chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA tumeshindwa kujisimamia, hatuwezi kuikosoa CCM

    Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini. Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama. Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama. Hii dalili tosha kuwa chama...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteua tarehe 5 Agosti 2021 kuwa siku ya kupinga mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe nchi nzima

    Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM. Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kuna njama zinasukwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa kuifuta CHADEMA

    Sio siri CCM wameivuruga CUF na kumuua Seif Sharif ila Maalim hakukubali kufariki baada ya siku tatu akafufukia ACT (Jesus of Zanzibar). Sasa baada ya kushindwa na Maalim Seif (Marehemu) CCM wamekusudia kuiuwa Chadema na kuivunja nguvu wakiamini ,uwanja wa siasa utakuwa mwepesi. Suali Je...
  5. JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT Makongoro, Furahisha Mwanza lafanya ibada ya kumuombea Freeman Mbowe, wafuasi wa Chadema wafurika

    Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania. Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia hautafanikiwa kuipoteza CHADEMA, nakuhakikishia hilo

    Zoezi la kuiua CHADEMA alilianza Hayati Magufuli na kaondoka Duniani hajafanikiwa kuiua CHADEMA. Kwa maneno mengine rahisi, aliyetaka CHADEMA ife kafa yeye na kuiacha CHADEMA ikiwa hai. Mbowe alikuwa hana tuhuma zozote za Ugaidi hapo kabla, lakini alipoanza vuguvugu la kudai Katiba Mpya...
  7. JamiiForums Tanzania Pamoja na wanayotendewa, wanachama waendelea kujisajili kupitia Chadema Digital

    Huu ni mkusanyiko wa wananchi wa kata ya Utengule huko Mlimba wakisubiri kusajiliwa kwa njia ya kisasa ya Chadema digital. Tunawasisitiza waratibu wa mambo haya kuhakikisha tahadhari dhidi ya corona inachukuliwa ili kulinda afya za wanachama wetu, ni muhimu sana kuchukua tahadhari hiyo hasa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TBC acheni fake news, acheni michezo ya kitoto!

    Inasikitisha kwa TV ya Taifa kutumika kusambaza uongo, kuwa vijana wa Chadema hawataki katiba mpya Hii michezo yenu ni ya kudanganya umma, mnafanya propaganda za kitoto na mnavunja katiba ya nchi na sheria za utangazaji kwa sababu mnalisha wananchi taarifa za uongo, matukio yaliyo staged. TBC...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa CCM, Mutungi, Polisi and allies: Chadema genome has already been incorporated into Tanzanians' DNA

    Press ya Mnyika imesema kuwa Mtungi na CCM wana mpango wa kuifuta Chadema. Mtungi, CCM, Polisi et al, fahamu kuwa Chembehai (DNA) ya CHADEMA imeshaunganishwa (INCORPORATED) na chembehai za watanzania. Hivyo hilo mnalotaka kulifanya mnajisumbua sana sana mtaleta matatizo na sintofahamu, in the...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mtikila alikuwa na wafuasi wachache lakini walimpigania zaidi ya ilivyo Mbowe na Chadema

    Nakumbuka mchungaji Mtikila alivyopiganiwa na wafuasi wake kila mahali wakati akidai katiba na ile iliyoitwa serikali ya Tanganyika. Mtikila alikuwa na wafuasi wachache lakini walimpigania. Chadema wanaojiita chama kikuu cha upinzani ni wakimya sana wanataka katiba mpya bila kuwa na mipango...
  11. JamiiForums Tanzania Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

    Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM. Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu. I warn you...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wito: Chadema, CCM na Wote Maslahi ya Taifa Yazingatiwe

    Itakuwa kutojitendea haki kutokutambua kuwa taifa hili linapita katika hali iliyo tete sana. Hali kadhalika itakuwa ni kukosa uzalendo kwa kiwango cha juu kuyaona haya na kuyafumbia macho. Pamoja na yote ni muhimu sana maslahi ya taifa yakawekwa mbele. Ieleweke kuwa maslahi ya taifa (kama...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: CHADEMA wapinga agenda ya Katiba Mpya

    Wanachama wa CHADEMA Mkoani Mbeya wamejitokeza kupinga agenda ya Katiba Mpya huku wakiwa wamevalia Tshirts za kuhamasisha Katiba Mpya! Source: TBC1 Habari
  14. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini mkianza maandamano ya amani

    Mtakapoanza maandamano ya amani nendeni na simu zenu zenye video kamera ili kuwa na ushahidi wa watakaoanzisha uvunjaji wa amani na kuwatambua hata kwa sura. Ni wazi magaidi ambao siyo wa CHADEMA watataka walianzishe ili lawana ziende CHADEMA. Nawasilisha.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima azipatanisha CCM na Chadema, zote zinapinga msimamo wake kuhusu Chanjo!

    Chadema na CCM zimeungana katika kumkemea askofu Gwajima kuhusiana na msimamo wake hasi kuhusu chanjo ya Corona. Katika mambo ya msingi ni jambo jema kuwaona Chadema na CCM wanakuwa Wamoja katika Umoja. Mungu ni mwema wakati wote!
  16. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Vijana CHADEMA wamtaka Mbowe kujiuzulu; kesi ya ugaidi inamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa kisiasa

    Hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la vijana wa CHADEMA nchini wakitofautiana kabisa na mawazo ya mwenyekiti wao wa Taifa, hii inakuja baada ya vijana hao kuona kuna haja ya Chama hicho kuanza kujitafakari chenyewe kwanza kabla ya kuanzisha vuguvugu la kudai katiba mpya ya nchi nzima. Suala...
  17. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Chama la Wana na Kishindo Kimya Kingi!

    Chadema kama taasisi inaendesha shughuli zake ofisini kwa mipangilio yake bila kusukumwa, kuchagizwa, kushinikizwa wala kushawishiwa na yeyeto. Tulipo sasa mwenyekiti mheshimiwa Mbowe (mola amjalie salama) yuko nyuma ya nondo chini ya watesi wake ambao wangependa kuona Chadema ikisambaratika...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anajua yeye ni mbunge kupitia CCM, kwanini anashawishi uongozi wa juu Chadema umpe nafasi agombee urais 2025?

    Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake. Sasa Rais Samia kaingia, Askofu kapoteza...
  19. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Jahazi liko imara pasi na kutetereka

    Imeelezwa mara nyingi kuwatofautisha wajumbe JF na vyama vya siasa. Kama ilivyo kwa vyama vingine, CHADEMA ni taasisi kubwa yenye kuendesha shughuli zake rasmi ofisini na siyo mitandaoni chini ya wajumbe fake. Ikumbukwe kuwa CHADEMA imekuwa mshirika wa dhati wa wananchi dhidi ya Corona...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya mkutano na Waandishi wa Habari Julai 31

    Katibu Mkuu wa Chama Mhe. John Mnyika atafanya mkutano na waandishi wa habari kesho jumamosi tarehe 31 Julai 2021 saa 5 kamili asubuhi, Makao Makuu ya Chama, Kinondoni. Waandishi wote mnakaribishwa na tuchukue tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…