Mbowe tueleze wanachama wa CHADEMA waliowania uongozi ndani ya CHADEMA ni wangapi?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
Katibu Mkuu wa CHADEMA aliutangazia umma wa watanzania kuwa walihairisha mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama chao juu ya sababu mbalimbali na aliahidi mchakato huo ungefanyika mwezi juni 2019 badala ya Desemba 2018.

Hadi ninapoandika thread hii mchakato wa uchaguzi ndani ya Chadema haujakamilika.

Hii inamaanisha nini basi.

Hii ina maana uongozi wa CHADEMA uliopo hauna uhalali kisheria.

Hii pia inamaanisha CHADEMA ilikosa watu wa kugombea ndani ya chama chao na hivyo walikuwa wakitegemea kuwapata wakatwa mikia ambao hutokea baada ya mchakato wa ndani ya CCM wa kusaka wagombea.

Mwaka huu kwa mshangao wakatwaji hawajaenda Chadema.

Je, uongozi wa CHADEMA uliopo ni halali kisheria? Kwanini hatuelezwi haya?
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA aliutangazia umma wa watanzania kuwa walihairisha mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama chao juu ya sababu mbalimbali na aliahidi mchakato huo ungefanyika mwezi juni 2019 badala ya Desemba 2018...
Hadi ninapoandika thread hii mchakato wa uchaguzi ndani ya Chadema haujakamilika.
Hii inamaanisha nini basi...
Hii ina maana uongozi wa CHADEMA uliopo hauna uhalali kisheria.

Hii pia inamaanisha CHADEMA ilikosa watu wa kugombea ndani ya chama chao na hivyo walikuwa wakitegemea kuwapata wakatwa mikia ambao hutokea baada ya mchakato wa ndani ya CCM wa kusaka wagombea.
Mwaka huu kwa mshangao wakatwaji hawajaenda Chadema.

paschal mayalla je uongozi wa Chadema uliopo ni halali kisheria? Kwa nini hatuelezwi haya?
Ili iweje! Chadema imeondolewa kwenye uchaguzi wewe unataka kujua idadi ya wagombea! Hizo kura zichukuliwe na CCM.
 
Mbowe mnamgwaya heeeee sasa nyie mna kila kitu bado mnaweka mpira kwapani.Mbowe awaambie ili nini?si mmekataa kupokea form zao ?sasa mnataka awaambie ili mkaibe au
 
Mmeshindwa kumnunua mnawewesekaa tuu mkimuona Mbowe. Mnafikiri kila mtanzania yupo ktk kundi la Wajinga wa Lumumba (Utafiti TWAWEZA)
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA aliutangazia umma wa watanzania kuwa walihairisha mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama chao juu ya sababu mbalimbali na aliahidi mchakato huo ungefanyika mwezi juni 2019 badala ya Desemba 2018.

Hadi ninapoandika thread hii mchakato wa uchaguzi ndani ya Chadema haujakamilika.

Hii inamaanisha nini basi.

Hii ina maana uongozi wa CHADEMA uliopo hauna uhalali kisheria.

Hii pia inamaanisha CHADEMA ilikosa watu wa kugombea ndani ya chama chao na hivyo walikuwa wakitegemea kuwapata wakatwa mikia ambao hutokea baada ya mchakato wa ndani ya CCM wa kusaka wagombea.

Mwaka huu kwa mshangao wakatwaji hawajaenda Chadema.

Je, uongozi wa CHADEMA uliopo ni halali kisheria? Kwanini hatuelezwi haya?
Kwenye UCHAFUZI wa serikali za mitaa si mpo nyie wenyewe chama cha watu WAPUMBAVU ..CCM, sasa kuna shida gani??
Si mtangaze tu kwamba mmeshinda kata zote nchi nzima Jinga..??
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA aliutangazia umma wa watanzania kuwa walihairisha mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama chao juu ya sababu mbalimbali na aliahidi mchakato huo ungefanyika mwezi juni 2019 badala ya Desemba 2018.

Hadi ninapoandika thread hii mchakato wa uchaguzi ndani ya Chadema haujakamilika.

Hii inamaanisha nini basi.

Hii ina maana uongozi wa CHADEMA uliopo hauna uhalali kisheria.

Hii pia inamaanisha CHADEMA ilikosa watu wa kugombea ndani ya chama chao na hivyo walikuwa wakitegemea kuwapata wakatwa mikia ambao hutokea baada ya mchakato wa ndani ya CCM wa kusaka wagombea.

Mwaka huu kwa mshangao wakatwaji hawajaenda Chadema.

Je, uongozi wa CHADEMA uliopo ni halali kisheria? Kwanini hatuelezwi haya?
Tueleze kwanza wewe Magufuli alishindana na nani kwenye kugombea uenyekiti wa CCM
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA aliutangazia umma wa watanzania kuwa walihairisha mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama chao juu ya sababu mbalimbali na aliahidi mchakato huo ungefanyika mwezi juni 2019 badala ya Desemba 2018.

Hadi ninapoandika thread hii mchakato wa uchaguzi ndani ya Chadema haujakamilika.

Hii inamaanisha nini basi.

Hii ina maana uongozi wa CHADEMA uliopo hauna uhalali kisheria.

Hii pia inamaanisha CHADEMA ilikosa watu wa kugombea ndani ya chama chao na hivyo walikuwa wakitegemea kuwapata wakatwa mikia ambao hutokea baada ya mchakato wa ndani ya CCM wa kusaka wagombea.

Mwaka huu kwa mshangao wakatwaji hawajaenda Chadema.

Je, uongozi wa CHADEMA uliopo ni halali kisheria? Kwanini hatuelezwi haya?
Hanunuliki.
 
Ili swala siliisha tolewa ufafanuzi au wewe sio mfatiliaji wa habari na liko humu humu tafuta uzi na utapata jibu lake acha kuibua mada ambazo majibu yake yapo
 
Wewe si uko CC?
Katibu Mkuu wa CHADEMA aliutangazia umma wa watanzania kuwa walihairisha mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama chao juu ya sababu mbalimbali na aliahidi mchakato huo ungefanyika mwezi juni 2019 badala ya Desemba 2018.

Hadi ninapoandika thread hii mchakato wa uchaguzi ndani ya Chadema haujakamilika.

Hii inamaanisha nini basi.

Hii ina maana uongozi wa CHADEMA uliopo hauna uhalali kisheria.

Hii pia inamaanisha CHADEMA ilikosa watu wa kugombea ndani ya chama chao na hivyo walikuwa wakitegemea kuwapata wakatwa mikia ambao hutokea baada ya mchakato wa ndani ya CCM wa kusaka wagombea.

Mwaka huu kwa mshangao wakatwaji hawajaenda Chadema.

Je, uongozi wa CHADEMA uliopo ni halali kisheria? Kwanini hatuelezwi haya?
 
MaCCM hamuamini alichowafanya M//KITI wangu wa CHADEMA TAIFA..?!
Mmetiwa mimba na Mh, Mbowe, mmejaa ”kichefu chefu” lazima mzae DADEKI..!
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA aliutangazia umma wa watanzania kuwa walihairisha mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama chao juu ya sababu mbalimbali na aliahidi mchakato huo ungefanyika mwezi juni 2019 badala ya Desemba 2018.

Hadi ninapoandika thread hii mchakato wa uchaguzi ndani ya Chadema haujakamilika.

Hii inamaanisha nini basi.

Hii ina maana uongozi wa CHADEMA uliopo hauna uhalali kisheria.

Hii pia inamaanisha CHADEMA ilikosa watu wa kugombea ndani ya chama chao na hivyo walikuwa wakitegemea kuwapata wakatwa mikia ambao hutokea baada ya mchakato wa ndani ya CCM wa kusaka wagombea.

Mwaka huu kwa mshangao wakatwaji hawajaenda Chadema.

Je, uongozi wa CHADEMA uliopo ni halali kisheria? Kwanini hatuelezwi haya?
Kaulize kwenu Lumumba ya cdm hayakuhusu
 
Kwa ujinga wako unadhani hiyo ni kazi ya mgombea? Waulize wasimamizi wa uchaguzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom