha upinzani na kuhamia chama kingine cha upinzani cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Mei 19, 2025, Mwenyekiti wa Chaumma, Hashim Rungwe aliwapokea baadhi ya vigogo hao; akiwemo Salum...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Miezi sita ijayo CHAUMMA itarudi kwenye uhalisia wake

    Project ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo. Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge. Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko. Siku zote muda ni mwalimu mzuri
  14. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Shamrashamra Ubungo Plaza, CHAUMMA pameanza kuchangamka

    Shamrashamra za wanachama wapya wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) zimeanza mapema Asubuhi ya leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Leo Jumatano Mei 21,2025 wanachama zaidi ya 3080 wanaotoka kwenye vyama mbali mbali vya Siasa wanapokelewa na Chama cha Ukombozi wa Umma na...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu zaidi kwa CHAUMMA kupata mafanikio ya Kisiasa Tanzania tena ni rahisi zaidi kwa TLP ya Mzee Mrema kukamata dola 2025

    .CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachama wa CHADEMA, Husna: Napigiwa Simu nyingi niende CHAUMMA kiukweli siwezi mimi ni CHADEMA damu

    Mwanachama wa CHADEMA, Husna Said, amesema amekuwa akipigiwa simu mara kwa mara na watu wanaomtaka ajiunge na chama cha CHAUMMA, lakini amesisitiza kuwa hawezi kuhama kwani yeye ni CHADEMA damu na anabaki kuwa mwaminifu kwa chama hicho anachokiamini. "Napigiwa simu nashawishiwa nihame Chadema...
  17. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa ikisema 'Sugu kujiunga rasmi CHAUMMA

  18. A

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

    Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA. Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA. Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA. Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau...
  19. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Haya yatatokea kati ya Juni na Disemba 2025

    JUNI 2025 Matukio yanayotarajiwa: Kutakuwa na majadiliano ya kina kuhusu katiba au mageuzi ya sheria fulani, hasa upande wa haki za kiraia na uhuru wa vyombo vya habari. Kutaibuka mjadala mkubwa kuhusu maadili ya vijana na matumizi ya mitandao ya kijamii. Sekta ya kilimo itaathirika na...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wanademokrasia nendeni mkaifanye kazi nzuri ndani ya CHADEMA

    Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia...
Back
Top Bottom