The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".
Mpo salama!
Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani.
Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri.
Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa.
Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa mpinzani ambaye atakuwa na ushindani ili kura yangu isipotee.
Sipo tayari kuendelea kuongozwa na...
Rais Samia akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025.
===============================
RC Chalamila:
"Nikupe pole Rais Samia. Tunaona kwenye mitandao wachache katika Taifa...
Ndugu Yericko wewe ni mwanasiasa makini ila kwa sasa hauko sawa. Kwanini unapambana na wenzako ndani ya chama badala ya kuhama kama kina Mrema?
Huu unafiki ulio nao ni wa hali ya juu mno. Posts zako nyingi ni against your own party. Kwanini unakata tawi ulilokalia?
Heche anakosea sana...
Wanachokifanya Chama cha soka nchini TFF na Bodi ya Ligi kuhusiana na mechi ya mkondo wa pili ya watani wa jadi Young Africans SC na Simba SC ni wazi wanatumika na baadhi ya wanasiasa kuhujumu uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Ikumbukwe vilabu hivi vikubwa vina wanachama na mashabiki ambao wale wenye...
CCM KUFADHILI KITABU CHA MZEE SONGAMBELE KUENZI HISTORIA YA NCHI, CHAMA NA SERIKALI
- Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele...
Chama Tawala kina mizizi mikubwa sana hapa Tanzania na hakuna njia ya kupambambana nacho ili kukiondoa,iwe kwa boksi la kura au hata nje ya boksi la kura but kwa bahati mbaya mno viongozi waandamizi pamoja na Makada wa Chama wamekuwa na Mawazo finyu juu ya upinzani kitu ambacho kinapekekea CDM...
"Sisi wachaga ama watu Kilimanjaro na watu wa Kaskazini tunapaswa kuwa makini sana kwa muda mrefu sana watu wa Kaskazini wameonekana kama watu wanaojitenga na hata chama chetu wakati kinakuwa kilipigwa vita ni chama cha wachaga"
"Mimi wakati naingia kwenye kampeni za kumsaidia Lissu...
Watu wengi wanajiuliza sana juu ya hili agizo kuwa Magwajima wasipktishwe kugombea ubunge na udiwani.
Swali la msingi , Magwajima wasipokuwepo CCM ndio itawafaa watanzania?
Magwajima ndio walipaswa kupitishwa ili kuisimamia na kuhoji masuala ya msingi kwa manufaa ya nchi yetu.
Chama...
Wana jukwaa, hivi mbunge akiwa bungeni akikinzana na chama chake kwa kuwa mkweli wakimfukuza hapati pensheni yake?
Maana naona wakiwa bungeni hawasemi ukweli unao wagusa wananchi wake kulingana na maisha ya wananchi wao bali wanakaa kimya, wakikosoa na wakishambuliwa wanakubali kuwa...
Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
Chadema wameungundua nini sasa hata kiwatume viongozi wa dini na jumuiya ya kimataifa kuwaomba tume huru ya Taifa ya uchaguzi kuijumuisha chadema kwenye mchakato wa uchaguzi uliosalia kwa maana ya kwamba chadema nayo iwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, hali ya kua chama hicho hakina sifa na...
Leo ndo nimeamini CCM kumejaa wajinga wengi na wasiojielewa. Ambao hawajui hata mambo ya nchi yao.
Akitoa salamu za Chama Kikuu cha Urusi, Mjumbe aliyewakilisha chama hicho pamoja na kuziponda nchi za Magharibi kama kawaida yao, alisifia miradi mbalimbali ambayo imekuwa ikifanyika nchini...
I will be short
kuna theory inasema
" NOTHING IS TO BIG TO FAIL"
ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently.
so to stay in power you have to innovate and improve every single day...
Mimi nawahakikishia Hajatokea MTU yoyote Tanzania awe Rais au Nani, HAJATOKEA ,HAYUPO NA HAKUNA AMBAYE ATAFUTA CHAMA CHA CHADEMA, HAYUPOOOO !!.
Hata awe ni Chawa wa namna gan, hata awe na Ulinzi wa aina gan, hata MCHINA AWE KAAHIDI KITU GAN , HAYUPO na hakuna yoyote mwenye ubavu hata Uthubutu...
Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba.
Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji.
Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.