chama tawala

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ukiona wapinzani wapo kimya tambua chama tawala kinafanya vyema

    Upinzani katika mfumo wa vyama vingi ni kioo kwa chama kinachotawala. Maana wapinzani huwa wanakosoa pale mtawala anapokosea. Tangu mama aanze vyema kwa kuupiga mwingi mpaka wapinzani wakaanza kumsifia kwa kila namna anavyoendesha nchi ni dalili tosha kuwa chama tawala kinafanya vyema. Kero...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zambia: Mambo yaliyofanya kilichokuwa chama tawala cha Edgar Lungu kuanguka Uchaguzi Mkuu ni haya

    Mapema baada ya kupata matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Zambia nikasema ngoja nifuatilie nini kimesaidia chama hichi kuanguka baada ya wananchi wa nchini Zambia kuamua , nimefuatilia chanel mbalimbali za mitandao na Tv za ndani ya Afrika na nje ya Afrika kwa lengo la kujua kulikoni chama tawala...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Zipo sababu za kutosha za kulilalamikia Jeshi la Polisi kusapoti Chama Tawala kwa asilimia kubwa

    Yawezekanahiyo Video wanapasha misuli joto ama yawezekana wanafurahi pamoja kama watanzania, silipingi hili kwa sababu amani , umoja na mshikamano ndo jambo la msingi. Lakini content ya hiyo Nyimbo inalenga kukisifia chama tawala pia. Tuache mambo ya kamanda Shana, wacha yale ya aliyekuwa OCD...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere na Huduma mbovu za Mtandao na huduma

    Kwa mwezi Sasa nimepita Uwanja wa ndege wa Dar kwenda na kurudi, siku ya kwanza nilikuta mrundikano wa watu nikasikia network imekata sijui mifumo mibovu. Ukiwasikiliza watendaji hasa waliovaa kirahia wanavyolalamikia mifumo ya uwanja ikiwemo TTCL nadhani ndo mtoa network utadhani siyo...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Asilimia 98 ya wasanii wapo chama tawala

    Kuna kampeni inaendelea kumuangusha kijana Diamond kwenye tuzo za BET. Ukiliangalia naona limekuwa lenye upinzani ambao umeingiliwa na vyama vya upinzani kwa ajili tu siasa ziwepo sijui. Sasa nauliza kama mtu Mwijaku wewe ulianza kwa ajili kumpiga chini mwisho likaingilia vyama vya pinzani...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania CCM ikiwa kama Chama Tawala, kitaruhusu Wakurugenzi waliochafua Uchaguzi 2020 kuendelea kusimamia Uchaguzi 2025

    Wengi mlishuhudia vituko vilivyofanywa na Wakurugenzi wakati wa Uchaguzi 2020. Vitendo vya Mkurugenzi wa Ubungo havinitoki kichwani. Kama tumeamua kuwa nchi ya Vyama Vingi. CCM inategemea tutakua na imani na Wakurugenzi wale kusimamia Uchaguzi 2025? Maana tumeshaambiwa katiba mpya si...
  7. Msafiri Haule

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Watanzania, licha ya kuwa na sababu nyingine, ila mzizi wa matatizo yetu ni chama tawala CCM

    Ndugu Watanzania, Ni wazi kwamba tangu tupate uhuru 1961, chama kimoja tu ndiyo chama tawala.[emoji21] Mantiki ni kwamba, ndicho chama kilichoshiriki aidha dhuluma au faida kwa watanzania, maana ni chama kinachounda serikali kwa nyakati hizo zote. Vilio vya mtanzania, ni sehemu tu ya kicheko...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa China, Jack Ma adaiwa kutojulikani alipo kwa zaidi ya miezi miwili tangu alipoikosoa Serikali na Chama Tawala

    Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili. Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana katika sehemu ya mwisho ya kipindi chake alichokianzisha cha ‘Africa’s Business Heroes,’ kinachowapa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ACT-Wazalendo ni Chama Tawala pamoja na CCM

    Ukiisoma vizuri katiba ya Zanzibar utagundua kuwa chama kinachotoa makamu wa kwanza wa Rais nacho kinakuwa ni chama tawala na kinatoa Mawaziri wawili muhimu. Hii maana yake ni kuwa ACT-Wazalendo ni chama tawala pia na hata makamu wa kwanza wa Rais maalimu Seif akija Tanganyika itifaki...
  10. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Chama tawala na Wapinzani Tanzania siasa zenu zinayumbisha Wananchi

    Wakuu, Haya ni maoni binafsi kuhusiana na mienendo ya siasa za Tanzania. 1. Chama tawala-mmepewa dhamana ya kuongoza watu wa imani, itikadi, rangi, kabila zote bila kujali nafasi ya kiuchumi, kiuongozi, kiusalama, kiafya na kijinsia ili wajikwamue kutokana na lindi la umasikini ambaye ni adui...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani Hong Kong wajiuzulu wote kupinga sheria ya uzalendo ya China

    Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa watu wa Hong Kong. Idadi ya wabunge wa upinzani Bunge la Hong Kong ni 19 katika Bunge lenye idadi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongea unaposhinda Uchaguzi, au unaposhindwa. Chama Tawala na Wapinzani wanapaswa kujifunza

    Mwanasiasa anaposhinda uchaguzi anatakiwa azungumze kwa namna itakayoteremsha joto la uchaguzi. Hii ni hotuba aliyoitoa Bill Clinton wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi. Nilitaka niweke hotuba ya Obama lakini nadhani ile ina vionjo vya kihistoria. Aliyeshindwa uchaguzi naye anatakiwa...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania NEW ZEALAND: Chama tawala chapata ushindi wa kishindo

    Kutoka New Zealand chama cha Labour party kimepata ushindi wa kishindo ambao haujawahi kushuhudiwa toka 1995
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania "CCM sio tu ni chama cha siasa, CCM ni chama tawala kinachotawala Dola, CCM ni chama Dola, CCM ni Dola!"

    Salaam wana jamvi, Nimesoma maazimio ya kikao cha NEC ya Chama cha Mapinduzi, yameniacha na maswali bila majibu. Kuna wengi hawajui kuhusu CCM, wanadhani CCM ni chama tuu cha siasa,kama vyama vingine,ukweli ni kuwa, CCM sio tu ni chama cha siasa, kama vyama vingine, CCM ni chama tawala...
  15. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Eblate Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAWIRI

  16. S

    JamiiForums Tanzania Sasa CHADEMA ni Chama Tawala, ni suala la muda tu - ukweli ndio huo

    CCM kubalini yaishe japo mnasema Mapinduzi daima, kubalini kwa roho safi kabisa wala msiwe na kinyongo. Ukiangalia CCM haina tena mvuto kiukweli huku mitaani achana na majukwaa, huku mitaani kila mtu ni CHADEMA mwaka huu. Ona sasa CCM wamebaki na wasanii kwa kuwavalisha kofia kama kumbukumbu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ijue tofauti ya Kupita bila Kupingwa na Kupitishwa bila kupingwa kwenye Uchaguzi

    Moja kwa moja kwenye mada Kupita bila kupingwa ni pale inapotokea mgombea mmoja tu amejitokeza na kuchukua fomu na kukidhi vigezo vyote huyo anapita bila kupingwa Au endapo wagombea wengi wamechukua fomu na kukidhi vigezo lakini ndani ya muda uliowekwa kisheria wanaamua kujitoa ili kumpisha...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini hotuba za Wanasiasa wa Tanzania (wa Upinzani na Chama Tawala) ni za kiwango cha chini mno? Nimewawekea mifano ili wajiongeze

    Hivi tatizo ni nini? Hatuna waandishi wazuri wa hotuba? Au viongozi wetu wamepungukiwa kiuwezo? Hebu angalieni hotuba hii hapa chini jinsi ilivyotulia.
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kusema Wagombea wa Upinzani wasiwachafue wagombea wa chama tawala una lengo la kutaka kuwatisha

    Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao. Ingawa hakuwataja kwa majina wagombea hao, ni dhahiri...
  20. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania acheni upendeleo kwa chama tawala, Mtaligawa taifa? Hivi hamuelewi?

    Nimejaribu kufuatilia jinsi coverage unavyofanywa na hizi local media zetu kuhusu matukio mbali mbali yanayofanywa na chama tawala CCM, hakika inasikitisha. Hakuna balance kabisa kwenye matukio ya kisiasa kati ya chama tawala na Upinzani. Hivi vyombo vimeamua kua upande wa Chama Tawala hata...
Back
Top Bottom