chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Wakusoma 12

    Adui wa Samia siyo Lissu wala Chadema.

    Nalizungumza suala hili kwa mara nyingine tena, niliwahi kulisema hili miaka 3 nyuma. Adui wa Samia na CCM yake kwa ujumla siyo Lissu wala Chadema bali ni wanachama wa chama cha Mapinduzi wenyewe. Kinachotokea sasa ni mwangwi wa mshindo mkubwa ambao umeshatolewa. Chama cha Mapinduzi kinaishia...
  2. Benson Mramba

    Nionavyo mimi, CCM ya sasa ni kama iliyokuwa Chadema ya Mbowe.

    Kila ninavyojaribu kutathimini na kufanya hisabati zangu za siasa naona similarities nyingi sana. Kubwa kabisa ni kitu kilikuwa kinaitwa Kamati ndogo ya Kamati Kuu (Decision Making group) na Chadema ni Msingi (Network formation). Wanachama wengine na viongozi walibakia kuwa watekelezaji na...
  3. Parabolic

    CHADEMA wadai kada wao amefichwa polisi Dar

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikidai kuwa kada wake Leonard Magere amefichwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro ametaka suala hilo waulizwe Idara ya Uhamiaji. Magere ambaye ni mtaalamu wa Fedha na Uwekezaji wa CHADEMA...
  4. Dr Adam Francis

    GE2025 CHADEMA; Bado mnaamini mtazuia uchaguzi?

    April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa...
  5. W

    GE2025 Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) Julai 12, 2025 kimeandika “Tunapenda kuutaarifu umma kuwa leo tarehe 12 Julai 2025 Bw. Leonard Joseph Magere, Mtaalamu wa Rasilimali, Miradi na Uwekezaji, amezuiwa na mamlaka ya uahamiaji kusafiri kuelekea nchini...
  6. LIKUD

    Kinacho waponza Lissu na Chadema ni kutokujua hesabu. Nashauri Lissu ukitoka ndani rudi darasani ukasome upya hesabu

    Ndugu zangu watanzania, somo la hesabu halikwepeki. Hesabu ndio mama wa maarifa yote duniani. Hesabu hazidanganyi. Mathematics co-exist with nature. Mathematics is the language of the universe. Mathematics is the language of mother nature. Mathematics is the language of God himself. Huwezi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    CHADEMA: Tumepokea taarifa za kuaminika kuwa mamlaka zimepanga kumrudisha Brenda Rupia kwa nguvu Dar es Salaam

    Tunapenda kuuarifu umma kuwa leo, Jumamosi, tarehe 12 Julai 2025, Mkurugenzi wetu wa Mawasiliano na Uenezi, Bi. Brenda Rupia, amezuiwa kuingia nchini Kenya na kwa sasa anashikiliwa na mamlaka katika mpaka wa Namanga. Tumepokea taarifa za kuaminika kuwa mamlaka zimepanga kumrudisha kwa nguvu Dar...
  8. L

    GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

    Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya...
  9. Allen Kilewella

    Kijembe cha Zitto kwa CHADEMA inaonesha hajui nini anapigania!

    Kitendo cha Zitto Kabwe kusema kuwa kungojea miaka mingine mitano kama vyama visiposhiriki uchaguzi wa mwaka huu, ni muda mrefu Sana, inaonesha Zitto hajui anachokipigania Kumbe Zitto kwake yeye ukombozi usiogusa maslahi yake binafsi hauna faida. Miaka mitano ijayo kukiwa na uchaguzi Bora...
  10. R

    GE2025 Anaandika Boniface Jacob: Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA!

    Hii hapa taarifa yake Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya. Ujumbe wao kwa pamoja ni.... 1.Viongozi wa CCM wanaokaa vikao vya mchujo wamejawa na kiburi na dharau kwa...
  11. Mindyou

    GE2025 Afisa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi

    Wakuu, Anandika Hllda Newton kupitia ukurasa wake wa X: --------------------------- Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA Brenda Rupia amekamatwa na maofisa wa Uhamiaji akiwa ofisi za Uhamiaji katika mpaka wa Namanga wakati anafanya process ili aweze kusafari kuelekea nchini Kenya. Maofisa wa...
  12. S

    Utabiri: Raisi Samia akirudi madarakani, Lissu na viongozi wenzake wa CHADEMA wataalikwa Ikulu kujadili Katiba mpya kwani hana namna

    Niwaambie tu hiki ndicho kitachokwenda kutokea baada ya uchaguzi na Mama kurudi madarani japo kiuhalisia hatuna uchaguzi na CCM wanafahamu hivyo. Kwa sasa, CCM wanajikaza tu kuendelea na huu mchakato wa uchaguzi ila ukweli ni kwamba hata wao nafsi zinawusuta na hawana amani katika mioyo yao...
  13. Carlos The Jackal

    Sing Seth wa IPTL alimfungulia Zitto Kabwe Kesi , Zitto akaililia Serikali, nayo imempa Shariti la Kushiriki Uchaguzi Mkuu na Kushambulia CHADEMA

    Wakuu, kabla Seth wa IPTL hajamfungulia Kesi Zitto Kabwe , Zitto hakua anahangaika CHADEMA. Taarifa zinasema baada ya Seth kufungua Kesi, Zitto akaona ni maji marefu, akaanza kusema "Serikali inamlimda Seth" bado hawakumuonea Huruma Wala hakuitikisa Serikali ya CCM. Zitto akaamua kumfikia...
  14. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Zitto ameandika 'Hawa ndio wanadai tususie uchaguzi, wakati wao wanaburuzana mahakamani kwa ajili ya kudhulumiana mali za chama chao'

    Katika chapisho lililopigwa pini kwenye ukurasa wake wa X, Zitto Kabwe ameikosoa vikali CHADEMA kwa kile anachokiita unafiki na kukosekana kwa mfano wa kuigwa. Amedai kuwa ni unafiki kwa viongozi wa chama hicho kuhimiza ususiaji wa uchaguzi huku wakiburuzana mahakamani kuhusu mali za chama...
  15. S

    Did CHADEMA really say No Reforms No Elections, or No Reforms No Erection, implying they will strive to make the ruling party politically impotent?

    Tangu Lissu asemekane kuja na msimamo wa Chadema wa No Reforms No Elections, nimeona CCM wakihaha huku na huku kujaribu kupinga hili kwa nguvu zote. Hata hivyo, taratibu Watanzania wameanza kukichukia chama tawala cha CCM kutokana na matendo yake yanayozidi kufunuliwa kutokana na msimamo huu wa...
  16. chiembe

    Kwanini viongozi wakuu wa CHADEMA leo hawajahudhuria kesi ya Lissu Mahakama Kuu?

    Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
  17. R

    GE2025 Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Taifa Andrea Oisso, amejiunga rasmi CHAUMMA

    Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Taifa Andrea Oisso, ambaye hapo awali alitangaza kujiondoa CHADEMA kutokana na kutokubaliana na msimamo wa chama hicho kuchukua mrengo wa kususia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa madai ya kutaka mageuzi kwanza, ameweka wazi kuwa tayari amepata jukwaa...
  18. W

    SI KWELI PreGE2025 Sugu asema uamuzi wa CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mwaka 2025 ni wa watu wachache sio wa chama

    Wakuu hii ni kweli?
  19. M

    GE2025 Baada ya uchaguzi CHADEMA watashikwa na butwaa kusubiri miaka mitano ijayo nje ya siasa

    Ni dhahiri kuwa chadema baada tu ya uchaguzi watashikwa na butwaa wasijue wafanye nini maana kwa sasa wanachokihubir ni kitu ambacho hakiwezekani watu wanajiandaa kwa uchaguzi wanabaki na kakikundi kado sana na chadema hawajui watanzania walivyo yaaani wasione watu wanavyojaa kwenye mikutano yao...
  20. Youbettersleep

    GE2025 Athari za no reform no election kwa CHADEMA na vyama vingine vya siasa Tanzania

    Wajomba eeeh unajua harakati ya CHADEMA ya “No Reforms, No Election” ilikuwa ni msimamo mkali wa chama hicho kupinga kushiriki chaguzi bila marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi na sheria zinazosimamia siasa nchini Tanzania. Msimamo huo uliathiri siasa kwa njia kadhaa: 1. Athari kwa...
Back
Top Bottom