chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kituo kinachofuata iwe Mwanza. CHADEMA wafanye mkutano mkubwa Furahisha. Wananchi wa Mwanza wapewe pole kwa ndugu zao kuuliwa

    Huo ndio ukweli wenyewe. Hapo Mwanza zilitembe risasi mithiri ya watu wapo Vietnam. Ghana, kilimahewa, Ilemela na maeneo yote ya Mwanza yalichafuka. Mijegejo ilimiminwa kama vile watu wapo Vietnam. CHADEMA nendeni Mwanza mkawape pole wananchi wa Mwanza. Mueleze ukweli tofauti na tume ya Jaji...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kuwa Chadema ni IMANI. CHADEMA ITASHINDA. SIKILIZA CLIP HII

    Chadema ni Imani. Imejengwa kwa imani katika mioyo ya watu, including me and you!
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Chadema mna edit picha za watu kwenye mikutano yenu kwa faida gani? Au mmeambiwa hizo ni KURA?

    Mimi Jana nilikuwepo Arusha hakukuwa na watu kabisa kwenye mkutano wa Lema na ukiangalia kwenye social media picha ni tofauti na uhalisia eti chadema mnafanya hivo kwa faida gani? Acheni usela usela nyie matapeli wa kisiasa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Spana wanazopiga CHADEMA kwenye mikutano ya hadhara, ni kali sana na sidhani kama watawala wataweza kuvumilia ukweli wanaoambiwa

    Baada ya kusikiliza hotuba za Goodbles Lema na Boniface Jacob walizozitoa mkoani Arusha kwenye mkutano mmoja wa hadhara hivi karibuni, napata mashaka kama watawala wataweza vumillia spana wanazopigwa na hawa makamanda. Ninachokiona ni CCM na serikali yake kushindwa kuvumilia na kujibu hoja za...
  5. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA wametumia Picha ya AI kuongeza idadi ya wafuasi kwenye mkutano wao Arusha?

  6. K

    JamiiForums Tanzania Chadema huwezi kuiweka pembeni ni watu zaidi ya 9 M

    Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu. Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na mauaji, bado mmejitokeza kwa matumaini makubwa.
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tathimini: Kwa huu mziki waliouwasha CHADEMA Leo huko Arusha kama kungekuwa na tume huru na Katiba mpya CCM wasingetoboa uchaguzi 2025

    Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikutungwa na wananchi. Ilitungwa na kamati maalumu ya wanaCCM hawakuzidi hata watu ishirini. Ndio maana inawafanya CCM kudhurumu uchaguzi na kukaa madaraknai kwa nguvu. Katiba inasababisha kuwa tume ya uchaguzi isiwe huru Leo...
  8. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Marufuku ya Siasa, CHADEMA yarudi Kwa Kishindo Arusha

    Baada ya kipindi kirefu cha CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli za kisiasa, hatimaye leo umefanyika mkutano mkubwa jijini Arusha ukiongozwa na Lema na Boniface Jaco Nyomi ya watu ilikuwa si ya kawaida, hali ya hewa na mazingira vilikuwa vizuri sana, na mwitikio wa wananchi umeonyesha wazi kuwa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Godbless Lema: Watu wa Ikulu walipiga simu wanaomba watu wa CHADEMA isaidie kutuliza maandamano

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema wakati maandamano yakiendelea Oktoba 29, Boni Yai pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Amani Golugwa, walimpigia simu na kumueleza kuwa watu kutoka Ikulu walikuwa wanataka kuzungumza na viongozi wa...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania Pwani: CHADEMA wataka waliotajwa kwenye ripoti ya CAG wakamatwe. Mchakato wa Katiba umalizike mwaka 2027

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Pwani kimesema kasoro zilizobainishwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikikwamisha maendeleo ya halmashauri pamoja na Mkoa wa Pwani kutokana na usimamizi usioridhisha wa mapato ya umma. Kauli hiyo...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waikosoa vikali kauli ya Rais Samia ya "kukamatwa na kuwachapa mikwaju wanaharakati"

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesikitishwa na kauli ya ndugu Samia Suluhu Hassan aliyoitoa hivi karibuni kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mheshimiwa William Samoei Ruto. Ndugu Samia alimtaka Rais Ruto awakamate na kuwachapa mikwaju wanaharakati mwanaotoka Tanzania na akasema kuwa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Kuna Wakili alipigwa Mahakamani kama wanaua nyoka, wengine wakasema ‘eti huyo ni CHADEMA”

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu uliofanyika AICC jijini Arusha. Anasema tukio la ajabu kabisa, wakili mmoja alikuwa akipigwa mahakamani kama watu wanaua nyoka. Niliona wakipiga wakili Mahinyila. Na wengine ukiwauliza...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Jiulize, hivi CHADEMA ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa kama yule Shehe.

    Yule shehe aliyesema atawakata watu vichwa hata kuhojiwa hajahojiwa, hiyo ndio maana halisi ya double standard ya jeshi la polisi. Kama Chadema ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa, baada ya tukio la Temba, leo viongozi wote wa Chadema kuanzia Heche hadi Mkiti wa tawi wangekuwa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Anayekataa Chadema sio Chama Kikubwa cha upinzani huyo naye kichwa chake kitakuwa kina shida

    Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani Kuu na Chief Odema, Mbunge Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chiponda 'Baba Levo' amesema kuwa anaekataa CHADEMA sio chama kikubwa cha upinzani huyo mtu kichwa chake kitakuwa kina shida. Mimi nakiheshimu sana chama cha CHADEMA kimeleta upinzani nchini...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama ipo ipo tu; CCM na Rais Samia wanazidi kudharauliwa na Watanzania, CHADEMA inazidi kukubalika

    Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa. Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo.. Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

    05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
  17. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Je 2030 CCM itaingia tena kwenye uchaguzi bila Chadema???

    Uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi ambao binafsi sitokuja niusahau. Kwani ni uchaguzi ambao CCM walipata pigo, na aibu ya Karne. Kwa miaka mingi CCM wamekuwa wakiiba kura za wapinzani, kitendo Cha Strong opposition party kushiriki uchaguzi kilikuwa ni faida Kwa CCM, kwani turnover ya wapiga kura...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichofanyika Tarehe 28 & 29 April 2026

  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya CHADEMA ya "Win the crowd, and fate will kneel before you" ipo 70% kuelekea kuiangusha CCM

    Mbinu ya CHADEMA YA "Win the crowd, and fate will kneel before you" IPO ASILIMIA 70% KUELEKEA KUIANGUSHA CCM. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Katika Falsafs za siasa. Zipo mbinu nyingi Sana za kuishinda serikali iliyopo madarakani. 2. Elewa, Serikali inaweza kutawala nchi, lakini...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni Sisi CHADEMA tunapaswa kuweka njia ya Muafaka wa kitaifa wa kweli kwa kutangaza Upendo na Msamaha

    Kwanza ninachokiona Kabisa mama Hajui Chochote kuhusu nchi. Nimefatilia kiundani sana unaona waliompinga ndani walikuwa sawa ila Wengi sasa wanamsapoti kwa kuyapenda maisha yao sababu waliompinga sasa hawapo. Je, kunanini nyuma ya pazia. Ata Ulaya matajili wachache wanafanya shinikizo la kila...
Back
Top Bottom