chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwambe hili linakuondolea sifa ya kuwa mwenyekiti/kiongozi CHADEMA

    Jana ulitoa kauli ambayo haitegemewi kutoka kwenye kinywa cha mtu anayewania kuwa Mwenyekiti, eti: Ruzuku itawekwa wazi na si kama ilivyo sasa ambapo ni siri ya viongozi wachache! Eti utajenga Jengo la ofisi ya chama na blah blah nyingi. Sawa ni haki yako kutoa mawazo yako, bila kuingiliwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

    Sasa ni Rasmi.Kamati Kuu ya CHADEMA katika kikao chao leo cha kikatiba kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa katika uchaguzi utakaofanyika Jumatano Desemba 18. Katika kuonyesha kukomaa kwa Demokrasia ndani ya chama hicho Kamati Kuu iliwahoji wagombea...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea ajitoa kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA, amuachia Lissu

    Wakati Kamati Kuu ikiendelea na uchujaji wa majina ya wagombea nafasi za Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti CHADEMA Taarifa za hivi punde zinasema Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara Saed Kubenea amejitoa. Kubenea amesema amejitoa kwa sababu anaamini mgombea mwenzake Tundu Lissu anafaa kushika...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa awatakia uchaguzi mwema CHADEMA. Zikutanapo pepo za Kaskazi na Kusi hutokea kisulisuli!

    Mgombea urais wa CHADEMA mwaka 2015 amekitakia chama chake cha zamani uchaguzi mwema na kuwakumbusha kuwa zikutanapo pepo za Kaskazi na Kusi unaweza kuupata upepo wa kisulisuli. Siasa sio uadui Maendeleo hayana vyama!
  5. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA yaanza vikao vya kusaili Wagombea wa uongozi wa juu wa Chama

    Uchaguzi wa viongozi wa Chadema Taifa umeshika kasi , tayari Kamati kuu ishaanza vikao vya usaili wa walioomba uongozi wa juu Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa zaidi . ====== Kamati Kuu ya (CHADEMA) Taifa inaketi leo Jumatatu Disemba 16, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mwambe: Tusisubiri CCM idhoofike ndio CHADEMA tuonekane imara, tujipange sasa kwa mabadiliko

    Nimekutana na hii taarifa huko mitandaoni mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema akiwasa wapenda mabadiiliko wajipange kuanzia sasa. Mgombea huyo amesema uimara wa Chadema kamwe hautatokana na udhaifu wa CCM bali mipango na mikakati waliyojiwekea ya kutwaa dola na kuleta mabadiliko. Hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Zama za Magufuli wanasiasa wanaume wamebaki CHADEMA

    ZAMA ZA MAGUFULI NI RAHISI KUWAJUA WANAUME NA WANAWAKE! NA Luqman Maloto KUNA "male" yenye kumaanisha jinsia ya kiume na "man" ambayo maana yake ni mwanaume. Kuna "female" yaani mwenye jinsi ya kike na "woman", mwanamke. Awamu ya President Magufuli ni rahisi sana kuijua tofauti kati ya wenye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

    Itakuwa historia.Ndivyo tunavyoweza kusema kwani mkutano mkuu wa CHADEMA Desemba 18 utahudhuriwa na taasisi na mashirika makubwa ya ndani na nje ya nchi pengine kwa mara ya kwanza katika historia ya mikutano mikuu ya vyama. Chanzo kimoja cha Taarifa kutoka ndani ya chama hicho chenye wanachama...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Vikao vya CCM vimeufunika uchaguzi mkuu wa Chadema, Mbowe na Mwambe wasahaulika katika mijadala

    Kiukweli uchaguzi mkuu wa Chadema kwa sasa unakwenda kimya kimya na hii ni kutokana na vikao vya kihistoria vya CCM vinavyofanyika jijini Mwanza. Habari kuu katika media zote imekuwa ni vikao vya CCM, na hata uchaguzi wa Bavicha na Bawacha umejulikana zaidi kwa wana Ufipa wenyewe. Na hii ni...
  10. JamiiForums Tanzania Labour party kimepoteza viti 42, Conservative kimeongeza viti 66. Campaign ya CHADEMA DIGITAL imefeli kabla haijaanza

    Nimekuwa nikifuatilia sana mikakati ya Mheshimiwa Mbowe katika kuhakikisha Chama Cha CHADEMA kinashika dola lakini nimegundua kuwa tatizo la Mbowe hajengi Taasisi anajenga Mali yake binafsi maana ukianzia anvyoongea yaani anakuwa mkali kana kwamba anaendesha kampuni yake binafsi. Mbowe...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA na Mbowe somo hili lakuhusu: Jeremy Corbyn kashindwa uchaguzi, kujiuzulu muda wowote!

    Huko kwa bibi, Malkia wa Uingereza, uchaguzi ndo umeisha na mshindi ni Boris Jonon wa chama cha mabwanyenye. Jeremy Corbyn wa chama cha wavuja jashi ameshindwa. Kwa demokrasi kabisa Corbyn atajiuzulu muda wowote kukiongiza chama chake. SOMO Mbowe alitakiwa ajiuzulu muda mrefu uliopita, lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

    Chama cha Mapindizi CCM kimeridhia kwa kauli moja kuwasamehe Nape, January Makamba na Ngeleje hata hivyo wamepewa onyo kali wasirudie tena kosa hilo. Hata hivyo kimeagiza kwa kauli moja kuhojiwa kwa Makatibu wakuu wastaafu Kinana na Makamba pamoja na Waziri wa Zamani Ndugu Bernard Membe...
  13. JamiiForums Tanzania Achilia mbali ruzuku na michango, CHADEMA ina vyanzo gani vya mapato?

    Binafsi naamini kuwa chama cha siasa ni taasisi. Naamini hivyo pamoja na kutowahi maishani mwangu kujiunga na chama chochote cha siasa hapa Tanzania na kwingineko. Kama taasisi, chama hujiendesha kwa gharama. Kuna kuwalipa waajiriwa wa chama, kugharimia shughuli za kila siku za chama,kugharimia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe azindua siasa mpya za CHADEMA huku akitangaza idadi rasmi ya wanachama

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema baada ya kuzuiliwa mikutano ya hadhara kwa hila chama hicho kimeimarika maradufu. Akihutubia mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema katija ukumbi wa Mlimani City kiongozi huyo amesema chama hicho kiliamua kufanya siasa mpya za kuzunguka kata...
  15. JamiiForums Tanzania Lowassa kurudi CCM ni ahueni kwa "wasaliti"

    Tulioamua kuacha kuiunga mkono Chadema baada ya kumpokea "fisadi" Lowassa Julai 2015 tuliitwa kila aina ya majina mabaya. Juu kabisa ya orodha ndefu ya majina hayo ni "wasaliti." Dokta Slaa pia hakusalimika kutopachikwa jina hilo. Fast forward to March 2019, Lowassa aliyepelekea baadhi yetu...
  16. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais mkono wa CHADEMA umenyooshwa kwa maridhiano, mpira uko kwako

    Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkono wa Chama Kikuu cha Upinzani Chadema UMENYOOSHWA kwako kwa ajili ya MARIDHIANO. Je, utaupokea au utausukumia mbali!!? Alichosema Mwenyekiti wa Chadema kina umuhimu wa pekee. Upinzani kwa ujumla wake una wanachama na wafuasi kwa mamilioni katika...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Chadema wafanye maridhiano na wabunge na madiwani wao waliomwandikia barua Dr. Bashiru kuomba kuhamia CCM

    Binafsi naona kuna tatizo kubwa la kuhamahama kwa viongozi wa Chadema pasi na sababu za kueleweka na kuaminika. Juzi kaondoka mzee Sumaye na kabla ya hapo Dr Bashiru akiwa Zanzibar City alisema ana barua nyingi tu za wabunge na madiwani wa Chadema wanaoomba kuhamia CCM. Ni vema basi Chadema...
  19. JamiiForums Tanzania Ubinafsi CHADEMA utawaumiza. Mlisusia uchaguzi wa mitaa, sasa mnajisogeza kwa manufaa ya ubunge wa mwakani

    Hili tulitabiri, viongozi wa CHADEMA mliwaponza waliostahili kugombea nafasi za ngazi za chini kwa kususia uchaguzi. Nilitegemea msimamo huo huo hadi mwakani kama CUF walivyoonesha msimamo wao Z'bar kwa miaka yote. Lakini kwa kujua ulaji wa viongozi huko Bungeni, hata kabla ya mwezi mmoja...
  20. JamiiForums Tanzania Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

    Habari kamili hii hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…