chakula

  1. L

    JamiiForums Tanzania Vyakula kutoka Afrika vyafika katika meza za chakula nchini China

    Katika soko maarufu lililoko Changsha, mji mkuu wa mkoa wa Hunan katikati ya China, mwanamke mmoja aitwaye Li anachagua vitafunwa kwa ajili ya mtoto wake wa kike na wa kiume. Amechagua boksi mbili za dagaa wa maji chumvi waliokaushwa. Li anasema, anapenda watoto wake kula chakula bora, hivyo...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Fahamu chakula cha Escamoles kutoka Mexico.

    Ni majira ya saa tano Bibi Isabella Martinez miaka 60 anaingia jioni kuandaa chakula kwa ajili ya familia, pembeni anasaidiwa na Mjukuu wake wa kike wa miaka 20, Maria. Bibi Isabella Martinez akiwa anatafuta kuni ili apate kuwasha moto basi Mjukuu yeye anaandaa viungo vitakavyokwenda kutumia...
  3. excel

    JamiiForums Tanzania Chakula cha siku hizi hakina ladha wala harufu ya kuvutia

    Sijui kama mshaligundua hilo siku hizi jirani akipika wali huwezi kujua, sio kama miaka ya 90 huko mtu akikorofisha madiko diko basi watoto hatulali.. Tukija kwenye Ngunga ishu ni ile ile, hakuna ladha kabis wala ile harufu yake ya kuvutia. vyakula vya leo ni kama tunakula ganda la mua la jana
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee kuna mtu nambembeleza huku chakula hakipiti

    Mwamba mmoja kagawa kadi za harusi watu wamechanga na tarehe imetangazwa Tayari ni mwezi ujao. Jamaa kasikia kwamba demu ana mimba. Nahajawahi mgusa. Niko hapa nabembeleza mtu aisee hizi ishu zisikie tu kwa wengine zisi kukute.
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini maeneo mengi ya biashara ya chakula huwa wanishindwa kudhibiti nzi?

    Kwenye maeneo mengi ya biashara za vyakula hasa migahawa ya ukubwa wa kati na midogo pamoja na sehemu nyingi za nyama huwa kunakuwa na nzi wengi sana waliojaa kila mahali. Yani mtu unakula chakula na mkono mmoja huku mwingine una kazi ya kufukuza nzi! Kama wewe sio mvivu na hupendi nzi, kwa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tumekosana hatuongei! kisa nimemfananisha na mafarisayo, anadai kuagiza chakula hotelini au kujaza mafuta gari yako siku ya Sabato ni dhambi!

    Wadau hamjamboni nyote? Ni kisa cha kweli kabisa nimeona nikilete kwenu tupeane uzoefu Nimekosana na rafiki yangu wa karibu kwa sababu zisizo na mashiko kabisa! Tulianza kama utani kujadili amri za Mungu na tulikwenda vema tu hadi tulipofikia kujadili utunzaji amri ya nne ndipo tukakosana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania KARIBU KWA MAHITAJI YA UDUVI KWAAJILI YA CHAKULA CHA KUKU.

    Kwa mahitaji ya uduvi safi kwaajili ya chakula ya kuku piga +255679903535 Karibu sana.
  8. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mna dada wa kazi nyumbani kuna shida gani akifua na kupika chakula anachokula mume?

    Wazee wa mahaba mpo? Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini? Kama anafanya kazi nyingine ikiwemo kufua na kupikia wengine kama mna mtoto/watoto kwanini ni ishu zikifuliwa nguo za wenye...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Sponge kwenye Uandaaji wa Chakula

    Mara nyingi mifuko laini na miepesi ya nailoni au Rambo kama inavyojulikana na wengi Tanzania iliwahi kutumiwa na baadhi ya wananchi katika kufungashia chakula na hasa vyakula vya haraka kama chips au wali kwa wale wenye migahawa midogo. Hata hivyo kuna baadhi ya familia wao walikuwa...
  10. Marcy

    JamiiForums Tanzania Boss analazimisha wafanyakazi kula chakula na usipo kula unaitishiwa kikao. Kina usalama kweli?

    Mkuu wa kitengo ,boss ,msimamizi katika eneo fulani,nk. Anaamua kuleta vyakula vyake na kupikwa na watu wake huko anaowajua ndani ya eneo la kazi na kupakuliwa huko huko. Nakulazimisha watu wale tena kwa kutuma watu wachunguze kama umekula usipo kula unaitishiwa kikao na jopo la watu kwann...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hotel au lodge nzuri Bukoba Mjini 30-50 chakula na club jirani

    Habari wakuu, Niko safarini kuelekea Bukoba Mjini naomba msaada wenu kwa wanaoijua Bukoba vizuri. Nauliza hotel au lodge nzuri kwa buget ya 30-50 ambapo chakula kizuri jirani kitapatikana pia patakua jirani na night club kushangaa shangaa kidogo
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Wanafunzi wote wa kutwa wapate chakula shuleni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kote nchini kuhakikisha wanafunzi walio katika shule zote za kutwa za umma na binafsi wanapata chakula bila kujali ni wa madarasa ya mitihani ama lah na kamati za shule...
  13. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya jino lilioanza kutoboka, maumivu kwa mbali pale napotafutana chakula

    Nisaidieni wakuu ili niliwahi kabla halijawa chronic
  14. mkolaj

    JamiiForums Tanzania Nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa, nini tatizo??

    Ndugu wanaJf natumaini wote mko na afya njema, nirudi kwenye mada, Nina tatizo ambalo limekuwa linanisumbuwa Kwa muda mrefu, Kila nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa ni kama vile nimekula chakula kingi. Pia inachukua muda mrefu hadi nianze kuhisi njaa. Naomba mwenye kujua hili tatizo...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa kwaajili ya chakula cha kuku

    Habari ya leo wakuu, Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku. Mawasiliano: +255679903535 Napatikana Dar es Salaam Bei: Ndoo ndogo 15,000. Ndoo kubwa 30,000.
  16. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Nilipakua chakula ugenini, wenyeji wakabaki kunishangaa

    Nadhani niliacha historia mbaya na sikurudi tena kwenye ile familia, nimemaliza form six naenda chuo, ikabidi mzee afanye mawasiliano na rafiki yake nipate pakufikia ili kesho yake nikaanze mchakato wa kutafuta hosteli. Kufika jijini, nikapokewa na Mama mwenye nyumba, Baba alikua bado hajafika...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Soko la faida kwa mazao ya chakula

    Binafsi mapenda kufanya kilimo cha biashara japoo sio kwa ukubwa huo ila hofu yangu soko lenye faida kwa mkulima lipo?!
  18. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kwa wingi wa mihogo inayoingia mjini wakina nani wanafanya tathmini ya kujua ipi inafaa kwa matumizi ya chakula?

    Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai. Kuna mihogo ukila baada ya...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Spika bunge Lebanon aiambia Israel kuwa Kisasi kinakuwa Chakula Bora zaidi kinapotolewa au kuliwa kikiwa baridi

    NB: Paschal Mayalla naomba utupe fasiri sahihi ya sentesi hii (Revenge is a dish best served Cold) Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha Mashariki ya kati Spika wa bunge la Lebanon na mshirika mkubwa wa Hezbollah ameichimba mkwara Israel lazima ichezee kichapo kwa tuhuma za mauaji ya Kiongozi...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza Vijana walioenda Kongamanoni leo Dodoma walienda kwa Utashi wao au ni kwa Utashi wa Chakula na Hela kutoka kwa Team Chawa?

    Halafu inakuwaje wengi Wao niliwaona kama vile Nyuso zao zilikuwawa na hofu na pia kukosa Kujiamini kama Vijana?
Back
Top Bottom