chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

    WASIFU WA AKWILINA AKWILINI Akwilina Akwilini alizaliwa tarehe 1 April, 1996 katika Kijiji cha Olele-Marangu, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, akiwa ni mtoto wa sita kati ya watoto nane wa familia ya mzee Akwilini Shirima. Akwilina alipata sakramenti mbalimbali katika kanisa Katoliki la...
  2. Viongozi wa CHADEMA walioko gerezani waachiwe mara moja bila masharti

    Wanajamvi, Baada ya kumuona ndugu Polepole akikenua meno baada ya kumlipia Dr Mashinji milioni 30 na kutoka gerezani, nimeona kama vile hii hukumu kuna kamchezo fulani hivi kalichezwa ambako kana ukakasi hasa ukizingatia umuhimu wa uhuru wa mahakama pamoja na haki za kisheria za viongozi hao...
  3. Umaarufu wa CHADEMA ndani na nje ya nchi wapanda mara nne zaidi kwa masaa 24 tu

    Huu ndio ukweli uliotamalaki nchini Tanzania na nje ya nchi na hasa Ulaya na Marekani , Hakika kila penye giza iko namna ya kupata mwanga . Kwa wale tuliopita vijijini kuna wakati tunachelewa mahali fulani hadi usiku lakini tunalazimika kuendelea na safari kwenye usiku huo wa giza nene...
  4. S

    Viongozi wa Chadema msikate tamaa; hata Nyerere, Mandela nk walihukumiwa kwenda jela na serikali zilizokuwa madarakani - na leo tunajua haikuwa halali

    Historia ina mambo ya ajabu sana. Binafsi huwezi kunishawishi hata chembe kwamba kweli viongozi wa Chadema walifanya makosa, na hata kama kuna chembe ya makosa katika mambo waliyoshitakiwa, walistahili adhabu walizopewa. Ninaamini kwa dhati kwamba adhabu walizopewa, kama hazina maagizo kutoka...
  5. Mbuge wa CHADEMA, Catherine Ruge apata ajali asubuhi ya leo akitokea Dar

    Mbunge wa CHADEMA na Mhazini wa Bawacha Mhe Catherine Ruge amepata ajali mbaya asubuhi hii akitokea Dar es Salaam kwenye kesi fake za Viongozi wa Chadema Taarifa za awali Mhe. Ruge anamaumivu makali kwenye Mguu pamoja na kifuani. ======= Mbunge Catherine Ruge (CHADEMA) ambaye pia ni Mhazini wa...
  6. Faini ya Milioni 350 dhidi ya viongozi wa Chadema itumike kuwalipa fidia wazazi wa Akwilina

    Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
  7. Lucas Mwampiki, na Hussein Wasoha Madiwani wa Chadema Mkoa wa Mbeya wamehamia CCM

    Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya...
  8. Michango kuwanusuru viongozi: CHADEMA imekubali hatia?

    Hili jambo linafikirisha. Nimefuatilia mwenendo wa kesi ya mauaji ya Akwilina tangu mwanzo mpaka hukumu yake iliyotolewa leo katika Mahakama ya Kisutu, Dar. Kukubali kulipa faini bila kukata rufaa, ni kwamba viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekubaliana na hukumu kwamba wanayo hatia ya...
  9. Chadema itashinda Urais 2020 hata bila TUME HURU

    Chadema itashinda urais hata bila tume huru 2020 kama itafanya yafuatayo 1: Kama haitapokea makapi na mafisadi kutoka ccm kuja kugombea. 2: kama watamsimamisha Tundu Lissu kupambana na Magufuli. 3: Kama watawaambia wananchi kulinda kula zao kwa Cost yetote kwenye vituo. Kama chama...
  10. Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  11. S

    CHADEMA na ACT- Wazalendo timizeni wajibu wenu

    Mh Rais aliahidi kuwa uchaguzi utakuwwa huru na haki. Kauli ya Rais aliiitoa mbele ya mabalozi walio marafiki wetu na wadau wetu wa maendeeo, nenda hata kwa "wenzao" wa Africa. Kwa kauli ya Bashiru, msitegeee lolote la uchaguzi huru haki. Huyu angelikuwa kauli hiyo ni ya kwake, angelikemewa...
  12. Mnyika: Kama CCM watatumia dola kubaki madarakani, sisi tutatumia nguvu ya umma kuwaondoa

  13. J

    Mambo ya Nyakati: Mbatia, Prof Lipumba, Maalim Seif na Mrema watarejea CCM kabla ya Uchaguzi Mkuu. CHADEMA itabaki kwa mzee Mtei

    Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi. Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo? Halafu iangalie vizuri historia ya Prof...
  14. Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini John Mwambigija akamatwa na polisi usiku wa manane

    Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata . Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa...
  15. M

    Yanayojiri katika Kongamano la Wanawake wa CHADEMA katika Ukumbi wa Mlimani City DSM leo March 8, 2020

    Ni Jumapili tulivu ambayo ni siku ya Wanawake duniani.Katika Taifa letu Wanawake wa Chadema wanafanya Kongamano lao kubwa katika Ukumbi wa Mlimani City DSM. Idadi kubwa ya wawakilishi wa Wanawake wa Chadema kutoka mikoa yote tayari wako DSM kuhudhuria Kongamano hili. Mgeni Rasmi katika...
  16. Watakaobaki CHADEMA ndio watu wanaotakiwa kupewa nchi.

    Watakao baki chadema ndio watu wa kuaminiwa na kupewa nchi toka 2015 tayari tumejua wapi wanaipenda Tanzania na wapi ni wasaliti. watu wanaopata misuko suko kipindi cha miaka 5 na bado wakagoma kuhongwa na Magufuli hakika awa watu itabidi tuwaheshimu. Wale wanaoelewa mambo ya kiusalama watakuwa...
  17. N

    Mbatia: Sijatumwa na Magufuli kuiangusha CHADEMA Mbeya

    Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema mazungumzo yake na Rais wa Tanzania, John Magufuli ya Machi 3, 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam hayakulenga kukiangusha Chadema katika majimbo ya Rungwe, Busokelo na Kyela katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu. "Nimekuja Mbeya kwenye ziara ya...
  18. M

    CHADEMA Yatangaza makubwa kwenye Hukumu ya viongozi wake wakuu Machi 10, Jumanne

    Chadema Kanda ya Pwani imeitangaza siku ya Jumanne kuwa siku maalum ya mashujaa wa kutetea haki na demokrasia katika Taifa. Akizungumza na vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi Katibu wa Kanda hiyo Hemed Ally amewataka Watanzania wapenda demokrasia kote nchini kuungana na kusafiri kokote...
  19. N

    CHADEMA: Hukumu ya kuwafunga viongozi wetu itazima amani ya nchi

    Hawa watu uelewa wao ni mdogo.Wanatisha mahakama isifanye kazi yao? Kwamba wahalifu hao kama watatiwa hatiani amani ya nchi itatoweka? What a nonsense? --- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimewataka wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania kuanzia leo...
  20. S

    Mtazamo: Mwaliko wa vyama vya siasa Kwenda Ikulu ulikuwa ni mkakati wa kuwagawa wapinzani hasa CHADEMA na ACT-Wazalendo

    Kwa mtazamo wangu,mwaliko wa baadhi ya vyama siasa kwenda Ikulu ulikuwa ni mpango mkakati wa kuwagawa wapinzani na hasa CHADEMA na ACT-Wazalendo lengo likiwa ni kuwafanya wasiaminiane na pia ili waje wagawane kura. ACT wamealikwa sambamba na vyama vingine ambavyo baada ya kikao cha huko Ikulu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…