chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wa CHADEMA walio Mahabusu wanyanyaswa, wanyimwa taulo za kike za kujistiri

    Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake. Hili la kunyimwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa salama na T-Shirt za Mbowe?

    Tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh Freeman Mbowe na kushitakiwa kwa kosa la ugaidi limevuta hisia za watu wengi ndani na nje ya nchi. Suala hili limegusa pia hisia zangu hasa nikitafakari kwamba amekamatwa masaa machache tu kabla kuhudhuria kongamano la katiba. Kwa upande...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

    Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
  4. JamiiForums Tanzania Has Madam President Samia Suluhu Hassan declared total war against CHADEMA, the major Opposition Party in Tanzania?

    Has the Tanzanian President unleashed the reign of terror just like her predecessor by use of a police force armed to the teeth vs Chadema? The Leader of the major opposition Party, Freeman Aikaeli Mbowe, is in jail facing trumped up charges of terrorism! Several members and leaders of his...
  5. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya 191 kwenye mwaka huu, kitu pekee walichofanikiwa Chadema ni kuanzisha mikutano Twitter

    Hamna CCM imara kama upinzani ni dhaifu, Chadema fanyeni kujitahidi hili kuleta amsha amsha ndani ya nchi. Kwa kifupi mtu akisema Chadema imepoteza dira anakuwa yuko sahihi sana. Ebu tujikumbushe baadhi ya vitu vilivyofanywa na Chadema mwaka huu. Kuwatoa wabunge 19 bungeni (hapa chadema...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya

    Chadema kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya By Mgongo Kaitira Mwanza. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na mbinu yao mpya ya kudai Katiba Mpya kwa kwa njia ya amani kwa kutumia ibada zinazoendeshwa katika makanisa mbalimbali jijini Mwanza...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa Segerea waanza kugoma kula kushinikiza washitakiwe ama waachiwe

    Watu hawa tangu walivyokamatwa siku 5 sasa hawajapelekwa Mahakamani , wala hawaruhusiwi kuonana na ndugu zao pamoja na wakili wao .
  8. JamiiForums Tanzania Wito: CHADEMA chagueni Mwenyekiti mwingine, Mbowe kutoka ni ishu ya miaka

    Leo nimemsikiliza mzee mmoja mstaafu kutoka Kitengo cha Kupambana na Ugaidi Tanzania. Nimeshtuka sana pale aliponiambia kuwa ili mtu akamatwe kwa kosa la ugaidi lazima Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi atoe amri baada ya kujiridhisha na ushahidi wa mshukiwa. Amenihakikishia kuwa trials za...
  9. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Hatuwezi kunyamaza

    Baadhi ya watu wanashangaa Askofu Mwamakula kuwatetea CHADEMA! Wapo wanaoshauri Askofu awe anafanya mara moja moja lakini sio kila mara. Wakati wa janga la UKIMWI, tulizika ndugu zetu wengi. Lakini hatukuchoka kulia kila ndugu alipokufa eti kwa sababu tulilia misiba ya jana na juzi. CHADEMA wapo...
  10. JamiiForums Tanzania Chadema kuwaburuza Mahakamani OCD wa Kigoma na Dodoma kwa tuhuma za Wizi

    Watashitakiwa kwa Majina yao binafsi kama wanavyoshitakiwa vibaka wengine, hii ni baada ya kuamuru na kushiriki wizi wa nyaraka za Chadema waziwazi bila kificho chochote. OCD wa Dodoma ameonekana wazi akishiriki kuvunja ofisi ya Kanda ya kati na kuiba nyaraka kadhaa pamoja na pesa Taslimu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ili kuimarisha upinzani, CHADEMA tusikiite "chama kikuu" cha upinzani

    Kwa mtazamo wangu, tunapotaka kuimarisha umoja miongoni mwa vyama vya upinzani nchini, moja ya jambo tunalopaswa kuliepuka au kutoendelea nalo ni kuita CHADEMA chama kikuu cha upinzani. Nasema hivi kwasababu, matmuzi ya jina hilo yanajenga inferiority complex miongoni mwa vyama vya upinzani na...
  12. JamiiForums Tanzania Lissu na wanaharakati wa CHADEMA, nchi yetu haitakombolewa kwa 'Space'

    Wanaukumbi Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa...
  13. JamiiForums Tanzania Credibility ya CHADEMA kama chama cha ukombozi imefutwa sasa ni chama cha kuleta hofu na dhahama

    Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa. Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika kama wakombozi wa watanzania dhidi ya mafisadi Ccm Leo hii tu tunaviongozi wanaopanda vizimbani...
  14. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haitashuka kama mana jangwani. Mapito ya Mbowe na CHADEMA ndio njia yenyewe chungu yenye shubiri lakini yenye tija

    Siku zote watawala hawataki kugawana power na wengine wao wangependa kuhodhi power hiyo milele. Mungu fundi akaweka kifo na sisi wanadamu tukajiwekea katiba. Rais aliyepita Magufuli alitufundisha vizuri sana umuhimu wa katiba Bora. Aliwaambia wazi wakurugenzi nikulipe mshahara nikupe gari...
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: CHADEMA imeishiwa ubunifu kufikia malengo yake ya kisiasa

    Kwa wanasiasa wazuri kila kitu kinachomkumba mtu ni mtaji wa kisiasa kiwe cha heli au Shari. Mfano Zitto umaarufu wake ulikuwa Sana baada ya kufukuzwa bungeni. Tisheti zikachapwa, Kanga na Mabango Mengi kuelewesha umma nini hasa alichopigania. Nyimbo zikaimbwa za kutoa ELIMU na kumsifu. Hata...
  16. B

    JamiiForums Tanzania John Mrema: Tuwatambue Mamluki Wapinga CHADEMA kwenye Runinga

    Habari hii inajieleza wazi: John Mrema amethibitisha baadhi ya utambulisho watu hao. Kwamba tumefikia huku kwenye "impersonation" si haba inaonekana ujumbe unawafikia walengwa. Kwa vile walisema walikuwa hawajasikia - na tupaze zaidi sauti. Aluta Continua.
  17. JamiiForums Tanzania Dunia imeanza kuelewa ni kwanini CHADEMA wanapigania kufa na kupona Katiba Mpya

    Hivi sasa vyombo mbalimbali vya kimataifa vya habari vya nje kama vile vya CNN, Aljazeera, BBC na vingine vingi, "headlines" ya habari zao ni kukamatwa na Jeshi la Polisi nchini kwa Mbowe na "kubambikiwa" kesi ya ugaidi kwa kosa tu la kupigania Katiba mpya ya nchi hivi sasa. Vile vile...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wanahamasisha chanjo ya Corona ila hatuwaoni wakichanjwa

    Ndugu zangu Watanzania. Wakati Bwana Yesu yuko duniani aliwaeleza wafuasi wake kuwa Mafarisayo wameketi kwenye kiti cha Nabii Musa. Wasikilize maneno yao ila wasienende kwa mfano wa Matendo yao. Leo hii maneno hayo yanatimia kwa Viongozi wa Chadema. Wamekuwa wakihamasisha sana juu ya chanjo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

    Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi. Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi. Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
  20. JamiiForums Tanzania Peter Kibatala Wakili wa CHADEMA, Mungu akubariki sana

    Tumezoea kuona watu wakitoa sifa nyingi mtu anapokufa, lakini ninaomba sifa nizitoe mtu akiwa hai. Mara nyingi nimeona wakili Kibatala akipanda mahakamani kwenye kesi za viongozi wa chadema, analipwa au halipwi hio sijui na hainihusu. Lakini kitendo tu cha kukubali kusimamia kesi za upinzani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…