chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Polepole angekuwa CHADEMA tusingemvumilia, haiwezekani kiongozi kukivua nguo chama hadharani. Nape ni kiongozi

    Yericko Nyerere anasema Nape Nnauye ndio Kiongozi wa mwisho kijana kuongoza CCM ambaye chama kilimuandaa hawa UVCCM wengine wanaoongoza wameokotwa okotwa tu mitaani hawana nidhamu wala heshima. Yericko anasema kwa mfano Polepole alikuwa ni Kiongozi mkubwa sana ndani ya chama na anajua siri...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Jeshi la Polisi na Nipashe; taarifa hizi zilizosambaa mitandaoni zinawahujumu

    Kuna taarifa zilizosambaa mitandaoni leo kuwa zaidi ya Askari 10 wakiwa na silaha za moto walikuwa wamezingira Ofisi za CHADEMA Mbeya ambako kulikuwa na Kikao cha Ndani cha BAWACHA! Taarifa hizi ziliripotiwa na NIPASHE na kusambaa katika mitandao ya kijamii. Ni kawaida yetu kutaka kujiridhisha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, hawa watu tusiwabeze, inawezekana wamechoka kutumika na sasa wameamua kuboronga

    Baada ya tafakuri ya muda mfupi, nimepata hisia kuwa hata kama wana uwezo mdogo, lakini sio wa kufanya makosa kama haya ya kiuandishi. Hivyo, nahisi huenda baadhi yao hawafurahii haya mambo,.ila wanafanya kwa kulazimishwa tu na matokeo yake na wao wanamua kufanya kazi chini ya kiwango...
  4. JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi naona ni bora kuachana CHADEMA tu

    Siasa inabadilika kila wakati kulingana na maitaji ya wakati husika, lakini moja ya vitu vinavyotisha na kusononesha ni vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kuishambulia NCCR-Mageuzi! Mbatia amekuwa bega kwa bega na CHADEMA hasa katika mapito ya chama hicho, kesi Mbowe NCCR-Mageuzi imeweka mawakili...
  5. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni kikundi cha waliokataliwa, kila siku hili kinazaliwa upya na kukua

    Kwa Afrika tunasoma wale wote waliopingana na serikali au waliokuwa na akili za kutisha nafasi za watawala waliitwa wasaliti, wahaini na viombe hatari kwa nchini. Juzi tumeona mjadala wa Bibi Titi Mohamed, aliposhindana na Mwalimu ndipo alipoitwa muhaini, tunamsoma Kambona, Maaalim Seif, na...
  6. JamiiForums Tanzania Tazama msururu wa Usajili wa CHADEMA Digital huko Rukwa

    Hii ndio Chadema na hapa ni Nkasi huko Rukwa leo tarehe 25/10/2021 , msululu huu ni wa wananchi walioamka alfajiri kupanga mistari mirefu ili kupata usajili wa Chadema digital . Ni zaidi ya vitambulisho vya Nida.
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu Gereza la Ukonga ashutumiwa kujiingiza kwenye siasa za CCM, adaiwa kusaka cheo kikubwa zaidi kupitia mgongo wa CHADEMA

    Waliokuwa Wagombea ubunge wa Chadema kwenye ule uchaguzi hewa wa 2020 , wamefunguka leo chanzo cha wao kuzuiwa kuingia ndani ya gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti wao Freeman Mbowe, katika siku halali na muda muafaka wa kuona Mahabusu. Wamefunguka yote haya katika Mkutano wao na Waandishi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Magereza aanika sababu Makada wa CHADEMA kuzuiwa kumuona Mbowe

    Dar es Salaam. Baadhi ya makada wa Chadema waliofika kumuona Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe juzi katika gereza Ukonga jijini Dar es Salaam, hawakutimiza lengo lao baada ya askari Magereza waliokuwa getini kuwazuia wakisema kuwa wamepata maelekezo kutoka juu. Hata hivyo, Msemaji wa Magereza...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu dada ni kada wa CHADEMA?

    Tafadhali naomba anieleze anayefahamu. Huyu dada ndiye yule kada wa CHADEMA mtaalamu wa Katiba?
  10. JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA mpaka leo haina watu wao huko Magereza?

    Wandugu, Kwa siasa za Tanzania zilipopitia, upinzani hasa CHADEMA ilitakiwa iwe na watu wao wanaowapa taarifa zote wanazohitaji katika idara zote za nchi hii. Niliwahi kuelezea humu ndani nini upinzani wanatakiwa kujifunza kutoka kwa Muslim Brotherhood. Kama huko nyuma iliwezekana kupata...
  11. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni muhimu kujipanga kwa uchaguzi

    Lengo kuu la chama chochote cha siasa ni kushika dola. CHADEMA kipindi hichi inapitia wakati mgumu kwa mwenyekiti wake kuwa kizuizini. Jambo hili ni kubwa na mko wamoja katika kupigania haki ya mwenyekiti wenu, jambo hili ni kubwa ila nashauri lisiwatoe kwenye reli katika maandalizi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Kanda ya Nyasa yakutana

    Labda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela, wengine ni Japhet Mwakasumi sasa Marehemu, japo baadaye aliunga juhudi, ila demage aliyoisababishia CCM...
  13. JamiiForums Tanzania Jengo la ofisi ya CHADEMA Bunda lavunjwa

    Nchi kila kukicha tunazungumzia kujenga ustawi wa demokrasia na kupunguza chuki na uhasama ili kulinda amani ya taifa. Kwa kiburi cha hali ya juu kabisa DC wa Bunda akijiita Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amevuja jengo la Ofisi ya CHADEMA Wilaya ambalo wananchi alijitolea michango...
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Mungu anawakumbusha Mbowe ni wingu tu ndani ya CHADEMA, mvua za mawe bado zimetulia

    Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake wana JF. Nalazimika kuandika machache Ili nifikishe ujumbe tu. Kichwa cha habari kinajieleza sana, nini namanisha hapa Mh Mbowe ni Mwenyekiti wa chama cha Chadema Tz, anakabiliwa na mashitaka ya UGAIDI, maana nyingine wapenzi, wanachama wote...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM na CHADEMA ndio agenda kuu?

    Ukifuatilia kwa makini siasa za Tanzania zimeingia kwenye mtego wa ushabiki badala ya malengo chanya ya Kitaifa. CCM imekuwa ikitumia makada wake wa uenezi kufanya siasa za kishabiki zisizo na uzamivu wenye mantiki. Hoja kubwa za wanaCCM ni namna wanavyoweza kudhibiti mihemko na kushangilia...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA wajue hawapo juu Kisheria

    Wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA ikiendelea ingekuwa vizuri kwa uongozi wa Chadema kuacha kutolea lugha za kejeli dhidi ya vyombo vya usalama pamoja na kuingilia uhuru wa Mahakama. Tunajua haki dhidi ya Mbowe itapatikana kama watanzania wengine. Kuendelea kuingilia uhuru wa Mahakama...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: CHADEMA iko ICU

    Kwa yeyote anayeifuatilia vyema CHADEMA bila unafiki na bila mhemuko atakubaliana na ukweli kuwa chama kiko ICU. Baadhi ya makamanda wenye kuona mbali wameshaliona hili na wengi wamelieleza vyema. Kwa wale wasioona mbali na wengine wanaoongozwa tu na mihemuko bahati mbaya hawajaliona hili...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA kumwomba Rais Samia aingilie kati kesi ya Mbowe ni kutaka Katiba ya JMT ivunjwe. Nchi hii ina mihimili mitatu iliyo na mamlaka kamili

    Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani. Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mnyika: Uamuzi wa mahakama umetengeneza athari na madhara kwenye mfumo wa utoaji haki katika taifa letu

    Picha: John Mnyika akizungumza na Vyombo vya Habari Leo tarehe 21/10/2021 Chama cha Demokrasia na Maendeleo kitazungumza na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani kwenye ofisi za chama hicho nje ya Jiji la DSM, huko Kinondoni, kuanzia saa 6 kamili mchana. Wote mnakaribishwa. Muhimu...
  20. JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi yaungana na CHADEMA, ACT Wazalendo kususia mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Chama cha NCCR- Mageuzi kimetoa hoja tatu za kususia mkutano ulioitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (ORPP) ikiwemo ya kutoshirikishwa katika maandalizi na kutokuwepo kwa uwazi. Mkutano huo umepangwa kufanyika Dodoma Oktoba 21 hadi 23, 2021 na utahusisha wadau watatu ambao ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…