chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba za nchi nyingine Spika ndiye angekuwa Rais kwa miezi mitatu

    Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo. Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi. Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi...
  2. JamiiForums Tanzania 2025 hamna mwanaume wa kupambana na mama kule CHADEMA, kwenye machaguo tunawabakiza Mdee na Bulaya

    Kuisha kwa uchaguzi mmoja ni maandalizi ya uchaguzi mwingine. Naam bila shaka upande wa chama kikongwe barani Afrika ni nani atapeperusha bendera ya urais imetatuliwa, ni mama lao Samia Suluhu. Swali linabaki ni nani huko upinzani atapeperusha bendera yao? Zitto hana haraka na urais huku bara...
  3. JamiiForums Tanzania Wazo lenye manufaa kwa umma: CHADEMA waanzishe mfuko wa kuinua chama, wananchi tuwachangie

    Ni wakati sasa kwa Chadema kurudisha imani kwa wananchi ili iwe na nguvu kama ilivyokuwa wakati wa Dk Slaa. Inaonekana wakati wa awamu ya tano walikuwa hawapambani na CCM bali na mtu mmoja ambae kwa sababu alikuwa na ushawishi mkubwa kisiasa aliwamaliza kabisa kisiasa. Huyo ni hayati JPM, sasa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

    Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe. Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza. Yaani kote...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA, Halima Mdee na Esther Bulaya wajisalimisha kwa nabii Suguye, Waombewa na kupakwa mafuta ya " Mpenyo"

    Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo. Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nawashauri CHADEMA iende mahakamani kupinga uteuzi wa wale wabunge 19

    Nawashauri uongozi wa CHADEMA kuwa sasa ni muda muafaka kwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa wale Wabunge 19 walioingia Bungeni bila kufuata sheria, kanuni na taratibu. Ninaamini Sheria itachukua mkondo wake.
  7. JamiiForums Tanzania Natuma salamu za Pasaka kwa Viongozi na wafuasi wa Chadema popote walipo duniani

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Hatimaye Masiah amefufuka kutoka katika Wafu , Ufufuko wake unaifanya dunia yote kusherehekea kwa furaha na shangwe kuu ! Basi kwa vile siku ya Pasaka ni sikukuu basi natumia ukurasa huu kuwatakia heri ya sikukuu VIONGOZI , WANACHAMA na WAPENZI WOTE wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanamuogopa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango?

    Vijana wa CHADEMA ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais. Je, ni kwa sababu amewashauri Wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine? Kila zama na kitabu chake! Maendeleo hayana vyama.
  9. JamiiForums Tanzania Sasa nina hakika CHADEMA haitakufa tena kwa matakwa ya binadamu

    Nimefuatilia mlolongo wa njia ilizopitia CHADEMA nikagundua iliwekewa mitego mingi Sana ili ife lakini haikufa. Iliondokewa na viongozi wake nguli walioiinua kwa mikono, jasho na damu zao lakini haikufa, wachache ni Slaa, Zitto, Kitila, Mwigamba, Arfi na msululu wa viongozi wake nguli CHADEMA...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Chadema wako sahihi kutoshiriki uchaguzi kwa sababu wabunge wao wote 20 ni kama wako CCM

    Katika hili la kutoshiri uchaguzi mimi nakubaliana kabisa na Chadema kwamba wamefanya maamuzi sahihi. Kwani wale wabunge 20 wa Chadema mule bungeni wanafanya kazi gani yenye maslahi kwa upinzani. Wao muda wote wanarandaranda na viongozi wa CCM akina babu Tale. CHADEMA komaeni hivyo hivyo hadi...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA wamesema hawatoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe

    Chama cha CHADEMA kimesema hakitashiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Muhambwe lililopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma. Jimbo la Muhambwe liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge Atashasta Nditiye kufariki dunia Februari 12, 2021 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma alikokuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hai: Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA aachiwa huru kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi baada ya DNA kuonesha Mtoto aliyezaliwa sio wake

    Mahakama ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imemwachia huru diwani wa zamani wa Masama Mashariki (CHADEMA), John Munisi, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Marire. Akisoma hukumu hiyo Leo, Hakimu Mkazi wa Wilaya...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama

    Hii ndio taarifa mpya kwa wakati huu inayozunguka dunia nzima , kwamba Chadema yenye Makao Makuu yake Kinondoni , Nje ya Jiji la Dar es Salaam itakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari Tarehe 1/4/2021 kwenye ofisi za Makao Makuu yake . Waandishi wote mnakaribishwa lakini mnakumbushwa kuzingatia...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania. Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kama Zitto Kabwe atagombea ubunge jimbo la Muhambwe basi CHADEMA imuunge mkono

    ACT Wazalendo imesema watashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe kujaza nafasi ya mbunge iliyo wazi baada ya mbunge wa awali kufariki dunia. Katibu mkuu wa ACT Wazalendo mh Shaibu amesema kuna tetesi kuwa Zitto Kabwe anataka kugombea lakini wao kama chama Zitto hajawaambia kama ana nia...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

  17. JamiiForums Tanzania Upinzani na hasa CHADEMA kuingia kwenye mtego huu dhidi ya Rais Samia?

    Ndugu zangu wasalam, Ukiangalia mambo yanavyoenda kasi nchini kwetu, huwezi amini wapo watu wanasuka mipango kila uchwao kuhakikisha vyeo vyao na maslahi yao hayaguswi, kuondoka kwa Magufuli kumeibua mengi ila moja ya mipango ni kama ifuatavyo; Kwamba MATAGA wote wana mpango wa kuomba radhi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua CHADEMA wamepata hati gani?

    Hadi report ya CAG inatoka tayari Chadema walishajua wamepata hati gani lakini wamekaa kimya, ikisemwa Bungeni wanakuja kulalamika sijui tunaonewa sijui Nini? Tuelezeni wananchi mlivyomalizana na CAG kabla huko Bungeni awajaanza kuwapopoa mkakosa wakuwasemea. Kumbukeni hii report uwa inaingizwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

    Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu. Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa. Hao niliowataja unapofika...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio CCM kimetoka chuma kimeingia chuma siyo kama CHADEMA kaondoka Dkt. Slaa imepoteza mwelekeo

    Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi. CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa. Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi. Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…