chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Ukimzidi mshindani wako kwa 90%, kutakuwa na sababu mbili za wewe kushinda...

    Ukimzidi mshindani wako kwa asilimia 90% kutakua na sababu kubwa mbili za wewe kuupata ushindi huo. 1. Uwezo wa mshindani wako katika mnachoshindania ulikua duni sana. Hili hata walimu huwa wanajitahidi kutunga mitihani yao kutokana na uwezo wa wengi darasani. Nusu ya darasa wakipata 90%...
  2. Ni kwa namna gani CHADEMA itakuwa moja tena bila pesa za ruzuku?

    Najiuliza sana na sipati jibu hivi kwa pigo hilo itakuwaje CHADEMA bila ruzuku itabaki moja tena! Ni kwa namna ipi itapata pesa za kulipa mishahara watendaji wake wa ngazi mbalimbali? Je, kama CHADEMA ilikuwa ikitegemea pesa ya ruzuku kuendesha mambo mengi/yake sasa itakuwaje?
  3. I

    CHADEMA tudumishe Resilience yetu

    Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo. Tuendeleze ile resilience yetu. viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote...
  4. H

    GE2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

    WanaJF, Katika hali ambayo ilikuwa inatarajiwa na wengi ni kwamba Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai kupitia tiketi ya CHADEMA ambae pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amegaragazwa vibaya sana kwa kuambulia kura 27,000 tu wakati mshindani wake Mgombea wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM amefanikiwa...
  5. O

    GE2020 Chadema Kubalini matokeo, Watanzania Wote tunaendelea na Shughuli zetu tumeanza kuwasahau

    Baada ya tarehe 28 October, Tanzania hali ni shwari na yenye utulivu Watanzania tumemaliza Uchaguzi na Chadema wameshindwa Vibaya sana wamebaki kama Chauma. Lissu nani alikudanganya kuwa utawaambia Watanzania Nendeni Barabarani nao watatoka. Washabiki wako wa mtandaoni wako Instagram wanapitia...
  6. J

    GE2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

    Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa. Kwa mfano hapa Dar es Salaam nimepita katika viituo vingi vya kupigia kura na kushuhudia CCM ikiwa ina mawakala katika kila chumba cha kupigia kura wakati vyama vya upinzani wakiwemo CHADEMA wana...
  7. GE2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

    Wananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawa
  8. GE2020 Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua

    TANGA: Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda amesema baadhi ya mawakala wa vyama tofauti vya siasa wamekamatwa kwa madai ya kuzuia wananchi...
  9. CHADEMA wekeni pingamizi Mahakama Kuu ili matokeo yasitangazwe baada ya Mawakala wenu kufanyiwa figisu

    CHADEMA nimeona mnalalamikia suala la mawakala wenu kufanyiwa figisu na kuambiwa hawawezi kuingia vituoni. Badala ya kulalamika mtandaoni, msichelewe chukueni irregularities zote muwahi Mahakama Kuu leo leo. Mnyika fanya press conference haraka kuiambia dunia juu ya hujuma kwa Mawakala wenu.
  10. GE2020 Pongezi nyingi sana kwa Lissu, Mkewe, Uongozi wa CHADEMA na Watanzania walioshiriki kwenye kampeni za CHADEMA

    Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana Lissu kwa kampeni zake za hali ya juu na zilizokuwa na mahudhurio makubwa sana kila kona ya Nchi yetu uliyopita. Lugha zako za upendo ulizotumia na kutugusa mamilioni ya Watanzania Wazee, vijana na hata watoto. Ulikutana na vikwazo vya aina mbali mbali...
  11. GE2020 Sitamchagua Magufuli na wala Sitapiga kura kwa CCM mwaka 2020

    Najua kuna mtakaobeza kuwa hata nsipomchagua bado yeye atakuwa ndio President I do not care. Najua kuna mtakaobeza kuwa hata asiposhinda atatangazwa mshindi I do not care Ninachosema ni kwamba ashinde asishinde,aibe kura asiibe ajue kuwa kati ya kura zote zitakazopigwa ya kwangu haitakuwepo...
  12. GE2020 Propaganda mfu za CHADEMA ni dalili tosha kuwa wameshindwa uchaguzi

    Nimemsikiliza Godbless Lema akihojiwa na Dw kuwa kuna kundi la vijana 200 wamepelekwa Arusha ili wakakipigie kura CCM. Anadai amewaona. Sasa kama mgombea ubunge umeona tukio kama hili kwa nini usitoe taarifa ya maandishi kwa msimamizi wa uchaguzi na badala yake unaongea tu DW? Kuna habari...
  13. JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

    Wanabodi, Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri, Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize Kwa faida ya...
  14. GE2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% , Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye...
  15. GE2020 Shukrani za dhati kwa wote walioshiriki kusambaza taarifa za Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu tangu mwanzo hadi mwisho

    Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa...
  16. GE2020 Nini kimewapata wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni, Wamepoa ghafla , au ni baada ya kupima upepo?

    Kadri tunavyokaribia uchaguzi idadi ya wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni inazidi kupungua siyo tu hapa JF bali hata huko facebook, twitter na sehemu zinginezo. Inaonekana wamepima upepo na kuona maji ya Dkt Magufuli ni masafa marefu. Wachache wanaojitutumua wanachangia kwa unyonge sana na kwa...
  17. GE2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

    Ikiwa leo ni siku ya Maombi, Sala na Shukrani nchi nzima, Mgombea Urais anayesubiriwa kwa hamu kupigiwa kura na wananchi walio wengi ambapo anatarajiwa kushinda kwa zaidi ya 75%, anaendelea na kampeni ya kuomba kura za kishindo kwenye baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro na Tanga. Kama kawaida yetu...
  18. J

    GE2020 Nawakumbusha CHADEMA na SAU maamuzi ya nani awe Waziri Mkuu yako Bungeni

    Nimesoma mgombea urais wa JMT kupitia Chama cha SAU akisema akiwa Rais atamteua Dkt. Magufuli kuwa Waziri Mkuu. Yaani huyu mgombea Urais hajui kuwa Waziri Mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa? Freeman Mbowe wa CHADEMA naye anasema Tundu Lissu akiwa Rais yeye atakuwa Waziri Mkuu. Huyu...
  19. Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu

    Tukiwa tumebakiza siku moja pekee, ili tuingie kwenye uchaguzi mkuu, hapo kesho kutwa, nimejaribu kufanya tathmini na kuona ni makundi yapi yanaweza kumpa kura kwa wingi sana mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura Tundu Lissu:- 1. Mamilioni ya wanachama na...
  20. CHADEMA na Siku Maalum ya Dua, Sala na Shukrani nchi nzima

    Lengo kuu la jambo hili ni kumshukuru Mungu kwa wema na ulinzi wake mkubwa sana alioutenda katika kipindi chote cha kampeni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…