changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Changamoto ya kiwanja cha ukubwa wa 20*15 ni ipi?

    Nimepata kiwanja size ya 20*15 nauliza changamoto ya hv viwanja ni ipi hasa maeneo ya mjini daslam kama Goba, nataka nichukue kimoja , nijenge gheto karbu na mji niwe nawah Mishe zangu mjini, kupanga spendi
  2. JamiiForums Tanzania Karibu elimu, tiba na uzoefu wa kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvuka changamoto za ndoa, mahusiano na mapenzi

    Hello hello Family! Wasalaam? Nichukue fursa hii kipekee kufungua jukwaa la elimu, kushare tiba, uzoefu, kinga, kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvukq changamoto ndani ya ndoa, mahusiano na mapenzi. Kwa kuzingatia migogoro na mikwaruzano na madhara yake katika jamii. Tafadhari ushiriki wenu ni...
  3. JamiiForums Tanzania Ipi ni changamoto kubwa katika maeneo haya Jijini Dar es Salaam? Mengine yanaogopwa

    Tuweze kushare uzoefu wa maisha maeneo haya kwa wale ambao wamewahi kuishi. Kwa upande wa mambo ya usalama, maadili, madili, utulivu, makuzi, tabia n.k. Wadau wanaweza toa uzoefu wao katika upande wa umalaya, matumizi ya Bangi/Maddawa ya kulevya, uhalifu, mapenzi ya jinsia moja, ubakaji na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Napata changamoto ya kupata loss report

    Wakuu nimekuwa nikihangaikia ishu ya kusajiri loss report na kulipia kupitia control number niliopata wakati wa kusajiri naona bado inaniletea ujumbe kuwa haijathibitishwa na nizaidi ya masaa mawili sasa hivyo nashindwa kuprint hiyo report. Vipi kuna cha ziada ninawezafanya hapo au ndio mpaka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuzijadili changamoto wanazopambana nazo waombaji wa ajira kupitia Recruitment Portal

    Ama kwa kweli kila hatua ina changamoto zake, japo makali ya hizo changamoto yanaweza kutofautiana!! 1. Changamoto moto kwenye hatua ya application: *Mtandao kusumbua wakati deadline ya application imekaribia *Application kugoma kwenda kwa kigezo kuwa huna sifa, wakati sifa zako ni hizo hizo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya wahitimu wa zamani (2019 kurudi nyuma) kufanya usaili wa kuandika (written interview) pamoja na wahitimu wapya (2022-2021)

    Siyo siri, kuwa mtu akikaa miaka mingi baada ya kuhitimu huku kila siku anapambana na maisha akili huwa inachoka. Halafu unapambanishwa na vijana fresh toka vyuoni akili bado inacharge hasa. Ila hamna jinsi, itabidi mpambane tu. Tatizo ni kwamba unakuta mtu steam ishakata, baada ya kufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto gani unayo ya umeme nyumbani kwako

    Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>> Kama unaswali uliza au maoni changia
  8. JamiiForums Tanzania Suala la muongozo mahusi wa mgawanyo wa vipindi shule za Sekondari ni changamoto, tuliangalie kwa jicho pevu

    Habarini wadau! Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni. Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano...
  9. JamiiForums Tanzania Namna Serikali inapaswa kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira nchini

    Ni matumaini yangu kwamba sote tuko poa. Kwa wale ambao wana changoto tunawaombea kwa Mola Mkuu awatatulie shida zao. Moja kwa moja kwenye jambo husika. Kupata job serikalini sio shughuli ndogo. Mbaya zaidi hilo ndio kimbilio na tumaini kwa vijana wengi. Pitia jukwaa la ajira na tenda utapata...
  10. JamiiForums Tanzania Unafikiri Tanzania imefikia sehemu unaweza kununua bidhaa na huduma mitandaoni kwa urahisi?

    Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ufufukaji wa uchumi wa China kunufaisha uchumi wa dunia unaokabiliwa na changamoto

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) hivi karibuni lilitoa ripoti, likipunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa nchi kubwa kiuchumi duniani, isipokuwa China, ambayo uchumi wake unakadiriwa kukua kwa asilimia 5.2 kwa mwaka huu. Kabla ya hapo, Benki ya Dunia pia ilitoa makadirio yake ya ukuaji wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wataalam wachache kwenye Huduma za CT-Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ni changamoto

    Baadhi ya Wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuwepo kwa wataalam wachache wa kipimo cha CT-Scan kunahatarisha usalama wa wagonjwa wao. Wananchi hao wamesema mara kadhaa wanapofika hospitalini hapo wagonjwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kupata matibabu huku...
  13. JamiiForums Tanzania Changamoto ya ulevi: Jinsi inavyoumiza familia na jamii

    Habari wapendwa, Leo napenda tuzungumzie hili suala la ulevi na athari zake na jinsi linavyoumiza familia na jamii kwa ujumla. Wapendwa ulevi ni tabia mbaya ambayo mtu hujijengea taratibu akizani ya kua yupo sawa kumbe anajimaliza siku hadi siku. Kwa mfano ulevi wa pombe tuache bangi na sigara...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Aweso afanya mabadiliko Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Korogwe, asisitiza utatuzi wa changamoto ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo kwa Ziara ya kikazi akiwa na lengo la kutatua changamoto mbalimbali na kufuatilia hali ya Utekelezaji wa Miradi ya Maji na hali ya utoaji wa huduma ya Maji eneo...
  15. JamiiForums Tanzania Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna changamoto kwenye kupatikana kwa mtandao wa ardhi kwenye uhakiki wa hati za kidigitali?

    Wadau, kwa kama miezi miwili sasa nikijaribu ku scan barcode ya hati yangu iliyotolewa na ardhi inagoma kuniletea taarifa za hati. Je, ni kuwa website ya verification ya documents ya ardhi kweli ina matatizo au wajanja washachakachua? Mwaka jana nilikuwa niki-scan inaniletea copy ya hati husika.
  17. JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Hotuba ya Kassimu Majaliwa haina majibu kwa changamoto za wananchi

    Hoja saba (7) za Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo Ndg. Dorothy Manka Semu kufuatia Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu Mapitio ya kazi na mwelekeo wa Serikali na makadirio ya matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2023/2024. Utangulizi Juzi Jumatano tarehe 05 April 2023 Waziri Mkuu aliwasilisha...
  18. JamiiForums Tanzania Wenye ndoto za kugombea nafasi za uongozi 2025 watakiwa kuzijua kwanza changamoto za wananchi wao

    ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha lengo la ushiriki sawa wa wanawake kwenye nafasi za uongozi linafikiwa, wanawake wenye nia ya kugombea na kushika nafasi hizo wametakiwa kutumia muda wao kukaa karibu na jamii zao ili kubaini changamoto zinazowakabili wananchi na kusaidia kuzitaftia ufumbuzi badala...
  19. JamiiForums Tanzania Changamoto 3 kubwa za mapenzi ya mbalimbali

    Mapenzi ya mbalimbali yanajumuisha; Mapenzi na mtu wa mbali na unapoishi (mkoa mwingine/ nchi nyingine). Mapenzi na mtu mtandaoni na hujawahi kukutana naye. Mapenzi na mtu ambaye ratiba zenu haziruhusu kukutana kwa muda mrefu. Kwenye mapenzi haya inabidi uwe makini, na ujue changamoto zake...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali itatue changamoto zilizojitokeza wakati wa uuzaji wa Mbolea ya Ruzuku

    Wananchi Wengi wa mkoa wa Ruvuma wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku ambayo imewawezesha wakulima wengi kununua na kuongeza uzalishaji kwenye mazao yao, kwa bei ya Elfu 50,000 hadi 70,000 kwa mfuko wa Kilo 50. Mbolea ya Ruzuku imewasaidia wakulima kuondokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…