• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Wafuasi wa CHADEMA, ACT-Wazalendo kortini Kilimanjaro

Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Messages
4,291
Points
2,000
Makanyaga

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2007
4,291 2,000
Moshi. Watu sita wanaoaminika ni wafuasi wa vyama vya upinzani vya Chadema na ACT- Wazalendo, wamefikishwa mahakamani katika kesi mbili tofauti jana Jumatatu Novemba 11,2019 ikiwamo ya kuchoma ofisi ya mtendaji wa kata ya Soweto katika Manispaa ya Moshi.

Katibu wa Chadema mkoa Kilimanjaro, Basil Lema alithibitisha watuhumiwa watano kati ya sita ni wafuasi wao na mmoja ambaye hakumtaja kwa jina ni mwanachama wa chama cha ACT- Wazalendo.

Hata hivyo, hati ya mashitaka iliyosomwa mahakamani na mawakili wa Serikali kutoka Divisheni ya Taifa ya Mashitaka (NPS), Kassim Nassir na Ignas Mwinuka haikuwataja watuhumiwa kama wafuasi wa vyama hivyo vya siasa.

Waliofikishwa mbele ya Hakimu mkazi Moshi, Jullieth Mawolle kwa kuchoma ofisi ya Afisa mtendaji wa Kata ya Soweto ni pamoja na Diwani wa Kata hiyo kwa tiketi ya Chadema, Collins Mayuta (40), ambaye pamoja na wenzake wanne walikana mashitaka dhidi yao.

Watuhumiwa wengine ni Mohamed Bakari(27), Paulo Lyimo(37), Priscus Kayanda (44) na Juma Ally (27), ambao hawakuweza kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini watakaosaini bondi ya Sh2 milioni isipikuwa Mayuta pekee aliweza kudhaminiwa.

Chanzo: Mwananchi
 
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
15,506
Points
2,000
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
15,506 2,000
Tungejua angalau leads ambazo askari walipewa mpaka kuamua orodha ya washukiwa ingekua poa.

Kuchoma Moto jengo is a dirty work. Very likely huyu diwani asingetaka achafue mikono so asingejiweka peupe kiasi tukio halina hata wiki mbili eti awe kashakamatwa.

Unless he is stupid.
 
rr3

rr3

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Messages
2,516
Points
2,000
rr3

rr3

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2015
2,516 2,000
Mnawajua Gestapo....???? The secret service arm of the Nazi regime ....
Walishawahi ku-conspire wakachoma BUNDERSTAG ....( NAFIKIRI INAANDIKWA HIVYO) BUNGE la ujerumani enzi za Hitler then mpira ukarushwa kea opposition wote na Hitler aka-cement udikteta wake.....

Think twice
 
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
6,197
Points
2,000
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
6,197 2,000
Moshi. Watu sita wanaoaminika ni wafuasi wa vyama vya upinzani vya Chadema na ACT- Wazalendo, wamefikishwa mahakamani katika kesi mbili tofauti jana Jumatatu Novemba 11,2019 ikiwamo ya kuchoma ofisi ya mtendaji wa kata ya Soweto katika Manispaa ya Moshi.

Katibu wa Chadema mkoa Kilimanjaro, Basil Lema alithibitisha watuhumiwa watano kati ya sita ni wafuasi wao na mmoja ambaye hakumtaja kwa jina ni mwanachama wa chama cha ACT- Wazalendo.

Hata hivyo, hati ya mashitaka iliyosomwa mahakamani na mawakili wa Serikali kutoka Divisheni ya Taifa ya Mashitaka (NPS), Kassim Nassir na Ignas Mwinuka haikuwataja watuhumiwa kama wafuasi wa vyama hivyo vya siasa.

Waliofikishwa mbele ya Hakimu mkazi Moshi, Jullieth Mawolle kwa kuchoma ofisi ya Afisa mtendaji wa Kata ya Soweto ni pamoja na Diwani wa Kata hiyo kwa tiketi ya Chadema, Collins Mayuta (40), ambaye pamoja na wenzake wanne walikana mashitaka dhidi yao.

Watuhumiwa wengine ni Mohamed Bakari(27), Paulo Lyimo(37), Priscus Kayanda (44) na Juma Ally (27), ambao hawakuweza kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini watakaosaini bondi ya Sh2 milioni isipikuwa Mayuta pekee aliweza kudhaminiwa.

Chanzo: Mwananchi
Wasingekamatwa wafuasi wa Chadema ndiyo ingekuwa habari.
 
P

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Messages
10,055
Points
2,000
P

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2013
10,055 2,000
'upelelezi unaendelea'
 
B

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
1,749
Points
2,000
B

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
1,749 2,000
Tungejua angalau leads ambazo askari walipewa mpaka kuamua orodha ya washukiwa ingekua poa.

Kuchoma Moto jengo is a dirty work. Very likely huyu diwani asingetaka achafue mikono so asingejiweka peupe kiasi tukio halina hata wiki mbili eti awe kashakamatwa.

Unless he is stupid.
Ombi lako lipo kinyume na taratibu za polisi za kiupelelezi hivyo halitekelezeki.
 
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
15,506
Points
2,000
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
15,506 2,000
Ombi lako lipo kinyume na taratibu za polisi za kiupelelezi hivyo halitekelezeki.
Mimi nilifikiri hata mahakamani inabidi ielezwe wamewezaje kuwahusisha na tukio. Au haiwi hivyo?
 
B

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
1,749
Points
2,000
B

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
1,749 2,000
Mimi nilifikiri hata mahakamani inabidi ielezwe wamewezaje kuwahusisha na tukio. Au haiwi hivyo?
Sasa hilo ombi linapaswa kuwa mahakamani sio JF.
 
N

ngusillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2019
Messages
909
Points
1,000
N

ngusillo

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2019
909 1,000
Hao wamekuwa TARGETED kwa kuwa ni mashabiki na viongozi wa CHADEMA.
 
Forum statistics

Threads 1,403,837
Members 531,397
Posts 34,435,821
Top