CCM yasema haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu, kipaumbele chake ni kujenga nchi.
- Wanasiasa waache kuitumia agenda hiyo kama turufu ya kuwahadaa wananchi.
"CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa ukamilishaji wa...
Bila shaka wote tunaweza kukubali kuwa CCM ni chama kikongwe duniani na kilichokaa muda mrefu madarakani.
Haya yote hayafanyiki kwa bahati mbaya, Bali ni kutokana na hadhina kubwa ya viongozi ambayo imekuwa nayo.
Wengi wanasema watanzania hawajielewi ndio maana hadi sasa CCM inaendelea...
MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI.
Leo 11:11hrs 05/06/2021
1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25
2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
Habari ya asubuhi ndugu wanajamvi, natumaini bila shaka mu wazima wa afya na mmeianza vema siku ya leo. Kwa ambao ni wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu Muumba wa awajalie nafuu ya haraka ili muweze kurejea katika majukumu yenu ya kila siku.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel...
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini...
Huko mwanzo nilipokuwa nikiwasikia nikadhani labda mtajirekebisha nayo kwani hata Clouds FM na Clouds tv 360 walikuwa na 'Upuuzi' huu ila sasa naona nanyi mmeuiga 'Utamaduni' huu.
Hii Nguvu ambayo Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi cha Wasafi FM mnaitumia kwa Kujikomba ( Kujipendekeza ) kwa...
Shaka Hamidu Shaka, ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa.
=======
Mwenyekiti mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amemteua Shaka Hamdu Shaka kuwa Katibu wa NEC Itikadi na...
Lazaro Nyalandu wa CHADEMA amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma.
Nyalandu aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema walikuwa wamechukuliwa na walilazimishwa kumwimbia bwana lakini wao pamoja na mzee Lowassa, Sumaye na Dkt. Slaa wamegoma kuimba kwani bwana yuko CCM...
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wakiwa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, makao makuu ya chama, Dodoma
Kijiti cha uenyekiti kukabidhiwa rasmi leo.
Chama cha Mapinduzi(CCM) kinafanya Mkutano Mkuu Maalumwa kumchagua Mwenyekiti wake wa taifa jijini Dodoma katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Makao Makuu...
Rais Samia Suluhu Hassani leo Aprili 28, 2021 amehudhuria Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika Dodoma.
Kikao kinaendelea katika Ukumbi unaomilikiwa na Chama wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma.
Makamo wa Rais Dkt Philip Mpango na Rais wa...
Minyukano huwa haiishi kwenye hiki chama chakavu sana... Lakini mwisho wa siku unafique uliofichama huwaokoa huku wakisikilizia ladha ya mvinyo mpya.. Kisha ngebe huanza tena...!
Huwa kunakuwa na seasons kwenye hii minyukano yao na kila series mpya ina season zake, zisizopungua kadhaa..!!
Hapo...
KUONDOKA mapema kwa Rais John Magufuli, kumeiacha Tanzania katika njia panda, wananchi wakijiuliza ni nini kitafuata baada ya hapa.
Nini hatma ya Tanzania baada ya Magufuli? Ndilo swali kubwa kwa sasa kwa watanzania na bila shaka Afrika na dunia yote. Baada ya kazi kubwa ya ujasiri mkubwa...
Habarini wanajamvi wenzangu, poleni na majukumu mbalimbali ya kujenga taifa.
Hakika tuendelee kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yetu na taifa letu, Mungu hatatuacha atazibariki kazi za mikono yetu. Leo baada ya majukumu nimepita kwenye mitandao ya kijamii na kukuta salamu hizi nikaone ni...
Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku
Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally amehuhudhuria hafla hiyo na kukabidhi gari hilo kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Arudha akiambatana na Mh Humphrey...
Idara ya Tamisemi embu mjitathimi kwanza, kuna majina yali leak mwezi wa September ya Uhamisho kwani watu hawajatolewa au kupewa Uhamisho kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi inaonekana wengi mnataka rushwa na kujuana wakati barua za watumishi zimepitishwa kufuata utaratibu.
Inakuaje mnashindwa...
Viongozi hao walikutana Makao Makuu ya CCM Dodoma.
Balozi huyo wa Ufaransa nchini Tanzania amesema Nchi yake itazidisha Ushirikiano na Serikali ya Tanzania kwani inafurahishwa na hali ya kisiasa Tanzania.
Amesema Wamefurahishwa na hotuba aliyoitoa Rais Magufuli wakati wa ufunguzi wa Bunge la...
Semina hiyo Muhimu ilifanyika katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Viongozi wa Jumuiya za Chama za UWT, UVCCM na Jumuiya ya Wazazi
Kamarada Bashiru Ally pia aliwakabidhi Wenyeviti Wa Kamati hizo Hotuba ya Rais Dkt John Magufuli aliyoitoa wakati akifungua Bunge la Jamhuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.