chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sijakatishwa tamaa na uchaguzi wa 2020 hiki chama ninachokiongoza kina umri wa miaka 30 sasa

    Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema hajakatishwa tamaa na uchaguzi mkuu wa 2020, na kwamba Mageuzi ni swala la mchakato. Mbowe amesema chama anachokiongoza CHADEMA kwa sasa kina umri wa miaka 30 hivyo ni chama kikubwa na kitayafikia malengo yake ya kutwaa dola. Nawasalimu kwa jina la JMT.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19

    Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi. Pascal amesema Chadema hawana fedha za kuitisha kikao cha kujadili rufaa za wabunge wake wa viti maalumu sasa fedha za...
  3. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutakubali Bunge lililopo litengeneze Katiba Mpya

    Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya. Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha upinzani nchini hawatakubali kamwe. "Kwanza tuna amani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ni haki ya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani CPC inaweza kuiongoza nchi ya China yenye idadi kubwa kabisa ya watu na kuiendeleza kuwa ya pili duniani kiuchumi?

    Wakati Chama cha Kikomunisti cha China CPC kinajiandaa kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake 23 Julai 1921, kumekuwa na mambo mengi yanayofuatiliwa. Je ni vipi chama hicho kilichoanzishwa kikiwa na wanachama 50 tu, kimekuwa chama kikubwa cha kisiasa duniani na kufanikiwa kuiongoza nchi...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wahandisi "non-civil engineers" tunahitaji chama chetu tofauti na IET

    Ndugu wahandisi wenzangu ambao taaluma zetu siyo Civil engineers tunahitaji kuunda chama chetu baada "institution for engineers Tanzania/ chama cha wahandisi tanzania kushindwa kusiamamia haki zetu na kupelekea sekita zetu kutokua. IET imemezwa na civil engineers na haiko kusimamia maslahi ya...
  7. P

    JamiiForums Tanzania CCM ikiendelea kupuuza misingi ya uongozi ya Hayati Dkt. Magufuli, ni dhahiri watakosa kura 2025

    Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania G Malisa: Kamati Kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao ndani ya chama viongozi wa UVCCM waliokubali teuzi mpya

    Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala. Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
  9. P

    JamiiForums Tanzania CCM ni Chama kinachoumiza wananchi wake. Hili dubwasha likipigwa, Wananchi watashusha pumzi na watafurahia maisha

    Wiki iliyopita, kuna jirani yangu mwanaye alipata ajaliya pikipiki, Yule kijana aliumia si saana. Alienda hospital ya wilaya, akatibiwa na kupewa dawa, Usiku wa siku hiyo akiwa nyumbani amelala, alihisi maumivu makali sana, akaamua kumeza Diclopar nne na panaldo mbili ili kutuliza maumivu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Tusitumie madai ya Katiba Mpya kumrudishia uhai wa Chama sio Matakwa ya Watanzania kwa sasa

    Naomba kuwakumbusha Wana jukwaa MCHAKATO wa Katiba Mpya ni Ajenda ya CCM wakati wa awamu ya nne Chini ya Rais Mstafu Jakaya Mrisho Kikwete Chini ya utashi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutufikisha katika hatua ya Katiba pendekezwa. Lakini kwa Sasa linaonekana Jambo jimpya kwa Chama Cha...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimeli-miss sana pilau! Leo nitawahi mapema siti ya mbele!! Chama langu la msimbazi tupe raha leo!

    Kwa kweli watu tumelimiss soka pilau kwa muda sasa, leo tutajikumbushia utamu wa soka pilau toka kwa wekjndu wa msimbazi!
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM kweli tumebadilika na kuwa chama kinachojali!

    Wenzetu wa CHADEMA wamepotelewa na kiongozi wao ndg Mwesigwa Baregu, mtu aliye wasilisha issues za kisiasa kwa nguvu ya hoja. CCM imewakilisha kwenye msiba huo na ndg Shaka, Katibu Mwenezi na Ushirikishwaji wa CCM. Awali Mwenyekiti wa CCM alitoa salaam za rambirambi kutokana na msiba huu wa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Maadili CCM, Mrisho Gambo anajijenga mwenyewe na anakibomoa Chama

    Kwa maelezo ya Mbunge wa Arusha inathibitisha kabisa utawala wa awamu ya tano haukufuata sheria za nchi. Gambo katika michango take Mara kwa Mara ameonyesha kama alikuwa RC kivuli. Ndugu zangu sana CCM hii inatoa ushahidi tosha kuwa Yale aliyokuwa anayasema LISU wakati wa kampeni na kabla ya...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Chama chetu haifai na hatuna legitimacy kudai katiba mpya ya JMT

    Fikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake. Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea. Anakaa madarakani mpaka anapoona hana ushawishi ndio anaamua kung'oka. Hatuna legitimacy kudai katiba mpya.
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa . Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro. Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike, baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteua siku ya Jumamosi kuwa siku ya wananchi kuvaa sare za chama hicho nchi nzima

    Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro, lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi Kama ni Gwanda...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mali za CCM zipigwe mnada; nyingi ziliibwa kwenye mfumo wa Chama kimoja TANU na ASP

    Ni mali nyingi sana Chama hiki kimejimilikisha kama tunavyoona kila CCM anaepata uongozi serikalini nae hukwapua mali na hata kugonga milango ya BoT na kufanya mazabe mpaka hufanikiwa kumega, tumesikia kutoka kwa mkaguzi ya kuwa kuna hela haioni. Na ndio tukaona hakuna MCCM anaeendelea, mwisho...
  20. Mech engineer

    JamiiForums Tanzania Tip: Ujumbe muhimu kutoka kwenye UWABATA (Umoja wa wanaume bahili Tanzania)

    Habari za mchana ndugu zangu. Baada ya chama kukubaliana kuhusu kukaza masharti ya kuhonga, sasa wanawake wamekuja na mbinu moja matata sana. Tafadhari sana usije ukauza mechi kwa hawa wasichana wa siku hizi. Ukikubali tu, basi hiyo ni one mistake. Ukishafanya nae, the next week anaanza story...
Back
Top Bottom