Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
ATTENTION: Kuna mpango wa CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake John Heche kuhusu kuwatumia vijana Redbrigade kutoka Musoma, Tabora na Kigoma kufanya vurugu eneo la Katoro ili kuwatisha wafanyabiashara wa Katoro wafunge maduka yao ili waende wakahudhurie mkutano wao.
Inaelezwa kuwa asubuhi ya...
CHADEMA WALIKOROGA
- Heche, wenzake wakichimbia kaburi chama chao
- Msajili wa Vyama vya Siasa awapa siku 14 za kukihami chama chao kisisimamishwe
- Ni kwa kukiuka makusudi sheria ya vyama vya siasa, kuhamasisha uvunjifu wa sheria, vurugu na machafuko
DAR ES SALAAM
Kauli zinazodaiwa...
KATIBU MKUU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO NDUGU, JOHN MNYIKA, UNAPOTOSHA WATANZANIA.
Na David Maphone.
Nimebahatika kusikiliza vizuri sana, Katibu Mkuu wa chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA kilicho sajiliwa nchini Tanzania .
Akizungumza nje ya mahakama, Katibu Mkuu wa CHADEMA...
Jamaa baada ya kuvuliwa uwanachama wa CHADEMA ameamua kuendelea kuipambania chama hicho kwa namna yake
============
Mwenyekiti wa kamati ya kusukuma mchakato wa maridhiano ya Kitaifa na Mchambuzi wa masuala ya siasa Bw. Charles Odero amekishauri Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kukaa na...
The Office of the Registrar of Political Parties (ORPPs) has given opposition party Chadema until 3.30pm on May 20 to submit a detailed explanation as to why it should not face disciplinary sanctions, including suspension, a fine, or both, for allegedly breaching laws governing political conduct...
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza amesema barua waliyoiandikia CHADEMA imemaanisha kuwasimamisha kwa muda (suspension) au kuwatoza faini endapo watawakuta na hatia kulingana na maelezo watakayotoa na sio kuwafuta kwenye daftari la Msajili, kama ambavyo imekuwa ikijadiliwa.
Soma...
Malengo ya waasisi wa CHADEMA yalikuwa ni kukijenga chama kwenye misingi imara ya kisiasa nchini kikisimama kama taasisi kuu ya upinzani iliyokusudiwa kutoa ushindani wa kisera na kuwa mbadala wa fikra baada ya CCM.
Hata hivyo mwelekeo huo wa kimaono ulianza kupotea na kuyumba pale chama...
Kauli anazoendelea kuzitoa Sheikh Said Mwaipopo kuna wakati zinakuacha mtu ukibaki mdomo wazi, ukijiuliza kama kweli zimefikirika kabla ya kutolewa.
================
Shekhe Said Mwaipopo amesema amesikia taarifa ya msajili wa vyama kutoa taarifa ya onyo kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Katika hali inayoibua hofu kuhusu mustakabali wa siasa za ushindani nchini Tanzania, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiandikia chama cha CHADEMA barua ya kukitaka kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa usajili au kutozwa faini kwa madai ya kukiuka Sheria...
Kama mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi nchini, nimeifuatilia chadema kwa karibu sana na kwa muda mrefu, na nimethibitisha pasina shaka na kujiridhisha kwamba, chadema inakiuka sheria na masharti ya usajili wake, na kwahivyo inastahili kufutwa rasmi kisheria.
Na hii itasaidia sana...
Mzee Joseph Warioba,Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ananikumbusha "story" ya Waziri Mkuu wa zamani wa Nchi ya Burundi,Mh. Generali Alain Bunyoni ambaye alishiriki kuunda na kutekeleza njama za kutaka kumpindua Rais wa sasa wa Nchi ya Burundi,Mh Evarist Ndayshimiye.
Haya...
Kulingana na huyu kada wa CHADEMA, Dayon Monsoh ambaye ni kuwa mwanaharakati mwenzao aitwaye NURUVAZI anatafuna michango inayochangwa na baadhi ya watanzania wenzetu wasiojitambua.
Kwa sasa kuna vita ya wao kwa wao kuhusu hizo pesa. Mimi nitafurahi zaidi ugomvi wao ukizidi kuwa mkubwa.
Hamjambo Walimwengu!
1. Kuna wale watu ambao hupotosha na kuwaweka watu under the Cage, kwamba mtu hatakiwi kujipost akiwa na furaha au akifurahia. Jambo ambalo sisi Watibeli tunapingana nalo kwa nguvu zote
2. Sio kwamba hatujui kwamba kuna watu wenye wivu, tunajua
Sio kwamba hatujui watu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa kesho Jumatano, tarehe 13 Mei 2026 Chama kitakuwa na mashauri mawili Mahakama kuu ya Tanzania, masijala ya Dar es salaam mbele ya Mhe Jaji Ngunyale.
Mosi, Mapema saa tatu asubuhi, maombi madogo namba 8960 /2025, Said Issa...
Mbunge Nape Nnauye amesema; "Tulikodi uwanja wiki nzima ili Chadema wasifanye kampeni, Kikwete akatuzuia" kupitia mahojiano yake na M&SPodcast inayongozwa na Omar Kashera pamoja na Salma Dacotha
“Nakumbuka siku moja tumezindua Kampeni pale jangwani, Tumeanza sisi kuzindua tumejaza uwanja vizuri...
Ndugu zangu Watanzania ,
Kiukweli Rais Samia amejaliwa Moyo wa Huruma na upendo sijapata kuona. Ni Mama Mwenye Kuguswa na shida za watu. Ni Mama na Rais Mwenye Upendo wa Agape . Maisha ya Rais Samia hapa Duniani ni Kwa ajili ya Kugusa watu. Anaishi kwa ajili ya kusaidia watu. Amefanyika Baraka...
Nashangaa kuona CHADEMA wanahangaika na mikutano wakati hawana hata balozi mmoja nchi nzima nadhani Sheria zitungwe ili kudhibiti vurugu za namna hii,
Nauliza CHADEMA mnafanya mkutano kwa faida ipi? Hii sasa ni vurugu Sheria itungwe kuwazuia.
"Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika.
Ameandika Mch. Peter Msigwa
Historia inaonyesha:
mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali ,
Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi inaanza kuogopwa kuliko...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali uamuzi wa utawala haramu wa Samia Suluhu Hassan wa kuzuia ujumbe rasmi wa Kamati Ndogo ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya kutembelea Tanzania.
Hatua hii ni jaribio jingine la wazi la utawala huu haramu kuficha ukweli kuhusu mauaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.