Nilizoea kukuta menu za kawaida kama wali maharage, pilau nyama,
wali mboganboga na kadhalika.
Nilipoenda Dodoma kuna migahawa nikakuta wanauza wali ugali nilishangazwa nikijaribu lakini sikupendezwa nayo kabisa. Baadae nikasikia pia kuna menu zaidi kama, ugali burger, piza maharage, ugali...
TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA NCHI YA MSUMBIJI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizonyesha.
Msaada huo umekabidhiwa Machi 24...
Kuna story huwa nasikia kuwa wanaume wanajua kama chakula kimepikwa na wake zao au lah, mfano mwanaume hayupo chakula kikapikwa na mtu mwingine akija kula anajua kabisa aliyepika si mkewe hata kama kitawekwa viungo vilevile ambavyo mke huwa anaweka.
Nini kinawfanya mgundue, au kuna namna...
Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama.
Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na...
Saa 8 mchana, tarehe 12 February 2026
Imepigwa High Courtttttt
Majaji wameingia.
Mhe. Lissu alivyoingia anauliza mmekula? Mimi mwenzenu sijala kabisa.
Majaji wamewasha kipaza sauti pale na karani anasoma namba ya kesi.
Anasimama Renatus Mkude anajitambulisha na kusoma anaoambatana nao...
Wakulima waliouza mahindi Hifadhi ya Taifa ya Chakula kanda ya Songea hatujalipwa fedha zetu tangu September 2025 Hadi Sasa kimyaa.
Wakulima wameshindwa kurudi shambani wengine mahindi yanaharibika shambani kwa kukosa pembejeo hasa mbolea.
Tunaomba Waziri wa kilimo aingilie kati, hasa sisi...
Mimi Kuna chakula watoto wangu nimepambana mpaka wamekipenda na kukizoea
Mfano. Bamia na baadhi ya matunda watoto walikuwa hawapendi ila kwa sasa nimewazoeza na wanakula balaa.
Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani.
Ilikuwa ni mgahawa mmoja huko Tanga nilikuwa nimeenda kula. Rafiki yangu alinishauri kula hiyo sehemu kwa sababu chakula chao ni kitamu sana.
Kwa kuwa hoteli niliyokuwa nimefikia ilikuwa karibu...
Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
Dalili za mtu aliyewekewa sumu kwenye chakula hutegemea aina ya sumu iliyotumika, lakini kwa ujumla dalili kuu zinazoweza kuonekana ni:
1. Dalili za Haraka (dakika hadi saa chache):
Kichefuchefu na kutapika sana
Maumivu makali ya tumbo
Kuharisha (wakati mwingine damu ikitoka)
Kizunguzungu au...
Watu maarufu, hasa viongozi wa kisiasa au wanaharakati, huwekewa sumu mara nyingine kwa sababu ya misimamo yao, ushawishi mkubwa, au kuwa tishio kwa maslahi ya watu fulani wenye mamlaka au maslahi ya kisiasa, kiuchumi au kijeshi.
Hapa kuna sababu kuu zinazochangia hali hii:*
1. Migogoro ya...
Tukio la mwisho nimekutana nalo Buguruni Rozana hapa majuzi; nakula chakula nashangaa mguu unaguswa kwa namna kama ya kukustua flani hivi "oya, oyaa!". Naangalia chini nashangaa namuona paka ananiangalia....nikampotezea nikaendelea kula. Haukupita muda kanigusa tena. Mh, nikaona isiwe kesi...
Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetu… Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama viazi mbatata zimeshuhudia ongezeko la bei la hadi 200%.
Historia inatufundisha kuwa "Tumbo lenye njaa...
Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo.
Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa...
Gen Z si watu wazuri aisee. Hawa watu wamejipanga kukukwamisha tena. Dada achana na hii biashara kabisa.
NB: baadhi ya wapishi wako ni Gen Z wasije wakaweka sumu kwenye Chakula wateja tukadhurika
CK (Comrade Kipepe)
Namkaribisha binti yoyote hapa jf (hata single maza) kama unajijua ni mzuri na unavutia na mtulivu, nakukaribisha weekend ya tarehe 21 mwezi huu wa 12, tutoke ule unachotaka pia utajipatia pocket money ya shilingi laki 5 za kitanzania.
Pia masharti ya kukutana ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.