chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kumrejesha Mbowe CHADEMA mlango wa nyuma wasukwa

    Kimya kingi kina mshindo mkuu, Waswahili wanasema. Hivyo ndivyo mikakati inavyopangwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kurejeshwa kwenye chama hicho kwa mlango wa nyuma kwa ajenda ya maridhiano. Hii inakuja kufuatia juhudi zakumshawishi Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho, Tundu...
  2. Tindo

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Senegal huko AFCON ni kama wa CHADEMA

    Senegal wamegomea kubebwa kwa Moroco wakaamua kutoa team uwanjani. Iwapo wangekubali kuendelea ndio ilikuwa imetoka hiyo. Chadema msimamo uwe huo huo hakuna kushiriki chaguzi za kuhuni hadi haki ifuatwe.
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi nikweli CHADEMA itakufa sababu ya misimano thabiti ya Lissu na Heche?

    Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti. Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kibosho akutwa amefariki, Chanzo chatajwa kuwa ni Pombe

    Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake. Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
  5. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Chadema ishakua shamba la bibi, kila mtu anachangisha

  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini John Heche hasikilizwi wala haheshimiwi kama makamu na kaimu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pale CHADEMA masalia?

    Ni kwasababu ya jinsi anavyo onekana? Ni kwasababau ya matamko nonsense na uropokaji useless? Au ni kwasababu za hali yake ya kiuchumi? Wafuasi wa Chadema masalia wanamchukuliaje huyu muungwana ambae ni adict wa kubeti? Mungu Ibariki Tanzania
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yafuta uteuzi viongozi kamati za Kanda ya Nyasa

    Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imefuta uteuzi wa wenyeviti na makatibu wa kamati za kudumu za chama hicho, Kanda ya Nyasa. Januari mosi, 2026 Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu alifanya uteuzi wa makatibu na wenyeviti wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TBT: Katambi ambaye kwa sasa ni Waziri wa mambo ya ndani akiwa Chadema

    Ni huyo wa kushoto Katambi ambaye kwa sasa ni Waziri wa mambo ya ndani akiwa Chadema
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inalaani kwa nguvu kufungia mtandao na majukwaa ya mawasiliano ya kidijitali kabla, wakati au baada ya uchaguzi Uganda

    Kuikosoa Kufungwa kwa Mtandao na Kufichwa kwa Taarifa CHADEMA inalaani kwa nguvu jaribio lolote la kufunga, kupunguza au kuchezea upatikanaji wa mtandao na majukwaa ya mawasiliano ya kidijitali kabla, wakati au baada ya uchaguzi. Katika dunia ya kisasa, upatikanaji wa mtandao siyo kipengele...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tunalaani unyanyasaji na vitisho vinavyomkabili mgombea urais Robert Kyagulanyi (Bobi Wine)

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama kikuu cha upinzani katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilichoundwa kwa misingi ya demokrasia, heshima ya binadamu, utekelezaji wa katiba na utawala wa sheria, kimekutana na kutoa Kauli ya Pan-Afrika hii kabla ya chaguzi za umma zilizopangwa...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapitia njia ya ANC ya Afrika Kusini, kiliwahi kuzuiwa kufanya siasa lakini ndicho chama tawala kwa sasa

    Mwaka 1960, ANC ilipigwa marufuku kufanya siasa nchini Afrika Kusini, viongozi wake kama Walter Sisulu na Nelson Mandela walikamatwa wengine wakakimbia nchi, Oliver Tambo akachukua jukumu la kukiongoza chama hicho akitokea Zambia. ANC iliendelea kufanya kazi katika mazingira magumu lkn...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Matata: Padre Kitima siyo mshauri wa CHADEMA, Mchange ana uwezo mdogo wa kufikiri mpuuzeni

    “Father Kitima siyo mshauri wa Chadema kama anavyosema Mchange, Uwezo wa Mchange wa kufikiri ni Mdogo hivyo mpuuzeni” Adv. Matata
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Njia nyepesi kwa CHADEMA ni kuomba radhi Watanzania, nothing else

    Watanzania sio wajinga, wanajua kuwa chadema ndio waliharibu mali, maisha na utaratibu wao mzima siku ya na baada ya uchaguzi. Wananchi sio wajinga wa kushindwa kujua kwamba no reforms no election ya chadema ndio chanzo cha wapendwa wao kufa, kuumia na mali zao kuharibiwa. Watanzania wa leo...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM haina watu makini ndio maana imechukiwa. Huwezi ukapambana na CHADEMA hii kwa propaganda za kipuuzi

    Utasikia makada uchwala wanaongea hadharani kuwa TEC wanaifadhili CHADEMA tena bila hata aibu huku wakijua upuuzi wanaousema hauwezi kukubalika na mtu yoyote. Mtu mpuuzi analipwa pesa na kufanya press conference kuwa Heche na Lissu wanateka watu bila kutumia akili. Upuuzi kama huu nani...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu; Mkurugenzi wa sheria, katiba na haki za binadamu CHADEMA anatoa ufafanuzi wa kilichotokea

    10 January 2026 MAZITO YAFAFANULIWA https://m.youtube.com/watch?v=sVw34Jl61eg Advocate Gaston Shundo Garubindi anajibu masuala mbalimbali ktk interview exclusive na Jambo TV yanayogusia ikiwemo kwa uchache ktk mengi Criminal case / kesi Jinai huwa hazitakiwi kusimama session zake hata kama...
  16. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: CHADEMA ndo chama pekee kinachozungumza hoja za mwananchi wa wakawaida

    CHADEMA wamekuwa wajanja, CHADEMA ndo chama pekee kinachozungumza hoja za mwananchi wa kawaida; Haki za binadamu, utawala bora, threats, kupigwa, enforced disapperance- Amesema Wakili Mwabukusi
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Nimemlaani Odero Odero. Ndiye msaliti wa CHADEMA anayetumiwa kujihusisha na kinachoitwa "maridhiano!"

    https://youtu.be/tDVpmZ0SUe0?si=vTrRwFzHt2jxBNwL Hatimaye mshiriki wa usaliti kwa CHADEMA kwa mlango wa nyuma kujihusisha na kinachoitwa maridhiano ajulikana. Ni Odero, mgombea uenyekiti wa CHADEMA aliyeshindwa kupata hata kura 10 ktk uchaguzi mkuu mkuu wa chama uliofamyika January 21/1/2025 na...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Baada ya Chadema kujimaliza yenyewe kisiasa, ni chama gani cha siasa kitafuata nyayo na kujichimbia kaburi la sahau kisiasa Tanzania?

    Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa zaidi ni kufanya makao makuu yao kua Nairobi chini ya yule mdada mkuu wa vibaraka aliewahi...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa matakwa ya CHADEMA, Mange na wapinzani sasa hivi nchi hii ingekuwa chini ya utawala wa Kijeshi. Asante CDF, hukuwa mroho wa madaraka

    Kuanzia Agosti mpaka October 29 2025 CHADEMA na upinzani baada ya kususia uchaguzi na kuona kuwa mbinu hiyo haitaleta tija kwao wakaja na mbinu ya kuhamasisha vurugu kali. Waliorganize vizuri tena kwa muda mwingi. Uharibifu uliofanyika tarehe 29 na tarehe 30 haukuwa bahati mbaya. Huwezi...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA walitoa sadaka ya kujimaliza Oktoba 29, hawainuki tena

    Waliaandaa mpango ambao walikuwa na uhakika nao kuwa utaua vijana wengi wasio na hatia. Vijana walipewa pesa na ahadi lukuki kama watakubali kujitoa mhanga kuiangusha serikali. Waliwadanganya vijana kuwa jeshi litakuwa nao bega kwa bega huku wakijua kuwa wanawalaghai vijana. Vijana walikufa...
Back
Top Bottom