chama cha mapinduzi

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa maelekezo matatu kwa Serikali, ahueni kwa wakulima wa mahindi nchini

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHATOA MAELEKEZO MATATU KWA SERIKALI, AHUENI KWA WAKULIMA WA MAHINDI NCHINI. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maelekezo matatu kwa Serikali kuhusu ununuzi wa mahindi ya wakulima, vituo vya kununulia mahindi pamoja na bei ya mbolea nchini. Maelekezo hayo yametolewa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025: 1. IGP Simon Sirro aendelee kuimarisha jeshi la polisi na kuhakikisha anaendelea kutetea Chama Cha Mapinduzi, 2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iendelee na utaratibu wa kukata majina ya wagombea...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi kukutana na waandishi wa habari leo 11 Agosti, 2021

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumatano Agosti 11, 2021 kitafanya Mkutano Muhimu na Waandishi wa Habari Source: Shaka H. Shaka Katibu wa Halmashauri Kuu Ya Taifa ( Itikadi na Uenezi)
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Chama Cha Mapinduzi kinajiamini na kujitegemea kifikra

    SHAKA HAMDU SHAKA: CHAMA CHA MAPINDUZI KINAJIAMINI NA KUJITEGEMEA KIFIKRA. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uwezo wa viongozi na makada wa chama hicho unatokana na utayari, uthubutu na kuujua umma unataka nini, kwa wakati upi na namna ya kutimiza mahitaji husika kulingana na changamoto...
  5. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mapendekezo: Jinsi Chama cha Mapinduzi kinavyoweza kuwaandaa viongozi waadilifu

    CHAMA CHA MAPINDUZI UONGOZI ONLINE COURSE Chama cha mapinduzi ni chama cha kisiasa nchini Tanzania kilichoundwa mwaka 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kutoka Tanganyika na Afro Shiraz Party kutoka Zanzibar,chama cha mapinduzi ndio chama tawala...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

    TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

    Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama. CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua...
  8. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Kigeugeu cha CCM: Leo wasema Chanjo ni bora kuliko Nyungu

    Wonders shall never end ndio ninachoweza kusema, Wana CCM waliuaminisha uma wa watanzania kuwa nyungu, malimao na tangawizi vinatibu Corona. Kheri Gwajima ameamua kusimamia msimamo ule waliokubaliana enzi za John Pombe Magufuli kuwa chanjo hazifai. Wanafiki na wachumia tumbo wanatumia kauli ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kumshikilia Mbowe ni ili kuwatisha Lema na Lissu wasirudi Tanzania

    Watu wawili ambao wanaogopwa sana ni Lissu na Lema na siyo Mbowe. Umri na uwezo wao wa kimtandao unaleta wasiwasi kwa wanasiasa wa CCM kiasi kwamba hawataki warudi. Kumfunga Mbowe ni njia ya kuwatisha waogope kurudi Tanzania. Spika wa bunge na waziri mkuu ndiyo vinara wa hili. Waziri mkuu...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini kinaitwa Chama cha Mapinduzi? Ni mapinduzi gani kimeyafanya?

    Hili swali najua wengi tumekuwa tukijiuliza bila kupata majibu sahihi. Chama Cha Mapinduzi kiliundwa tarehe 05 February 1977 kutokana na kuunganishwa kwa vyama vikuu vya Tanu kwa Tanganyika na ASP kwa Zanzibar. Mpaka hapo hatujaona mapinduzi yoyote kufanyika. Kama kuna anayeweza kuelewesha...
  11. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar haitofika Oktoba 2021

    Kwa matamko na kauli zinazoendelea kutoka ACT Wazalendo na ukilinganisha na tabia ya kiburi ya CCM naona kabisa ndani ya siku sitini kila moja atabeba chake huko Unguja. ACT Wazalendo wakikaa kikao kwa vyovyote vile watamtaka Mwinyi ajieleze na kwa uCCM ulivyo, wakina Mwinyi watawabeza ndipo...
  12. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa makini, una upinzani ndani ya CCM yako

    Kwanza nikupongeza sana kwa kuupiga mwingi mpaka unaotea. Kwa wale waliokaa Tabora wanajua hadithi ya mcheza maarufu wa mpira wa miguu kutokea mkoani humu YUNGE MWANA NSALI huyu inasemakana alikuwa anauwezo wa kupiga faulo akikonga mwamba inaenda kufunga upande wao. Mama unapigiwa kila aina ya...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM: Tunawashukuru wananchi Jimbo la Konde kwa kukiamini chama na kukipatia ushindi wa kishindo

    CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi tunapenda kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kuendelea kukiamini chama chetu na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa jimbo la hilo ambapo mgombea wa CCM Ndugu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nchi nzima wananchi wameongeza chuki dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Kwa sisi tuliofatilia hali ya kisiasa na kijamii kuanzia kuingia kwake madarakani 2015 na uchaguzi wa muhula wa pili 2020 tulijua kabisa na kubashiri janga linaloenda kuikabiri nchi yetu. Kwa sisi tulioona na kushuhudi uhuni ule wa uchaguzi, matumizi mabaya ya fedha kudhibiti Haki na demokrasia...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tambua kwamba: Ahadi za wanaChama Wa Chama Cha Mapinduzi

    TAMBUA KWAMBA:- 🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰 AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (1) Binadamu wote ndugu zangu na Afrika ni Moja. (2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote. (3) Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. (4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania CHONGOLO: Demokrasia ya kweli CCM ni kivutio cha Siasa nchini

    Na Mwandishi Wetu, Mbeya Jiji. Chama Cha Mapinduzi kimesema Utulivu na uimara wa CCM ni matokeo ya kuimarika kwa demokrasia ya ndani ya chama hicho hivyo viongozi na wanachama wamesisitizwa kutotoka katika utaratibu hususani wakati chama kikielekea katika uchaguzi wa ndani. Kimesema sababu...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbeya Vijijini: Ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi

    MBEYA VIJIJINI - MBEYA SIKU YA PILI Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi akizungumza katika Kikao Wilaya ya Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya ambapo alizungumza na wanachama katika Shina namba 1, pamoja na kuzindua shina la wakereketwa pia kukagua mradi...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yoyote

    Habari za Leo wakuu, Baada ya kuwashawishi kwa muda mrefu hatimae jamaa zangu wamekubali kujiunga na CCM. Hivyo wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yeyote.
  19. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Wabunge na watumishi wa umma isikieni sauti iliayo nyikani

    Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alisema mwaka 1995 kuwa "Ukipewa kazi ya nchi, lazima ujiheshimu. Huwezi kupewa kazi ya nchi halafu ukaishi kihunihuni." Ni kweli kuwa dunia inaenda kasi na pia wakati ni ukuta; muda ni mchache na mambo ni mengi lakini kama umepewa kazi ya nchi ni...
  20. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Wahenga walisema “Muungwana akivuliwa nguo huchutama” na “asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.“ Tarehe 01 Julai 2021 Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) akiwa katika kongamano la kudai katiba mpya alitoa matamshi yasiyokuwa na staha yenye kuleta ukakasi na kichefuchefu kwa kila anayeyasikia...
Back
Top Bottom