Kamati Kuu ya CHADEMA yaanza vikao vya kusaili Wagombea wa uongozi wa juu wa Chama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,666
218,167
Uchaguzi wa viongozi wa Chadema Taifa umeshika kasi , tayari Kamati kuu ishaanza vikao vya usaili wa walioomba uongozi wa juu

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa zaidi .

======

Kamati Kuu ya (CHADEMA) Taifa inaketi leo Jumatatu Disemba 16, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, agenda kuu ikiwa ni kuchambua na kufanya usaili wa wanachama waliochukua, kujaza na kurejesha fomu za kuwania uteuzi wa kugombea uongozi ngazi ya taifa, katika nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Tanzania bara na Zanzibar) huku ikifanya uteuzi wa wagombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu.



Picha : Mbowe akijieleza mbele ya wajumbe baada ya kuachia kiti chake na kikao kuongozwa na Mwenyekiti wa Wazee

FB_IMG_1576516228461.jpg

FB_IMG_1576516237530.jpg
 
Back
Top Bottom