chakula

  1. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Serikali kusimamisha ghafla uuzaji wa chakula nje ya nchi ni unyama dhidi ya wafanyabiashara na wakulima

    Unakuta mfanyabiashara amechukua mkopo 200M benki, ameweka watu wamkusanyie mahindi semi 10 kutoka Dodoma, Manyara, Arusha, etc. Semi zimesheheni chakula kuelekea mpakani ghafla unasikia serikali imesimamisha usafirishaji wa vyakula nje ya nchi na hapo gari zipo tayari mpakani. Jamani, hivi...
  2. JamiiForums Tanzania Mazao Siyo Mali ya serikali, wakulima waruhusiwe kuuza nje chakula

    Mazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi. Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini. Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini. Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao. Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

    Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu. Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini. Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Machifu simamieni Maadili ya vijana wa Kitanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023. Akizungumza kwenye Tamasha hilo linaloashiria Mwanzo wa mavuno, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Chakula kuchanganywa na Mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike Sekondari

    Moja kwa moja kwenye mada. Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje? Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

    Waziri wa kilimo mwaka jana alikomalia kuuza chakula nje ya nchi. Kitendo hicho kililalamikiwa sana kusababisha bei ya vyakula nchini kupanda zaidi ya maradufu, lakini waziri huyu alikomalia jambo hilo akitoa sababu eti anawatajirisha wakulima, wakati ukweli ni kuwa alikuwa akiwatajirisha...
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipozuia chakula kisiuzwe nje mlikebehi, sasa mmeonja joto ya jiwe na kusalimu amri

    Bashe fungua mipaka. Bashe wewe ni jembe. Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa. Hii nini sasa? ==== Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo Mkoani Mwanza leo June 13,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kuwaomba...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa watoto wameweza kuishi kwenye Msitu wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi

    Wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hawa watoto wa wameweza kunusurika na mazingira hatarishi ya msitu mkubwa wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi yoyote hadi walipopatikana leo kutoka kwenye kikosi cha waokoaji. Watoto hao 4 walipotea mwanzoni mwa mwezi wa 5 baada ya ndege...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga ilivyozoa jumla ya milioni 175 kwa Rais Samia

    UONGOZI wa Young Africans Sports Club umetoa taarifa ya kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hafla ya kuipongeza klabu hiyo kwa kucheza mchezo wa Fainali ya Kombe la Shikirisho la CAF, Msimu huu. Katika taarifa hiyo mbali na mambo mengine...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili. Hafla hiyo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, vitabu ni chakula muhimu sana cha akili

    Sijasoma vitabu vingi sana, lakini alau nimevisoma soma kidogo. Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, nimeweza kusoma Vitabu vichache, vikubwa kwa vidogo, vinavyozidi mia nne. Nimeiona faida yake. Kuna faida sana. Ni CHAKULA muhimu sana cha akili, hakika!. Mara tu baada ya kuianza hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Kenya tena: Waziri wa Kilimo tulikuonya mapema kuruhusu Wakenya kuingia mpaka mashambani kununua mazao hukusikia. Huu ni mwanzo tu!

    Wafanyabiashara wa kitanzania wanaosafirisha mahindi kuingia nchini Kenya wameandamana kwenye mpaka wa Holili kufuatia kuzuiliwa kuingiza shehena za mahindi na Kenya. Msururu wa maloli umekwama mpakani hapo kufuatia mamlaka za Kenya kuweka kigingi na kuzuia mamia ya maroli hayo kuingia nchini...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

    Kweli kila nchi na tamaduni zake, msosi pia ni sehemu ya tamaduni. Wakati bongo tunajivunia chipsi yai, au supu chapati usichukulie poa, Mrisho Ngasa na Kapombe walishindwa kucheza Ulaya kisa chipsi yai. Turudi kwenye mada, nikiwa Cape town, nilishuhudia watu wakila soda na mikate kama mlo...
  14. JamiiForums Tanzania Asilimia 10 ya watu Duniani hawana chakula cha kutosha na wanalala bila kula

    Watu milioni 828 Duniani ambao ni takribani Asilimia 10 ya watu wote wanalala bila kula kila siku, ikiwa ni ongezek la watu milioni 46 zaidi ya ilivyokuwa mwaka mmoja uliopita. Takwimu hizo zimetolewa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mbili ya tatu ya watu hao ni...
  15. JamiiForums Tanzania Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

    Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafutaji nikajiwazia mengi leo. Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?
  16. JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa tu: Hivi mwanaume ( baba wa familia hula chakula cha siku anachokipenda yeye mwenyewe au anacho/ atakacho kitaka mke wake?

    Bila shaka title inajieleza, Najua wanaume wengi ni watafutaji, mara nyingi warudipo nyumbani hukuta chakula tayari kimekwisha kuandaliwa na msimamizi mkuu ni mama ( mke). Swali, je, nikweli huwa mwanaume unakula chakula unachokitamani kwa siku hiyo? Mara nyingi akina mama hata Kama...
  17. JamiiForums Tanzania Chakula kilikuwa kizuri lakini mazingira ya wale watoto wake sikuyapenda

    Twende kazi Maisha ya ubachelor ni kazi Sana nakumbuka since way back kabla sijaoa..Kuna sehemu nilikuwa napata msosi mchana Mara chache nikiwa Niko free. Yule dada aliokuwa anamiliki mgawaha alikuwa mpishi mzuri Sana in short alikuwa anatengeneza msosi mtamu, kwa sisi wapenda kula alitukamata...
  18. JamiiForums Tanzania Chakula bora ni Dawa

    Habari, Chakula bora ni Dawa. Ila Dawa sio chakula Bora. Tumia chakula kama dawa. Usije jikuta unatumia dawa kama chakula.
  19. JamiiForums Tanzania Hali ya mazingira ya uuzaji wa chakula katika maeneo mengi ya Stendi ni hatarishi kwa afya

    Salaam Wakuu, Katika maeneo mbalimbali ya huduma za kijamii kama vile stendi na hospitali ni kawaida mazingira hayo kuzungukwa na biashara mbalimbali za vyakula. Maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam hasa msimu huu wa mvua kumekuwa na uchafu uliokithiri maeneo ya vituo vya daladala. Hali...
  20. JamiiForums Tanzania Chumvi iliyozidi kwenye chakula ni hatari kwa afya, wapishi tuwe makini

    Chumvi ni kiungo muhimu katika vyakula, na ina athari zake kwenye chakula tunachokula. Hapa kuna baadhi ya athari za chumvi kwenye chakula hasa chumvi ile ya kuunga wakati wa kula kama kuongeza ikiwa imepungua au kuchovya chumvi wakati wa kula kama maembe mabichi nk. Mzunguko wa maji mwilini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…