Nimekusikia ukisema Yesu asifiwe na tumkutuze Yesu. Hii pale upotoa salamu ktk mazishi ya mtei.
Unapokua muislamu kuna miiko ya maamkizi popote pale na ktk shughuli yoyote ile.
Muislamu hutakiwi kumtukuza Yesu .
Ulotakiwa kusema habarini, za mchana au poleni.
Muislamu kuna matamshi hutakiwi kuyatamka