Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi na Mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudai wamecheleweshewa fedha za kujikimu (Boom) kwa wiki mbili sasa, ufafanuzi umetolewa.
Hoja ya awali hii hapa ~ Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu...
JINSI NILIVYOSETI JOTO NA KUOKOA MAYAI YA KUKU WANGU – W1219 ILIKUWA GAME CHANGER!
Wakuu habari za kazi na maisha,
Nimekuwa nikihangaika sana na control ya joto kwenye incubator yangu ya kutengeneza mwenyewe kwa Gharama nafuu kwa kutumia material yanayopatika katika mazingira ya nyumbani...
Kama ambavyo mwili wa nyama unaweza kuchafuka kwa uchafu wa kimwili, vivyo hivyo nafsi ya mwanadamu huweza kuchafuka au kuingia kwenye majaribu makubwa kutokana na mizunguko ya sayari katika ulimwengu huu wa kiroho na wa kiastrologia.
Watu wengi wanapopitia magumu, hukimbilia kusema “nimerogwa”...
Serikali imesema inaendelea kutekeleza mkakati mahsusi wa kuhakikisha wagonjwa wa afya ya akili wanapata dawa bure au kwa gharama nafuu, kwa kuzingatia Sera ya Afya ya Mwaka 2007, sura ya 5, sehemu ya 4, ibara ya 1 hadi 3, inayotoa mwongozo wa utoaji wa huduma kwa watu wenye magonjwa ya muda...
Katika jamii nyingi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, kuzaa watoto wengi huonekana kama ishara ya baraka, fahari, na hata ujasiri wa kifamilia. Misemo kama “mtoto ni zawadi ya Mungu” au “familia kubwa ni hazina” husikika kila kona ya mtaa. Lakini katika zama hizi za mabadiliko ya...
Mtaala mpya ulioboreshwa wa elimu ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania unalenga kutoa elimu jumuishi, shirikishi na yenye mwelekeo wa ujuzi zaidi kuliko nadharia. Mabadiliko haya yanakusudia kumwandaa mwanafunzi kuwa mbunifu, mjasiriamali na mshiriki hai katika maendeleo ya jamii na taifa...
Kile kitu kama cha njano kinachotoka kwenye koo chenye harufu mbaya kinajulikana kama tonsil stones au tonsilloliths kwa Kiingereza, kwa Kiswahili huitwa mawe ya tonsils au uchafu kwenye tonsils.
Maelezo ya Tonsil Stones:
Huchipuka kwenye nyufa ndogo (crypts) za tonsils.
Huundwa na...
Mbona kama swala la mabadaliko ya uwanja limewatoa mchezoni wana Simba wakati Amani complex ni uwanja mzuri tu na pia hata Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na Mashabiki wa Simba wapi pia na hata mguu wa kucheza fainal waliupatia pale?
Hakuna haja ya kupagawa ukiwa na Quality popote kambi,Amani...
Kulingana na ripoti ya BoT ya robo ya mwisho ya 2024, mzunguko wa fedha Tanzania unaonyesha ukuaji wa kushangaza, lakini pia unaonesha mapungufu ya kiuchumi yanayohitaji uchunguzi wa kina. Pesa taslimu iliyo nje ya mifumo ya benki imepanda kutoka trilioni 4.5 mwaka 2020 hadi trilioni 7.3 mwaka...
Habari wanajamii,
Mimi ni mdau ninayepanga kuanzisha mradi wa ufugaji endelevu na salama kiafya hapa Dodoma. Lengo kuu la mradi huu ni kuzalisha bidhaa za mifugo kama nyama, maziwa, mayai na kadhalika ambazo ni bora kiafya na salama kwa matumizi ya jamii.
Malengo ya mradi huu ni pamoja na...
SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA UMEME KIBITI KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya...
Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu.
NB: No place for racism
Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali.
Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General...
Ushauli na tiba ya maradhi mbalimbali kesi ngumu,mazindiko ya majumba,mapenzi na kusoma elimu za tiba kama unajimu na meditation.
Unakalibishwa sana ofsini kwangu chamazi dar es salaam.
Mawasiliano kalibu pm.
Mimi ni mkazi wa Newala vijijini tumekuwa tukipata changamoto kubwa ya mgao wa umeme huku mamlaka husika zikishindwa kutoa sababu za mgao, kuna nyakati umeme unaweza ukakata hata siku 3 huku ukipiga kuuliza changamoto wanakosa majibu hivo tunaomba wajirekebishe kwani wanakwamisha shughuli za...
nipo ndoani Miaka kadhaa , baba wa watoto wawili ndoani, nimekuwa NATOa Kila kitu kwa mke wangu msosi , matunzo kwa watoto , nashow love zote ila Bado lawama hazijawahi Isha nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kuanzia sasa Sina uwezo wa kukabiliana na mwanamke, acha mambo yajiende
https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n
KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai!
📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu
Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
Nilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake.
Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na tumejaaliwa watoto watatu.
Kinachonipasua kichwa ni kitu kimoja Watoto wote watatu akili kama za mama yao...
Mara paaaap unaulizwa kitu gani kinachokukwamisha? I know you will stick on the point of financially,so Unazani kwa fikra zako pesa ni tatizo au changamoto kwetu?
Tujifunze kiswahili na fikra kidogo
Nimepita kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii... Aiseh ni ganzi. Ni tamaa, mapenzi au kujienekeza.
Mwanamke yupo kwenye ndoa lakini akarudiana na EX wake na wakazaa hadi mtoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.