changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wananitaka nirudi nyumbani kwakuwa ninapofanya kazi kuna changamoto ya mshahara

    Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano. Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameonesha ushupavu na umadhubuti katika kuongoza nchi na kukabiliana na changamoto

    Ndugu Zangu Rais Samia Ameonyesha yeye Ni kiongozi shupavu sana, Asiye yumbishwa Wala kupelekeshwa na maneno maneno, Nikiongozi asiye fanya maamuzi pasipo kufanya uchunguzi wa kina, kiutafiti na kitaarifa, Ni kiongozi mwenye Msimamo usio yumba Wala kutetereshwa, Ni Kiongozi Mtulivu na mwenye...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafahamu changamoto ya umeme nchini, tuombe mvua zinyeshe. Hata yeye anaumia

    Ndugu zangu kumekuwa na malalamiko juu ya changamoto ya umeme Hapa Nchini, Hali iliyosababishwa kwa kiasi kikubwa na Hali ya ukame iliyoikumba nchi yetu na kupelekea kupungua kwa kina Cha maji katika mabwawa yetu ya kuzalishia umeme, Sote tunafahamu umuhimu wa umeme katika uchumi wetu, umuhimu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari andaeni Makala kuhusu changamoto ya Upatikanaji wa Huduma za maji

    Habari za Leo wapendwa Binafsi nina familia na ninaona namna familia yangu jinsi inavyopitia kipindi kigum kutokana na hii changamoto ya Maji. Mimi nilikuwa nashauri Media zote nchini waandae Makala kuhusu upatikanaji wa Maji wazunguke mitaa yote jiji la Dar es salaam wahoji wananchi na...
  5. MdengestanfromCuba

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kama programmer kwenye taasisi unakutana na changamoto zipi? Zangu ni hizi

    Wakubwa mnajisikiaje na hali🤚🤚, ni hivi ulishawahi kufanya kazi sehemu kama programmer halafu ukakuta wasimamizi wako au pengine wadau wakawa hawajui vizuri kuhusu programming? mimi hiyo ilishawahi kunitokea yaani nilifanya kazi kwenye mazingira magumu sana, na ni rahisi sana kuonekana hujui...
  6. amadala

    JamiiForums Tanzania Ni wateja Gani ulikutana nao wakakupa changamoto? Wa kwangu huyu hapa

    Hello wadau!! Changamoto zozote unazozipata katika shughuli zako za Kila siku usizichukulie kama matatizo Bali ni sehemu ya kukufanya kuzidi kuwa Bora maradufu ya ulivyokuwa. Straight to the topic Miaka ya nyuma kidogo hiyo siku ilianza vizuri TU ila mishale ya saa 7 hivi nikapokea taarifa...
  7. Micky driver

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kodi kwa wafanyabiashara

    Habari wana jf Nimekuwa tax consultant kwa miaka miwili sasa katika changamoto nimekutana nazo sugu nipamoja ya tra kwa wafanya biashara watu wengi wamekuwa wakisajili makampuni na kuyatelekeza bila kujua madhara yake ninini? Ambayo imepeleke badae kuwa na madeni makubwa sana leo nataka...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani nzuri, inayoweza kumfurahisha na kumuachia kumbukumbu ya furaha mkeo/mumeo aliyepitia changamoto kali kipindi cha nyuma?

    Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu. Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
  9. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi iko kwenye changamoto lukuki, Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako nje ya nchi

    Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa. Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo awataka Watanzania wabadili changamoto kuwa fursa

    Vijana wa kitanzania tupate neno kutoka kwa Eric Shigongo "Ushauri wangu kwa Watanzania wenzangu, tuache kulalamika, tumekuwa walalamishi sana, muda mwingi tunatumia kuilamu serikali, nawashauri hasa vijana wenzangu, kila tukiamka asubuhi hebu twendeni tukajishughulishe, tubadilishe changamoto...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nadhani nimepata Changamoto labda kisaikolojia au kiafya. Napofanya tendo

    Wadau. Kama hili nalozungumza litakuumizal/litakuuma basi pole tu. Ni miezi kama 4 sasa najikuta napofanya mapenzi na mtu kumaliza ni shida. Nakosa kuenjoy sababu inaweza fika hata saa zima.simalizi. so mwenzi anaomba twende mapumziko. Au nikimaliza goal la kwanza. Round ya pili nitapata hamu...
  12. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Vikundi vingi katika jamii ni changamoto

    Mimi Mdau wa JamiiForums ninasema hivi, vikundi vingi katika jamii ni changamoto. Vikundi vingi vimejikita katika: 1. Kusaidiana katika shida na raha, yaani hivi havina malengo zaidi ya kuchangishana pesa za misiba na sherehe mbalimbali ikiwemo harusi, sendoffs na birthdays. Changamoto kwenye...
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Aweso akagua ukarabati wa bomba la Maji Dar

    Hivi Aweso ataacha lini hizo drama?! Jana, Makala kasema issue ni upungufu wa maji ajabu leo Waziri husika anadai uharibifu wa bomba. Nchi hii!! ---- WIZARA YA MAJI YAUNGANA NA DAWASA CHANGAMOTO YA HUDUMA DAR Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametembelea eneo la matengenezo ya bomba kubwa...
  14. legend Babushka

    JamiiForums Tanzania Unakabiliana vipi na changamoto ya umeme kwenye biashara yako?

    Wanajukwaa! Ningependa tujadili ni namna gani iliyo bora na gharama nafuu ambayo inaweza kukabiliana na ukosefu wa umeme kwenye biashara. Kama tunavyoshuhudia ni kuwa kuna kupoteza wateja na kutofikia malengo husika. Karibuni!!
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mkude Simba SC imetosha, tafuta changamoto sehemu nyingine

    Amani iwe kwenu. Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo wa viungo wakabaji wa timu ya Simba SC kwa muda mrefu sasa. Nimeona mabadiliko makubwa kwa Mzamiru Yasin na Sadio Kanoute, viwango vyao vinakua siku baada ya siku ila inapokuja kwa mchezaji Jonas Gerald Mkude suala hili limekuwa ni tofauti...
  16. Majighu2015

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna ya kutatua changamoto ya kidini kabla ya ndoa

    Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli. Baba yake ni mtu wa dini na ni kiongozi kwenye BAKWATA. Binti hana maamuzi sana kwenye swala hilo anamsikiliza mshua wake. Binti...
  17. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya upatikanaji kwa njia za mawasiliano zitolewazo na Taasisi za Umma, makampuni na sehemu zote zitoazo huduma

    Habari wadau kwa ujumLa.Naimani mu wazima wa afya. Ni jambo la kawaida kwa kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kuhakikisha tunaenda sambamba na mataifa yalioendelea kupitia nyanja hizo. Changamoto imekua kubwa na kama wahusika hawaioni au hufanya makusudi yasio na sababu yeyote ile basi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Huawei kuunganisha watu na kusaidia mamlaka kukabiliana na changamoto kwa Tehama

    Na Gianna Amani Pengine wengi wanaijua Huawei kama kampuni ya kutengeneza simu kutokana na chapa yake kuwepo katika soko kwa miongo kadhaa, lakini Huawei ni zaidi ya kampuni ya kutengeneza simu. Huawei ni kampuni kubwa ya teknolojia na mawasiliano nchini China na inazidi kuota mizizi katika...
  19. Mkanganyiko kukanganya

    JamiiForums Tanzania Mambo ya mazoea ila majibu changamoto

    Memba wote nawasalimu sana, moja kwa moja kuna mambo machache ambayo ni yakwaida ila yananitatiza kwa kutokujua maana zake, mwenye kuelewa anisaidie, Ni hivi unakuta 1) Mara nyingi naona majengo makubwa yakiwa katika hatua za ujenzi uzungushiwa mabati au gorofa kufunikwa kwa vitambaa. Je, ni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwenye muswada wa Bima ya Afya kwa wote

    Mimi kama Mtanzania ninayeishi kijijini kwanza naipongeza serikali kuja na MUSWADA wa Bima ya Afya kwa watu wote ni Jambo jema ktk kunusuru afya za watu wake. Changamoto ninayoiona hapa ni hizi gharama za kila mwanachi mwenye familia ya watu sita kuchangia 340,000. Huu ni mzigo mkubwa na ni...
Back
Top Bottom