Arusha: CCM wampita bila kupingwa katika mitaa 152 hivyo wanasubiria tu kuapishwa

elivina shambuni

JF-Expert Member
May 31, 2018
461
295
Msimamizi wa Uchaguzi katika Wilaya ya Arusha Mjini Mh Msena Bina amesema kuwa licha ya tayari kuampeni kuanza siku ya jana lakini wanatarajiwa kufanya uchaguzi katika mitaa 15 peke yake katika kata tofauti ambapo mingine yote wagombea wake wampeta bila kupingwa katika mitaa 152 hivyo wanasubiria tu kuapishwa baada ya kampeni kufikia tamati.

Akizungumza katika mahojiano maalum na Muungwana Tv Bina amesema kuwa katika mitaa hiyo 152 ni vyama 2 tu vimepata nafasi ya kushindana ambao ni CCM na CHADEMA katika kinyanganyiro hicho

FB_IMG_1570952637609.jpg
 
Bange mbaya sana. Ulivuta mbichi au iliyokauka?
 
Bado arusha mjini ,hii inaitwa landslide victory ,tumekata kichwa cha faraoh

State agent
 
Back
Top Bottom