Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Siasa ni kama mchezo wa karata. Mjanja anayeweza kuzicheza karata zake vizuri kwa kawaida huibuka mshindi.
Zitto Kabwe ni hodari wa kuucheza huo mchezo. Anajua kuwa kumeguka kwa vyama vikuu vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu vinatoa fursa za kuimarisha chama chake.
Mwaka 2015 chama cha CUF...
Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli. Rais Samia anaweza kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 tena kwa kishindo kweli kweli. Ni kweli. Mamilioni ya wanachama, mashabikiki na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi wataenda kutiki kwenye sanduku la kura na kumpa kura Rais na kuandika historia ya...
Wakuu
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ameweka wazi kuwa siku Mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu akiondoka basi yeye atarejea CHADEMA.
GT
Nishawahi kusema these Chadema people have big brain mara zote wanaona ambako CCM Hawaoni.
1. NRNE: CCM wakaja na mpango wa Oktoba Tunatiki
2. Tone Tone: CCM wakaja na harambee
3. Magwanda: CCM wakaanza kushona Magwanda ya kijani.
4. Kunyanyua Ngumi Juu: CCM wakajaribu kuiga ishara ya ngumi.
Mwendo ni mdundo. Tume Huru ya Uchaguzi tayari imeshapuliza kipenga na vyama vya upinzani vinaendelea kuchukua fomu za ugombea Urais
Genge la wahuni la Chadema masalia hawaamini walidhani wana nguvu ya kuzuia uchaguzi mbali na kutumia vyombo vya kanisa kuzuia, bunge la ulaya, wazee wastafu...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kibamba Ernest Mgawe amesema katika uchaguzi wa chama hicho ulifanyika Januari 2025 ulikuwa na upande pili upande wa kiroho na upande wa kimwili.
Ambapo kwa jinsi ya kimwili uchaguzi ulipoisha wale wale viongozi walipaswa...
Nimemsikiliza Polepole kwa umakini mkubwa inaonekana ameibua dhana ya CCM mtandao na Chadema Masalia yaani G 55 waliokimbilia Chaumma je kuna uhusiano wa dhana au narration hizi mbili polepole tuambie tujadili nini kilichopo.
Hata msipoahiriki uchaguzi 2030 mtakuja mkiwa Moto ,,,nendeni mkahubiri injili ,,Lissu sina mashaka na uadilifu wake anaweza kuongoza chombo kwa uadilifu bila kutamani shekeli za watawala na hatimae kujenga uungwaji mkono utakaoleta kimbunga achana na akina Zitto nk. Wao Wana mission zao...
Eneo rahisi la kuvutia watanzania wenye shida zilizosababishwa na CCM , ni kuanzisha Kanisa.
Huko ndiko watu kama "Kiboko ya wachawi" alikotapeli maelfu ya watanzania na kuachwa na CCM "atorokee" kwao Kongo na kuanza kuwananga wateja zake wa zamani kuwa ni wajinga.
Leo nimeiona hii Clip ya...
Wapo wanaojaribu kuvibeza vyama vidogo vya upinzani mfano CHAUMMA wakisahau kuwa walianza kinyonge na walipata umaarufu wao kupitia makada waliohama CCM.
29 OKTOBA Saa kuminambili asubuhi nitakuwa kwenye mstari tayari kabisa kuipiga kura yangu.
Kazi ya makamo mwenyekiti badala ya mwenyekiti wetu Tundu Lissu ni kutuambia hatuna imani na majaji,mahakimu pia hatuna imani na serikali ya Samia.
Kisha tuambiwe hatima ya mwenyekiti unatuachia sisi wananchi tuamue cha kufanya.
TAARIFA KWA UMMA
TUME YA AFRIKA YAKUBALI AZIMIO KUHUSU HALI YA HAKI ZA BINADAMU NCHINI TANZANIA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakaribisha na kupongeza kwa dhati kupitishwa kwa Azimio ACHPR/Res.640 (LXXXIV) 2025 na Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), wakati wa...
Anaandika Askofu BENSON BAGONZA (PhD)
UCHURO WA TAIFA: Tuzinduke.
Nianze kwa kutoa salaam zangu za pole kwa familia ya hayati Job Ndugai. Pole kwa Ofisi nzima ya Bunge (Kupitia Katibu wa Bunge). Pole kwa Mh. Rais. Pole zaidi kwa taifa letu kutokana na msiba huu.
Kuna kitu kisicho cha kawaida...
Kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, inayohusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa, imeahirishwa hadi Agosti 18, 2025, kwa ajili ya kusikilizwa kwa uamuzi wa maombi ya kutengua zuio hilo.
Shauri hilo, Na. 8323/2025, liliwasilishwa na...
Huu ndiyo ukweli,wana Chadema wamempa imani yao yote Tundu Lissu na ndiyo nguzo ya chama chao yaani siku Lissu akiondoka basi na Chama kitakufa,
Maana yake kwamba Lissu anaushawishi mkubwa kuliko chama kama Mbowe angekuwa alishinda basi leo hii Chadema ingekuwa chali
Upande wa pili mapenzi ya...
Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA
Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa!
Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni
Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.