chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Tangu Lissu arejee nchini hadhi ya CHADEMA kisiasa imepanda mno

    Kwanza kabisa heshima kubwa iende kwa Kamanda Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA. Mbowe amefanya kazi kubwa sana kukiweka katika chati chama hiki kwa gharama ya kufilisiwa utajiri wake, kufunguliwa makesi ya hila, na kuumizwa mwili. Kama kiongozi hajatetereka kabisa. Ni kiongozi bora...
  2. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na CHAUMA, Hashimu Rungwe ni kiongozi mwenye maono na hekima atawavusha

    Katika watia nia wa kugombea urais na walioteuliwana kwa ajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao, kwa vyama vilivyo vya dhati vya kuwa na upinzani mkuu katika uchaguzi wa mwaka huu, Chama cha CHAUMA, kupitia mgombea wake Mhe. H. Rungwe, ukimsikiliza vizuri anapopita huku mikoani kwetu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wale viongozi wake wa dini ambapo Mbowe alisema kuwa bila viongozi wa dini hakuna taifa

    Wako wapi wale viongozi wa dini ambao wengine walikuwa wajumbe wa halmashauli kuu ya taifa ya chama? Kwanini sasa CHADEMA kama waanzilishi na waliwaaminisha watanzania kuwa chama ambacho akikubariki na viongozi wa dini hakifai kuwa na dola au kuchukuwa dola. Mwenyekiti Mbowe alikwenda mbali...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA mmekosea sana kumpitisha Tundu Lissu kuwa Mgombea Urais

    Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea. Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msitumie CORONA kama moja ya ajenda ya kwenda Ikulu. Someni alama za nyakati. Kwa hoja ya CORONA Magufuli ni Shujaa kwa Watanzania walio wengi

    Mods naomba msiunganishe Uzi huu ubaki kama ulivyo. Natumaini hamjambo wana JF wenzangu. Nilirudi kwenye hoja yangu ya msingi. Ni dhahiri kuwa kutokana na janga lililoikumba dunia na hatua zilizochukuliwa na kila nchi, hapa kwetu Tanzania hatua zilizochukuliwa na Rais wetu zimeonekana...
  6. JamiiForums Tanzania Waliovamia Msafara Wa Mgombea Urais Wa Chadema Tundu Lissu Wilaya Ya Hai Hawa Hapa

    Wadau wavamizi wa msafara wa Tundu Lissu wilayani hai siku za hivi karibuni wametambulika Ni hawa Hapa , walivamia mpaka magari.
  7. JamiiForums Tanzania Enyi Wapinzani wa kweli Chadema na ACT waelimisheni wananchi juu ya bunge lijalo.

    Nawaomba Sana wapinzani Tanzania nzima,waelimisheni wananchi Tanzania nzima wasiwachague wabunge kupitia CCM. CCM inahitaji wabunge wengi ili kubadili kipengele Cha katiba Kuondoa ukomo wa Uraisi. Siongei majungu,wanatafuta tu idadi ya kutosha ya wabunge wa Ndioooooo. Kumbuka Nkamia alitoa...
  8. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hofu yatanda: Wajuta kumpendekeza Lissu kuwa mgombea Urais, Nyalandu ana ukwasi na sifa za kupeperusha bendera yao

    Baada ya wajumbe kutathini mwenendo wa namna bw. Lissu anavyotafuta wadhamini huko mikoani, hofu na giza kuu limetamalaki hapo UFIPA, baada ya kuona muda wote Lisu ni mtu wa kutukana Serikali iliyopo madarakami na kushawishi wananchi waingie barabarani pindi jina lake lisiporudi kwa ajili ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

    Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA. Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake. Jacob...
  10. JamiiForums Tanzania Hakika nawaambieni, wanawake wa Chadema ni majasiri hakuna mfano

    Kwa mtu yeyote kuwa mwanachama wa Chadema hadharani wewe utakua sio binadamu wa kawaida. Ukiwa mwanachama wa Chadema jitambue kuwa wewe Ni tageti namba moja wa kundi hatari kabisa hapa Kusini mwa jangwa la shahara liitwalo CCM. Kundi hili lina nguvu sana. Kuna watu wameumizwa na kundi hili...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

    Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu. Ni aibu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwenye vyombo vya habari na kufanyiwa vurugu, CHADEMA wanasaidiwa sana

    Kama Mwana CCM, tena mbunge mstaafu anayetetea kiti chake kwa mara nyingine, napata wakati mgumu sana jimboni ninapokutana na wapiga kura na washabiki wa CCM. Inaonekana wazi kabisa kwamba tunapoteza wanachama wetu wengi mno, kitendo ambacho kitatutia aibu ifikapo kipindi cha uchaguzi. Majuzi...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

    Hapo vipi! Ni kwa muda mrefu Arusha imezorota kimaendeleo,mpaka vimikoa vidogo vinakua kasi ukilinganisha na Arusha yenye fursa nyingi za kiuchumi. WanaArusha nyie ni mashaidi juu ya kupwaya na kulala kwa fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa wa Arusha. Arusha kama miaka kumia imegeuzwa na...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Lissu katika mikutano yake ya kampeni anasema yeye na Mwenyekiti wanatembelea magongo kwa kupigwa na watu wasiojulikana

    Jamani mimi naona kama wanatoa siri zao na kutuwezesha sisi wananchi kupata ukweli haraka na wa uhakika kuhusu hao watu wasio julikana. Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu pale Ufipa siku alipopokelewa nilifikiri hawakumwambia sasa nilipoona anazidi kuisema kilasiku na kila sehemu ndiyo nimekuja...
  15. JamiiForums Tanzania Vurugu za Hai, kuchomwa moto ofisi za CHADEMA Arusha na uasi uliobalehe na kukomaa ndani ya CHADEMA

    VURUGU ZA HAI, KUCHOMWA MOTO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA NA UASI ULIOBALEHE NA KUKOMAA NDANI YA CHADEMA Leo 12:15hrs 15/08/2020 Mwaka 2015 Lissu alisoma mashtaka ya kumfukuza CHADEMA aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, ndugu Zitto, mashtaka hayo yalikuwa ndio hitimisho la shutuma za muda mrefu toka 2012...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA Watanzania wa leo si wa jana

    Ndugu zangu CHADEMA ukweli tutauseme hata Kama hamtaki Ila tutasema tu, nyinyi ni jipu kubwa Sana katka ustawi wa vyama vya upinzani kiasi kupoteza Imani kubwa kwa wananchi tulowaamini kabla ya kuja kugundua uovu mloficha ndani ya nafsi zenu. Hakuna wananchi wenye akili wanaoendelea kuwasapoti...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

    Mkuu wa wilaya ya Hai Sambai ametajwa Leo katika mahojiano ya Polisi Moshi kuwa aliratibu vijana wa kufanya fujo Bomang'ombe na kurusha mawe kwa ujira wa Elfu 20 kila mmoja. Hivi Rais Magufuli, uliwatoa wapi vijana kama hawa na kuwapa madaraka? Kweli mtu anayekuwa mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi...
  18. JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge kupitia CHADEMA ajigeuza ombaomba

    Yaani anataka wananchi wamtatulie shida zake!!
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Mungu - Yehova anawapenda. Matukio ya Arusha na Hai ni taarifa njema kwenu.!!

    It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema? Well. Tufutane ili...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi tuwe makini na CHADEMA

    Hawa jamaa kupitia chama chao na tangu arudi Mr. Lissu,wamekuwa na kila chokochoko ya kujaribu kutushia amani ya nchii hii kwa kuongea/kuzusha ama hata kupindisha sheria na desturi za nchii hii kwa ajili tu ya uchokozi ili waeze kutekeleza jambo lao la Siri lilojificha ndani yake. Serikali na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…